kijijini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Serikali inamtua Mama wa Kijijini ndoo kichwani, DAWASA inamtwisha ndoo upya mama wa Mjini

    Mimi ni Mkazi wa Mbezi Mwisho, Mitaa mingi haipati maji kwa muda mrefu, hivi utawala wa DAWASA wanajua kuwa kuna Watu wengi tu wana bili za 0 unit kwa miezi zaidi ya mitatu? Serikali ipo kwenye jitihada ya kumtua ndoo mama wa Vijijini, lakini DAWASA WANAMTWISHA NDOO upya mama aliyetuliwa years...
  2. nzalendo

    Pombe za kijijini Alfajiri

    Raha sana pale unapokuwa ubanda katika hali ya utulivu. Pengine waweza kuwa unazimua au ndio unaanza kukata kiu. Mama muuza anawaweka katika hali ya kuwaficha kukwepa vijineno vya kijijini. Ni alfajiri haswa pale kunapoanza kupambazuka. Moyo huwa na amani sana na furaha pale uvutapo Funda...
  3. Desierto

    Hii Haina tofauti na mzazi anamtoa mtoto wake kijijini aje kufanyia kazi za ndani mjini

  4. Kimbesa11

    Tanzania si nchi ya kununua unga wa ugali nyie mliokuja kijijini msiondoke bila kulima eka 1 ya shamba la mahindi

    Nianze na kumpongeza Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 kwa kuenzi falsafa ya Mwl Nyerere ya Siasa na kilimo. Toka aingie madarakani Mh. Rais ameendelea kugawa matani kwa matani ya mbolea za ruzuku kwetu sisi wakulima. Asante sana Rais WETU🙏 Mtanzania kununua unga wa ugali na hii ardhi nzuri...
  5. Kimbesa11

    Hivi Hawa wazee wanaotumia majukwaa kuhatarisha amani yetu wangefanyiwa hivi wao wakiwa vijana Leo hii wangekuwepo hai? Wazee acheni ubinafsi

    Kwa Karne hii tunategemea tuone wazee wakitoa maonyo maangalizo ya nini tufanya na nn tusifanye ili kulinda uhai wetu ili hatimaye na sisi tuje tuzeeke tukiwa hai kama wao ila hii imekuwa tofauti kwa Hawa wazee wetu wa TEC kwa kweli hawapo katika kujenga, hawana uwezo wa kuonya dhidi ya mambo...
  6. M

    Kwa hiki kinachoendelea kisichofikia hata robo ya vita, nahamasika kujenga zaidi kijijini, ngoma ikivuma sana ikalipuka tutaishi vichakani kama kuku

    Baada ya matukio ya MO29 (Oktoba 29) na sasa tukiwa tunaelekea kwenye maandamano ya D9 (Desemba 9), hali ya taharuki imeongezeka sana. Yale tuliyoyaona MO29—ambayo hata hayafikii robo ya hali ya vita yamenifanya kuwa makini sana. Mijini hali ni ngumu. Huwezi kutulia wakati mambo yanapowaka...
  7. M

    Bro, ondoka hapo kijijini usibweteke, Wakati mwingine sio wewe, ni mji huo mdogo unaokuzuia kufika mbali

    Sina maana ya kusema maisha hayawezekaniki kabisa kwenye miji midogo lakini there is a good chance of you kutoboa ukienda nje ya mji. Mji mdogo unaweza kukufanya ujihisi salama (confort zone), hata hivyo unaweza kukubana kwa ndoto zako zikose pumzi huku ukioza taratibu. Katika maisha, mara...
  8. F

    Nimekubali kushindwa narudi kijijini

    Chumba kimoja ninachoishi kimenikumbuka kuwa napoteza muda na maisha ya mjini; heri nirudi kijijini. Haiwezekani nina miaka 35 halafu bado naishi kwenye chumba kimoja. Ukiachilia mbali majirani kuniona 'mhuni' niliyegoma kukua, kuna sababu nyingine nyingi zimenilazimisha nihame. 1...
  9. Desierto

    Je? Unatumaga mchango wa msiba kijijini kwenu?

    Mimi huwa natuma yaani kwa ujumla nipo kwenye daftari la kijiji ila nataka kujiondoa je? Kuna hasara gani nitapata maana faida siioni mm nina mke na watoto.
  10. F

    Ujinga wa waTanzania wanasiasa wakifa eti wameuawa ila ndugu zao huko kijijini kila uchwao wanakufa eti wanasema ni natural death

    WaTanzania bado tunazidi kuonekana wapumbavu kila uchwao sijajua ni elimu yetu ya kimagumashi au nini au kwasababu waafrika au waTanzania tumeishi kwenye misingi ya kuwaona wanasiasa au viongozi ni waungu watu na inashangaza kiukweli kwasababu Mwanasiasa au kiongozi akifariki tu tunakimbilia...
  11. Mad Max

    Kwa tunaojitafuta: Mke anaweza kutoka kijijini akaletwa Mjini, Lakini Gari… Lazima litoke Japan!

    Habari za weekend wakuu. Maneno yasiwe mengi. Kichwa cha habari kinajieleza vizuri. Unaweza kumtoa mwanamke kijijini ukamleta mjini, hatasumbua sana, maisha yataenda. Lakini, gari lazima litoke Japan. Namaanisha lazima liwe Japanese. Yaani liwe Toyota, Subaru, Nissan, Honda, et al. Achana...
  12. Bibianna

    Fatma Mwasa: Rais Samia ametoa TZS327bn kwaajili ya barabara za mkoa wa Kagera| Angalia hii orodha uone kama kuna barabara inakuhusu kwa safari zako

    https://www.youtube.com/live/sypEPTFaiCI?si=GsKjBWqJIDu50RpP Uboreshaji wa Miundombinu ya Barabara Mkoa wa Kagera Katika Kipindi cha Rais Samia Katika hotuba yake kwa wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Kagera Bi Fatma Maswa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Rais Samia Suluhu...
  13. Equation x

    Utahamia lini kijijini?

    Tangu nilipoondoka mjini na kukimbilia huku kijijini, nimekuwa na maisha ya amani na utulivu mkubwa sana. Nilifanikiwa kupata shamba la ekari nne, ambapo nilijenga kibanda changu cha kujipumzikia pamoja na mama chanja wangu, pia nikachimba na kisima. Nikaweka uzio wa mimea kuzunguka hilo eneo...
  14. mdukuzi

    Mimi sio nabii ila Kassim Majaliwa anarudi kijijini sanjari na kushuka daraja kwa timu ya Namungo

    A
  15. mdukuzi

    Mimi sio nabii ila Kassim Majaliwa anarudi kijijini sanjari na kushuka daraja kwa timu ya Namungo

    Amelaaniwa yule amtumainiaye binadamu, PM Kassim Majaliwa Alikuwa akinyanyua simu kwa wafadhili na wadhamini ndani ya 24 hrs akaunti ya Namungo inajaa.ole wako ukatae,utaonekana mpinga maendeleo Ligi kuu kuiendesha ni gharamasana kuilisha mijibaba zaidi ya 30,yenye familia,mingine inaenda...
  16. Knock life

    Naomba kuuliza kwa wale ambao mmezaliwa na kukulia kijijini je ukiwa unafikiria jambo huwa unafikiria kwa lugha yako ya Asili mfano kisukuma n.k

    Naomba kuuliza kwa wale ambao mmezaliwa kijijini je mkiwa mnafikiria jambo lolote huwa mnatumia lugha zenu za Asili.? Maana Mimi binafsi huwa natumia kiswahili., kwakuwa sijakulia kijijini , .
  17. Samia atosha tukutane2030

    Kumbe ukiishi kijijini unafikiri waliopo mjini wametoboa. Vijana njoeni mjini tugombanie fursa

    Watu wa kijijini au wilayani zaidi ya 4 nimekosana nao kwasababu ya issue za pesa. Mtu wa kijijini unaweza kumuahidi may be Jumatatu takutumia. Utatumia kauli zile ambazo possibility yake si 100% lakini yeye Jumatatu mapema anakutext akitarajia pesa. Hivi mtu unashindwa kufikiri kama...
  18. Peter Mwaihola

    Je bado wanawake wa Kijijini wanadumu kwenye ndoa za mjini?

    Kuna dhana kuwa ni bora kijana wa mjini kuoa mwanamke wa kijijini kwa sababu hudumu zaidi kwenye ndoa kuliko wanawake wa mjini ambao wengi wao ni wajanja wajanja. Watu wengi wenye mtazamo huu huzingatia kiwango cha heshima, uchapakazi na utulivu wa tabia kwa wanawake wa mjini ukifananisha na...
  19. REJESHO HURU

    Kipi kilikusuma kuondoka , kijijini, mkoani na kukimbilia mjini, au nyumbani kwenda kupanga ghetto wazee wakujilipua tubushane

    Hii mahususi kwa watu wangu hasa kizazi Cha miaka ya 70, mpaka 80 hivi enzi hizo nchi Tanzania mikoa mingi bado mapori, watu wakimaliza darasa la saba kama wapo wanafunzi 200 wanachaguliwa kwenda kidato Cha kwanza ni watu wawili au mmoja mnaobakia kama mzazi uwezo hana wakukupeleka shule...
  20. R

    Lema na darasa la tume huru kwa vitendo ili lieleweke vizuri kwetu kijijini

    Katika jitihada za kuonesha ubaya wa tume inayoitwa huru, Lema anatoa somo maridhawa ili watu hata wa level ya chini wamuelewe. Nimeipenda sana
Back
Top Bottom