Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Rhimo Nyansaho (Mb), tarehe 12 Machi,2026, katika ofisi ndogo za Wizara ya Ulinzi na JKT, Upanga, jijini Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi cha Jimbo la Nebraska nchini Marekani (Nebraska National Guard)...
Tujuzane je INAFAIDA ipi au ni maonesho au kujitofautisha TU na kada zingine? Lete maneno.
Afande tujifunze.
https://www.facebook.com/share/r/1GW4mzUt29/
Israel imekua ikitumia mbinu wa kuua viongozi wa juu kisiasa au kijeshi katika serikali[ Iran ] na makundi hasimu kama Hamas,Hezbollah,Houthi je, mbinu hii ina faida kimedani kwao au ipo tu katika kujizolea ujiko kwa jeshi lake ?
Toka Israel imeanza kuua viongozi hao ni kipi kilicho badilika...
Mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori Tanzania (TAWA) Imezuia kukamilisha taratibu za ajira za Askari wake 12 waliomaliza kozi ya mafunzo ya jeshi la uhifadhi kwa muda wa miezi 6 (KOZI INTAKE NO.02).
Mamlaka hiyo imesema kuwa Imebaini askari hao katika taarifa zao imeonekana wamemaliza kidato...
Anonymous (c723)
Thread
ajira
ajira mpya
askari
barua
kambi
kijeshi
kozi
mafunzo
mamlaka
mpya
pamoja
tanzania
tawa
usimamizi
wake
wanyamapori
za ajira
Rwanda imekosoa vikwazo vilivyowekwa na Marekani, ikiviita hatua hizo kuwa zisizo za haki na zenye upande mmoja huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kuhusu mzozo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
Vikwazo hivyo vinalenga Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) na maafisa wakuu wa...
Taarifa zinazotoka Kivu kaskazini,zinasema msemaji mkuu wa jeshi la M23 ameuawa katika shambulio la ndege zisizo na rubani. Inasemekana pia shambulio hilo,limemjeruhi kiongozi wa kundi hilo Gen Sultani Makenga.
Wakati huo,baada ya raisi wa Angola kutoka kwenye uongozi wa African Union, ametuma...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Tanzania Tupo level za juu sana, tupo mbali sana ,tunacheza katika anga letu linapokuja suala la mikakati na mipango. Sisi ni Taifa kubwa ,sisi ni Taifa La Mungu ,Sisi Ni Taifa Barikiwa,Sisi Ni Mpango wa Mungu.
Napata raha sana ,napata furaha sana ,nakoshwa...
Mara ya mwisho kwa PRC kupigana vita ilikuwa mwaka 1979, na ulikuwa ni mgogoro mdogo sana kule Vietnam. China imekuwa ikijificha nyuma ya kivuli cha soft power na propaganda, lakini inapokuja kwenye operesheni za kisasa za kijeshi, kwa bahati mbaya ni "Paper Tiger" (mbwa asiye na meno). Licha ya...
Haya Sasa wale wa Who are you na wale wakutaka kuishambulia Kenya ili waweze ku access bahari ya Hindi kazi kwenu.
https://youtu.be/PyRCz88qKio?si=efd4OUPBTT9cv64d
JUST NI REALITY VIEW , NGUVU KUBWA INATUMIKA KUHAKIKISHA MALI (RASILIMALI ) ZA NCHI MOJA ZINAPITIA , NA NI LAZIMA ZIPITE KWENYE NCHI KUBWA YENYE NGUVU KIJESHI ILI TUU MAISHA YAENDELEE..............
NILIKUWAGA NAONA NI UONEVU WA URUSI , KUMBE MADAI YAKE YALIKUWA NA MASHIKO ......
OIL...
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imeendelea kuwajengea uwezo Watumishi wake kwa kuwapa mafunzo ya namna bora ya kusimamia masuala ya Itifaki na kuhudumia wageni mbalimbali wanaotembelea hifadhi hiyo.
Kaimu Meneja Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka hiyo, Hamis Dambaya amesema kuwa kufanyika kwa...
Jugular ni kaeneo kwenye shingo kwenye koromeo. Ukipigana na mtu akakutusua vizuri hiyo sehemu, lazima usalimu amri, kama sio, urudi kwa Mungu baba.
Falsafa ya kupiga Jugular huwa inatumiwa pia vitani, kwa kushambulia maeneo muhimu kama: uwanja wa ndege, depot za mafuta, madaraja ya...
Ukiwa kiongozi wa Nchi kosa kubwa zaidi unaloweza kulifanya ni kuingiza askari wa kigeni kuua raia wako.
Kosa alilolifanya samia kuchukua askari wa Uganda kuua watanzania ili abaki madarakani ni kosa kubwa zaidi kuwahi kufanywa na kiongozi yeyote yule.
Askari hao wa Uganda wanatumia facilities...
Tafiti za Afrobarometer zimeonesha chini ya 50% ya Waafrika Kusini wanapendelea demokrasia kuliko aina nyingine za utawala. Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha zaidi ya miaka 25 ya tafiti nchini Afrika Kusini, idadi ya raia wanaounga mkono utawala wa kijeshi ni kubwa kuliko wale wanaoupinga...
Katika pitapita yangu huko kwenye social medias, ghafla nikajikuta Facebook ktk moja ya page ya wadau wanaojiita "TUJIFUNJE BIBLIA MADHEHEBU YOTE" na kukiwa na article hii yenye kichwa cha habari
"MADHARA YA KUPINDUA SERIKALI NA NCHI KUONGOZWA NA JESHI"
HOJA ZAO NI HIZI 👇🏻👇🏻👇🏻
Kama serikali...
Miezi ya hivi karibuni kuna mtanzania anaishi marekani anaitwa mange kimambi na ameitisha maandamano na mpaka sahivi anayapigia debe kwa njia mbalimbali kupitia mtandao wa instagram
Wako watakaopiga kura
Wako wanaosupport maandamano
Wako wanaopinga
Wako ambao hawajajua wako upande upi...
Hawa ni viongozi wa kijeshi Africa waliotwaa madaraka kutoka tawala za kiraia zilizoharibika na kujaa udhalimu kisha kuyaweka mataifa yao katika mkondo sahihi wa mageuzi, haki na utawala bora.
1. Jerry Rawlings- Ghana
2. Olusegun Obasanjo- Nigeria
3. Thomas Sankara- Burkinafaso
4. Meles...
Nipo Arusha Leo kwa kweli inasikitisha
Ñaona ndege za jeshi zimabandikwa stika za mama zinazunguka hapa zaidi ya saa na nusu hazijatua ziko hewani tu gari zinasomba watu kupeleka stadium kwenye kampeni
Hali kwa sasa ni mbaya wananchi wengi wamekerekwa na Namna helcopter zinazunguka TU hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.