kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Una kijana asiyechagua kazi? Mlete hapa apate kujishughulisha

    Habari zenu wana JF Wanahitajika vijana wawili wa kiume wachapa kazi hodari na waaminifu wakazi wa Dsm. Umri usizidi miaka 25. Lakini pia hata akipatikana wa kike sio mbaya kama atashirikiana na wa kiume jumla yake wapatikane wawili tu. Kuna kijiwe changu cha kuuzia Ashua (mbupu za Ng'ombe...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya atengeneza vazi linaloweza kuchaji simu

    Vazi lenyewe linatumia nishati ya jua kuchaji simu, hongereni sana vijana, mnakokwenda kunafaa...... Ruuj Caflon a University of Nairobi (UoN) graduate is the founder of Caflon design, a company that designs clothes that can charge phones and produce lights. He was taking an electrical...
  3. JamiiForums Tanzania Leo nimepata wasaa wa kusikiliza na kuangalia wimbo mpya wa kijana Harmonize

    Kiufupi ni hamna kitu pale zaidi ya kelele nyingi wala huelewi mtu huyu anasema nini. Amejitahidi kiasi chake kufanya hii remix ya wimbo wa Awilo wa miaka mingi ya zamani ila asikate tamaa akazane atafika.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mahusiano Kati ya Kijana, Mama wa Kijana, dada wa Kijana na mke wa Kijana

    Nimetafakari Sana Mahusiano ya watu tajwa hapo juu, Yan kabla ya kijana kuoa na baada ya kijana kuoa. Katika uchunguzi wangu mdogo familia nyingi kabla ya kijana kuoa zinakuwaga na utulivu amani na upendo baina ya kijana, Mama wa kijana na (ma)dada wa Kijana. Lakini baada ya kijana kuoa na...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Aloyce Nyanda: Nimeongea na DC Kasesela alichomaanisha ni kumtaka kijana akae chini hakumtusi, Zanzibar wanasema "kaa kitako"

    Mtangazaji wa tv nguli nchini Tanzania na Afrika Mashariki, Aloyce Nyanda amesema DC Kasesela wa Iringa alitafsiriwa vibaya na hakuwa na nia ya kutukana. Nyanda amesema baada ya kuiona ile clip aliwasiliana na DC Kasesela ndipo akaelezwa tukio zima lilivyotokea. Nyanda anasema watu wote...
  6. JamiiForums Tanzania Kijana Exaud, mbunifu anafurahisha!

    Nimekutana na mtoto Exaud (ana miaka 12, darasa la 5) pale Mbalamwezi,mbele kidogo ya (Mafinga) Nyololo, njia ya Iringa -Mbeya. Nimefurahia ubunifu wake na jinsi ambavyo Neno la Mungu limemkaa. KILA MWENYE PUMZI AMUSIFU BWANA Kizuri zaidi ni namba plate liyoiokota barabarani na "kusajili"...
  7. JamiiForums Tanzania Inatrend huko mitandaoni. Kijana huyu atafutwe apewe chakee. KUDOS to the art.

  8. JamiiForums Tanzania Video ya Polisi akimshambulia kwa risasi kijana wa miaka 13 yatolewa Chicago

    Polisi wa Chicago wametoa picha za afisa aliyempiga risasi mtoto wa miaka 13 kwenye uchochoro wa giza. Video hiyo inaonesha polisi huyo akipiga kelele “dondosha” kabla ya kumpiga risasi Adam Toledo mara moja kifuani tarehe 29 mwezi Machi. Mvulana haonekani kuwa ameshika silaha katika sekunde ya...
  9. JamiiForums Tanzania We kijana ulishawahi kuombwa uroda na mdada?

    Katika hali ya kawaida inaonekana ni vigumu girl kuomba mapigo toka kwa kijana barobaro, lakini hutokea kwa trick flani hivi. Mfano mimi nakumbuka nilikuwaga na mahusiano na mdada mmoja Mwananyamala alikuwa ana style yake ya kuomba mapigo, ananipigia simu akidai anaumwa sanaa, basi kidume...
  10. JamiiForums Tanzania Ni mavazi gani ukimwona kijana amevaa yanakutambulisha kuwa ni shoga?

    Habari zenu? Mashoga wengi huku Temeke wanavaa pensi za jinzi . Mara nyingi hizi pensi zao zinakuwa na sifa zifuatazo; - Fupi (hazivuki magoti) - Zinabana mwili - Zimetoboka au kuchanika mapajani. Sasa Mimi nimeanza kuconclude kuwa kila kijana ninayekutana naye barabarani amevaa hivi najua ni...
  11. JamiiForums Tanzania Mambo muhimu anayopaswa kuzingatia kijana katika maisha yake

    Naam! Nawaletea neno la siku; tupo likizo kidogo. 1. KUWA NA MARAFIKI AMBAO WANA FAIDA KATIKA MAISHA YAKO: Unaweza kuta mtu katika simu yake ana marafiki zaidi ya 200 lakini hawa wote anapopata tatizo au shida akianza kuomba msaada katika hao marafiki hata shilingi laki 5 haifiki, sasa kuna...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Kijana jitambue: Fanya kitu sahihi kwa muda sahihi, ishi maisha yako

    Habari zenu wana JF, Niende kwenye mada moja kwa moja Mimi sio mgeni humu ila nimetumia ID mpya so niwatoe hofu ya hiyo username yangu. Mara nyingi vijana hawatambui ni vitu gani wanapaswa kufanya na kwa wakati gani. Kijana tambua kuwa muda unaoutumia sasa una matokeo mbeleni Ujana una...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…