kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwanini kijana hutakiwi kutoa mahari kwa karne hii

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nafahamu mada hii ni ngumu, na haitakuwa nzuri sana kwa sababu ya mazoea na desturi za jamii zetu nyingi ambazo kimsingi bado zipo gizani. Lakini hiyo haitazuia kuijadili na hapa tutajadiliana kwa hoja. Wale wenye hisia na mihemko ya kimbuzimbuzi tayari...
  2. M

    Ukweni hawanitaki, wanasema nimempa dawa kijana wao. Nifanye nini?

    Habari wana jf, Mimi ni binti wa miaka 26 na nipo kwenye mahusiano na Tunatarajia ndoa ila Ukweni wanaweka pingamizi sana na sijawahi fanya chochote kibaya na wala sina mazoe na wakwe zangu ila chakushangaza mama mkwe Anamuuliza Kijana wake "Hivi Bado upo na yule mwanamke tu kwani amekupa...
  3. 20M inatosha kuhamia Dar kuanza Maisha na Biashara?

    Naomba ushauri ulio serious, hili jambo ni serious, sio Drama. Ichukulie kama ni wewe. Unauhakika wa kupata 20M cash, Kwa ufupi ni kufanya maamuzi tu ila unasubiriwa wewe tuu. Una vyombo na kitanda tuu, Kwa ufupi, ni vitu vya kukufanya upike na ulale... Risk ni kwamba ukichukua umechukua...
  4. Dodoma: Kijana afariki kwa kukanyagwa na treni akiwa anasikiliza muziki

    Mkazi wa Mtaa wa Ndejengwa jijini Dodoma, Laurent David, amefariki dunia baada ya kugonga treni ya mzigo akiwa eneo la reli. Inaelezwa aliaga nyumbani kwamba anaenda kufanya mazoezi. Ajali hiyo imetokea leo, Jumamosi Desemba 30, 2023 saa 12 asubuhi kwenye Reli ya Kati. Laurent inaelezwa...
  5. Kijana wa Kisrael aandika barua kugoma kujiunga na jeshi la nchi yake kupigana na Hamas. Hii imekaaje?

  6. Hakuna mahali watu wanaishi kwa kuigiza na kutolea stress zao kama JamiiForums

    Ukifungua nyuzi nyingi huku jamiiforums utashangaa sana kwenye section ya comment kila mtu ana-vimba mfano kama mtu amekuja kuomba msaada utastaajabu watu wanavyotoa majibu ya hovyo sana na yasiyojali utu. Jamiiforums ni sehemu ya watu kutolea stress zao, ni kawaida sana jamiiforums mtu kuanza...
  7. Kijana Mmoja ameomba Sparring na mimi,kiukweli nimefurahi mno kwasababu nataka nimuonyeshe kwanini niliitwa UMUGHAKA

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kukuongoza kijana Hance Mtanashati kwa kuomba kufanya Sparring na mimi,haya ndiyo mambo nipendayo UMUGHAKA Nimewahi kumuomba ndugu yako Sparring lakini akaingia mitini na kuendelea kunitukana!. Nashukuru sana kwa...
  8. Kama una miaka 25 Wewe ni kijana mzee kama Una miaka 26 Wewe ni mzee kijana

    Nawakumbusha tu ukifika miaka 25 unakuwa kijana mzeee. Ukiwa na miaka 26 Wewe ni mzee kijana so changa karata ZAKO MAPEMA ukiwa na nguvu. Kama Una miaka 40+ Anza kufanya mazoezi kuwa na tabia ya kucheck sukari, pressure n.k.
  9. Kijana wangu anatafuta nyumba ya kupanga riverside, Ubungo

    Habari marafiki, Nina kijana wangu wa kazi anatafuta nyumba ya kupanga maeneo ya riverside. Mwenye nayo ailete hapa.
  10. Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

    Wajita tabia zao unakuta mama kalea watoto wake yeye mwenyewe lakini unakuta mume alipoteza maisha na sio kwamba anapoteza kwa muda sahihi, ila anapotezwa. Yaani wanawake wa kijita wako pamoja na mama zao yaani unakuta mama mmoja ana watoto watano kila mtoto na baba yake na familia zao kitendo...
  11. Wanooeneza Picha na Habari za uongo kuhusu Kijana Joshua aliyeuawa na Hamas wanafaidika Nini?

    Nimeshangaaa kuona baadhi ya watu wanashea habari na picha za uongo kuwa kijana molel alijiunga na jeshi la isael, watu Hawa wasio na akili wamekuwa wakituma picha zilizoeditiwa kiasi Cha Mimi kuzifanyia uchunguzi nikabaini Ni upotoshaji, lakini nikajiuliza wanapata faida gani kufanya hivyo? Au...
  12. Kwa mnaoeneza uzushi dhidi ya kijana wa Kitanzania aliyeuawa na Hamas

    To all of you inventing and spreading calumnies against Joshua Mollel: 1. You are suckers. 2. You are all stupid people. 3. You are all idiots. And if you believe everything that is being spread around by these people, then you are also a sucker, a stupid person, and an idiot all in one bag...
  13. Ushauri: Kijana kama huijui kamari usiisogelee kabisa, kamari ni hatari zaidi ya hatari ya kuchezea nyoka

    Kamari Kamari Kamari Kamari nakuita mara 3, kamari iwe ya kubashiri mpira, kucheza madubwi ya mchina, au online casino maadamu tu inaitwa kamari hiyo ni sumu kali. Uswahili vijana wanazeeka hawaoi kisa kamari. Kamari inakupa tamaa ya mabilioni na magari ya kifahari halafu unaishia kuvisikia tu...
  14. K

    Mchungaji "kijana" afia gesti akila kondoo wake

    Padre Joseph Kariuki siku za uhai wake Padre wa Kanisa Katoliki Parokia ya Ruai, Nairobi, umri miaka 43, amefia gesti akiwa na ji binti la miaka 32 watu huwa tunajidanganya mtu wa miaka 40, 45, 49, eti bado nae anaitwa kijana... haya vijana .... tujihadhari na kupenda sifa za "kupeleka...
  15. Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

    Tal Chaimi, mkazi wa Kibbutz Nir Yitzhak, na Joshua Luito Mollel, mkazi wa Kibbutz Nahal Oz , waliuawa wakati wakishikiliwa mateka na Hamas katika Ukanda wa Gaza. Miili yao yote miwili bado inashikiliwa na Hamas. Chaimi aliaminika kutekwa nyara lakini, ushahidi mpya ulionyesha aliuawa Oktoba 7...
  16. Kama una nia ya kufunga ndoa tafadhali usizae nje ya ndoa

    Kuzaa mtoto nje ya ndoa mara nyingine kunaweza kuleta changamoto na kero kadhaa kwenye familia hasa bara letu la Afrika. Baadhi ya mambo ambayo nimeona kwa watu ambao wamezaa au kuzalisha nje ya ndoa (watoto waliopatikana ujanani) ni; • Mambo ya Kihisia: Kuzaa mtoto nje ya ndoa kunaweza...
  17. T

    Huyu ndio yule kijana MFALME wa kusini DJ MISO MISONDO kama ulikuwa humfahamu

    Mpe maua yake 😁😁
  18. Hakikisha unamiliki akaunti ya Benki kama kijana

    Kijana kabla haujatumia hela yako kuiingiza katika biashara hakikisha unaipitisha bank . Bank kuna upako mkubwa Sana pitisha hela yako sehemu ambayo matajiri wanapitisha . Pia hakikisha nyumba unayoishi amka ukiwa mtu Wa kwanza maana baraka za Ahsubui utazipata wewe ukiwa Wa kwanza unaweza...
  19. Iringa: Mwendesha Bajaj achomwa kisu na mkewe kisa wivu wa mapenzi

    Mwanamke mmoja anayeitwa Fadhila Balama, mkazi wa Kitwiru katika Manispaa na Mkoa wa Iringa, anakabiliwa na tuhuma za kumuua mume wake, Denis Chumbula, kwa kumchoma kitu chenye ncha kali baada ya mzozo kati yao. Hii ni kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Mtaa, Nazareno Mangw'ata, ambaye amesema tukio...
  20. S

    Sikio la kufa halisikii dawa: Mtuhumiwa na watu wake wadaiwa kusambaza video ya Pauline akimuhoji kijana husika

    Kwa mshangao mkubwa, nimeoni picha ya kijana husika kwenye clip akihojiwa na mwanamke anaetajwa kuwa ni Pauline (haonekani katika video) na kwa maelezo ni kuwa clip hiyo yenye kuonyesha sura ya huyo kijana akihojiwa na Pauline imesambazwa na Pauline na watu wake. Sasa huku sio ndio kujimaliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…