kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kijana mzalendo aivaa CCM na serikali juu ya uchaguzi " wameshindwa leadership wanaogopa nini "

    ACHAMBUA MATUKIO YA UCHAFUZI WA UCHAGUZI WA TAMISEMI 2024 https://m.youtube.com/watch?v=gRp4sZuVa-A Kada wa CCM akihoji chama dola kongwe na serikali yake kwa kuteka na kuvuruga mchakato mzima wa uchaguzi wa serikali za mitaa TAMISEMI 2024, na kusema huku ni kushindwa kwa chama kongwe dola...
  2. JamiiForums Tanzania Ukiona kijana yeyote ni kada mtiifu wa CCM jua baba yake alikuwa ana nafasi fulani ya uongozi

    Wadau Tusitishane, Tusipangiane na Tusilazimishane. Wengi wa vijana wa ccm {kada} watiifu wamekuwa hivyo kutokana na wazazi wao kuwa watendaji wa vijini/kata, wengine ni watoto wa waalimu hawa huwambii kitu kuhusu chama ma mapinduzi. wengine ni watoto wa mafisadi papa hawa sasa kaa nao mbali...
  3. JamiiForums Tanzania Yapi Katika Haya si Kweli? Mhadhiri Kijana Anamuuliza Mkuu wa Idara ya Historia

    Kijana mhadhiri wa historia katika moja ya vyuo vikuu kanifahamisha upinzani dhidi yake jinsi anavyosomesha historia. Nimemwandikia hayo hapo chini: WAASISI WA AFRICAN ASSOCIATION 1929 NA AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA 1933 African Association imeanzishwa na Cecil Matola (President)...
  4. JamiiForums Tanzania Seba aliyeandika meseji kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho kwenye ghorofa ya Kariakoo lililoanguka, akutwa amefariki

    Kijana Seba aliyeandika message kwa rafiki yake amtunzie mwanae na anakata roho siku mbili zilizopita. Mwili wake umeopolewa mda huu ukiwa tayari umeshaanza kuaribika kwenye jengo la Kariakoo.. Tayari mwili wake umepelekwa kwenye hospitali ya Amana kwa kwa taratibu nyingine za kuhustili..Roho...
  5. JamiiForums Tanzania ACRIMONY: Mapenzi na Ndoto, Mahususi kwa Kijana Yeyote Anayepambania Kutimiza Ndoto Zake

    Hii ni story Inayomhusu kijana aliyepambana katika harakati za kutimiza ndoto zake, akiwa bado mwanafunzi wa chuo akapata mwanamke waliyefunga naye ndoa. Mwanamke huyo alikuwa na mchango mkubwa wa hali na mali ambapo aliuza mpaka nyumba ya urithi ya familia pamoja na kutumia pesa zote alizorithi...
  6. JamiiForums Tanzania Mbeya: Kijana wa miaka 34 ajinyonga kisa mgogoro wa familia

    Mgogoro wa kifamilia umefanya kijana huyu kutoka Mbeya kupoteza maisha kwa kufanya maamuzi ya kujinyonga hadi kufa. Kwakweli mambo mengi ila muda ni mchache. Apumzike ================== Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Fred Sanga (34), mkazi wa Mtaa wa Shewa, Kata ya Mwakibete, Mkoa wa...
  7. JamiiForums Tanzania LGE2024 Msimamizi wa Uchaguzi Njombe: Hakuna kijana atakayeweza kutumika kuvuruga zoezi la uchaguzi

    Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya mji wa Njombe, Kuruthum Sadick amesema kuwa kuelekea kwenye kampeni za uchaguzi mpaka siku ya uchaguzi hakuna kijana atakayeweza kutumika kuvuruga zoezi la uchaguzi kwa kuwa vijana wa Njombe wanaelewa maana ya uchaguzi. Kuruthum ametoa kauli hiyo wakati...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba Usharuri Mimi ni kijana wa Mwaka wa Kwanza Computer Science Nina shauku ya kutoka na GPA kuanzia 4.5 mpaka 5 Je nizatie jambo gani na gani?

    Naomba mtu yeyote mwenye experience anipe mawazo je hawa wanafunzi wanaopata GPA hizi za juu huwa wanafanya Jambo gani na gani?
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa kijana ambaye anataka kuajiriwa Jeshini au kuwa Afande

    Hello Wengi huwa wanaomba nafasi mbalimbali katika vyombo vya ulinzi wengine wanakuja kufeli kwenye usahili kwa vitu vidogo vidogo ambavyo vinaweza kurekebishwa kabla ya usahili ila mnavipuuzia Nafasi zinapotoka kunakuwa na ushindani mkubwa unakuta kila mtu anapambana mtu wake apite au apate...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna njia nyingi sana za kupata mke mwema. Angalia usifanye kosa hili utajuta

    Binti aliyelelewa na mama peke yake mara nyingi Huwa hawana utii Kwa Waume zao. Sikilizia hapa. PIA SOMA - Je wazijua sifa kumi (10) za mke mwema
  11. JamiiForums Tanzania Njombe: Kijana aingia matatani kwa tuhuma za kunajisi ng'ombe

    Kijana Shadrack Utungulu mkazi wa kijiji cha Igominyi kata ya Yakobi halmashauri ya mji wa Njombe amejikuta matatani mara baada ya kukutwa akimshika chuchu na mkia ng'ombe asiye wake, na kuingia kwenye kashfa nzito ya kunajisi mnyama huyo. Tukio hili linajiri wakati ambao kuna maelezo ya kijana...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Kwa ridhaa yenu wanaJF naomba timuongeze huyu kijana katika wale watu wawili

    Nimemfuatilia sana na kujiridhisha huyu ni Uto anaejielewa
  13. JamiiForums Tanzania Kijana ukiendekeza uzinzi hautoboi aisee.

    Vijana wenzangu tubonge jambo, kidogo haya mambo nitakayo ongea nimeyapitia japo nilikuja nikashutuka mapema kabla sijachelewa nikabadilisha muelekeo na matokeo chanya nayaona. Kama ww ni kijana ambaye bado ndo unajitafuta na una ndoto za kufika mahali fulani kimafanikio, basi itabidi uwe na...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga agalieni uwezekano wa kumrudisha Youssef Ammar, na kusajiri mshambuliaji mmoja mzuri kijana jahazi linazama

    Mimi siyo mtaalamu wa soka wala siyo daktari wa michezo. Hapa nitaweka mtazamo wangu kwa hisia tu hivyo mkiona nipo sahihi fuateni, mkiona sina hoja puuzeni tu. Nikiangalia muenendo wa viwango vya wachezaji kiafya na viwango vyao wanaporudi toka majeruhi na kurudia kupata majeraha na utimamu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Mbeya: Kijana wa Miaka 17 ahukumiwa kifungo cha nje Miezi miwili kwa kumbaka Mwanafunzi

    Kijana wa Miaka 17 ahukumiwa kifungo cha nje Miezi miwili kwa kosa la kumbaka Mwanafunzi Halikadhalika, Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 17 Mkazi wa Kijiji cha Kilambo, mwanafunzi wa kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Ikimba amehukumiwa kifungo cha nje miezi 12 pamoja na kumlipa fidia...
  16. JamiiForums Tanzania Dada iko hivi, maisha ni magumu, kijana wa miaka 28 hana kazi au kapata kazi lakini ana ndugu zake kibao wanamtegemea.

    Dada iko hivi, maisha ni magumu, kijana wa miaka 28 hana kazi au kapata kazi lakini ana ndugu zake kibao wanamtegemea. Kama akikupa hata elfu kumi ya saluni au nauli ya kurudia ridhika maana naye anatafuta. Wewe unalalamika halafu unajilinganisha na wale rafiki zako ambao kila siku wanakula...
  17. JamiiForums Tanzania STORY: Kijana Shujaa (Precision Air)

    SIMULIZI: KIJANA SHUJAA….. “Ilikua ndoto yangu kuja kufanya jambo kwaajili ya Taifa” SEHEMUYA KWANZA (01) Man Middo Kabla hajatimiza ndoto yake kijana shujaa alikua kapuku tu muuza dagaa katika mwalo wa Nyamkazi, Bukoba pembezoni mwa ziwa victoria. Kwa muonekano wake hata wewe unaesoma...
  18. JamiiForums Tanzania Kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kuidhulumu nafsi

    Nipende kuwa tu muwazi, unless kuna faida za kiuchumi unazozipata, kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kujipunja na kuidhulumu nafsi yako. Niulize kwanini? Kikubwa unachotakiwa kujua ni kuwa wanawake hua wanaanza mambo ya mapenzi mapema sana. Kwa kawaida mabinti huanza "mchezo mchafu" wakiwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tunakushukuru sana kijana wetu IBRA BAKA

    Hakika umekuwa mzalendo halisi wa Znz
  20. M

    JamiiForums Tanzania Sisi kama Azam tunakushukuru kijana wetu IBRA BAKA

    Hakika umekuwa mzalendo halisi wa Znz
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…