kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Mbunge Kondesta Sichwale ampiga Kibao kijana wa CCM, inasemekana alichukizwa baada ya kuombwa posho

    Wakuu! Huyu ni Kondesta Sichwale, Mbuge wa Jimbo la Momba mkoa wa Songwe. Inasemekana baada ya Vijana maarufu Greengard kudai posho zao, madai yao yamepelekea Kondesta kuchukizwa na kumchapa kibao huku akitoa lugha chafu. Je, huu si unyanyasaji na udhalilisha? Usawa uko wapi?
  2. JamiiForums Tanzania Kijana anatafuta nafasi ya kazi kwa mkoa wa Dar es salaam au Dodoma.

    Habari humu ndani kijana anafuta nafasi ya kazi. Amemaliza CBE DODOMA 2021. Ana Diploma Bissness Administration. Ni kijana mwaminifu na muadilifu sana. Mawasiliano. +255761972755,+255612246050. Tumsaidie apate ajira ndugu zanguni
  3. JamiiForums Tanzania Familia yadai ndugu yao kauawa mikononi mwa Askari katika Kituo cha Polisi Tabata Shule

    Mnamo Tarehe 6 Aprili 2025, kijana mwenye umri wa miaka 29, Nestory Raphael Majembe, aliripotiwa kukamatwa na kupelekwa katika kituo cha polisi Tabata Shule kwa tuhuma za wizi wa simu. Saa chache baadaye, familia yake ilipokea taarifa ya kifo chake ndani ya kituo hicho, hali iliyoibua maswali...
  4. JamiiForums Tanzania Usiudharau Mwanzo wako mdogo ikiwa ndo unaanza MAISHA ya utafutaji kama kijana.

    Katika maisha unapokuwa unayaanza usije ukaudharau mwanzo mdogo / humble beginning au huitwa baby step. Hii tafsiri yake ni kuwa hata Kama umepata Kazi ya kufuta meza , hakikisha unaifuta hiyo meza vizuri kwakuwa hauwezi kujua kesho utaambiwa ukafute meza ya nani labda ya Rais , hauwezi kujua ...
  5. JamiiForums Tanzania Huyu kijana Juma Lokole anapokuwa kwenye matukio ya kijamii hakai na Wanaume badala yake anaakaa na Wanawake

    Huyu kijana Juma Lokole anapokuwa kwenye matukio ya kijamii anakaa upande wa Wanawake badala ya kukaa na Wanaume Hii ni tabia mbaya sana hasa katika utamaduni wetu sisi Watanzania na kwa baadhi ya Mikoa mingine mfano Arusha, Kagera, Mwanza, Kilimanjaro, Mara inaweza kupelekea kupewa adhabu na...
  6. JamiiForums Tanzania Hii Video ya Kijana alofukuzwa JWTZ, imenikumbusha kati ya mwaka 2014-2015 JWTZ iliwafukuza vijana zaidi 30

    Rais Mwinyi Enzi hizo ni Waziri wa Ulinzi,analijua Mkuu wa Majeshi akiwa Mwamnyange ,analijua. Waziri Mkuu Kasimu analijua. Mwaka 2014 Vijana zaidi ya 50 wa JWTZ waliokua wanafanya Mafunzo ya Ukamandoo pale Morogoro, Kwa kunyimwa posho zao waliamua Kutoroka Kambini na kwenda makao makuu ya...
  7. JamiiForums Tanzania Una ushauri gani kwa kijana anaetaka kutoka kijijini kuja mjini?

    Habari wakuu. Kwa mwenendo wa maisha ya sasa, unaushauri gani kwa kijana anaetaka kutoka kijijini kwenda kusaka maisha mjini? Mwenye elimu ya kidato cha nne, ana pesa kidogo ya kuanzia maisha mjini, hana ujuzi tofauti na uchapakazi wake, ushauri ulenge hasa wa kiume, lakini hata wa kike waweza...
  8. JamiiForums Tanzania Kijana chini ya Miaka 30 anayemiliki Bilioni (TSh) kwenye akaunti yake? Siyo za kurithi!

    Kuna post nimeona dogo mmoja huko X (zamani twitter) anajisififu kuwa kaingiza milion 100 kwa hustle zake na anamiaka 26. Nimeshtuka sana. lakini nahisi aliandika kuongeza likes si kweli. Ingawa uwezekano wa ukweli upo. Swali langu kama kuna kijana mpambanaji chini ya miaka 30 mwenye Bilion...
  9. JamiiForums Tanzania Kijana aliehukumiwa kifo kwa kushiriki katika mapinduzi yaliyoshindwa huko Congo amehamishwa yeye na wenzake kwenda Marekani.

    Huyo dogo mwenye asili ya Marekani na Congo kwa kushirikiana na baba yake walijaribu kufanya coup ila ilishindikana kupelekea baba kuuawa na yeye kukamatwa akiwa katika harakati za kutoroka.
  10. JamiiForums Tanzania Kijana huyu ndiye aliyeteuliwa kuwa mwanaume mzuri zaidi katika sayari ya dunia, Naijulikane Mimi ni baba yake mzazi 😍

    Kijana huyu ndiye aliyeteuliwa kuwa mwanaume mzuri zaidi katika sayari ya dunia, Naijulikane Mimi ni baba yake mzazi 😍
  11. JamiiForums Tanzania Namtaka chibaba, sitaki kijana

    Hii ndo kauli inayotamba mitaani kwa sisi wanawake,hatujui kimetukuta nini Mabinti kwa sasa hawaoni aibu tena kudate na wababa watu wazima kabisa na wanasema hadharani staki mahusiano na vijana kuwa hawana lolote Mabinti wanadai kuwa mahusiano na vijana yamewaacha wengi kuwa single...
  12. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni binti au kijana

    Umekuta mwanamke ana mume wake na wanandoa halali acha kuivuruga . Maana kwa sasa utaona sawa ila kwa baadae wewe na familia yako , mtakipata pata , mtapata kijitoto kingine kimteke mume wako na wewe utamani kujiua. Kama sasa unavyomfanyia mwenzako kwenye ndoa yake. Kuna mwanadada alikuwa ni...
  13. JamiiForums Tanzania Kijana huna wajibu wa kumhudumia Mchumba au mpenzi wako. Usiwe Mjinga

    Mpo Salama! Kumhudumia Mchumba au mpenzi wako huwezi Sifiwa Wala kuonekana mwanaume wa maana mahali popote pale zaidi ya kuonekana kijana asiyejitambua. Wazazi wako wenyewe waliokuzaa wakisikia kitu kama hicho watakuona hamna kitu. Ukitaka ujue Jambo hili, siku huyo mwanamke akuache ndio...
  14. JamiiForums Tanzania RC Sendiga amwagiza Mkuu wa Polisi Simanjiro kumkamata Afisa Polisi kwa uzembe Kesi ya Ujauzito wa Mwanafunzi

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, amemwagiza Mkuu wa Polisi Wilaya ya Simanjiro kumkamata na kumweka ndani Afisa wa Polisi Kata ya Loibosiriet, Ester Tairo, kwa uzembe kutokana na kushindwa kumkamata kijana aliyemsababishia ujauzito mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari...
  15. JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa kukamatwa kwa Ali Kamwe badala ya kijana Godi Yanga!

    Nimeshangazwa sana kukamatwa na kushikiliwa katika kituo cha polisi kwa Ali kamwe kwa kile kinachodaiwa kutoa kauli za kudhalilisha viongozi. Nimesikiliza hizo kauli za Ali Kamwe sijaona kauli yoyote ya kufanya akamatwe na polisi, wakati namsikiliza Ali Kamwe nimeweza kukutana na video nyingine...
  16. JamiiForums Tanzania Anahitajika kijana wa kupaka kucha rangi

    Eneo la kazi ni kijichi mbagala kuu, malipo ni kwa siku baada ya makubaliano..kama upo tayari nichek pm kwa maelekezo zaidi
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha utajiri unaompa kiburi kijana CHIEF GODLOVE MWAKIBETE?

    Katika kuperuzi kwangu mitandaoni nimekutana na habari nyingi zinazotrend kumuhusu kijana anayefahamika kama Chief Godlove Mwakibete. Huyu jamaa amekuwa akipost magari mbalimbali ya kifahari na kujinadi kuwa ni mtoto mdogo mwenye pesa nyingi sana. Ni kijana ambaye ana umri wa miaka chini ya 30...
  18. JamiiForums Tanzania Kijana wa Kitanzania

    Kijana wa Kitanzania 1. Akioa/Kuolewa mnamchangia 2. Akifa/Akifiwa mnamchangia 3. HBD yake ikifika mnamchangia 4. BBY shower ya mtoto wake mnamchangia Lakini Akikosa Mtaji Hakuna wa kumchangia👀
  19. JamiiForums Tanzania Kijana unayejitafuta!

    Kwa kijana ambaye umeanza kujitafuta kimaisha, kama wazazi hawajakufukuza, au hujaaribu hapo mtaani. Tafadhali baki tu nyumbani kwenu. Utaokoa kiasi flani cha fedha. Achana na jamiii inaongea nini kuhusu watu ambao wanaishi bado kwao, Kulipa kodi ya nyumba sio jambo la kitoto.
  20. JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

    Nyakati ambazo kwa kawaida wanaume wengi wanaoa kwa mara ya kwanza ni pale kwenye 30's, kwa sababu 20's ni kipindi ambacho mwanaume bado anajitafuta, sasa utakapoingia hapo third floor na kuona kuna haja ya kuoa, mwanamke anaekufaa ni yule mwenye miaka 18-23. Mwanamke ambae ni agemate wako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…