kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Leo hadi mchungaji amenitolea mfano kama kijana mtanashati and handsome.

    Katika kufundisha umuhimu wakua na busara na hekima kama kijana, akasema “ hata uwe mtanashati au handsome kama kaka yangu pale, kama huna hekima na busara, bas ni kazi bure” Basi kabisa zima wakawa wananiangalia. Kisha mo nikajifanya kama sijui kinachoendelea vile. Yani hadi baba mchungaji...
  2. JamiiForums Tanzania Usipochukua hatua mapema ewe kijana Nilichogundua 40 years kwa mwanaume ni umri wa majuto,fedheha na kejeli

    Kwa kifupi tuu Nina miaka michache nifike 40 mambo mengi nimeyaona wanaume wenzangu wanavyopitia wakati mgumu katika ndo,mahusiano,fursa,ajira, n.k Kiukweli ukiwa kama kijana wa kiume usipojipanga mapema ktk age kuanzia 25 hadi 35 ukifika huu umri tegemea kejeri,fedhea,majuto tena usiombe ufike...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Bonyokwa; Kijana wa familia akutwa amejinyonga chumbani kwake, aacha barua

    Ikiwa zimepita siku 8 tu tangu tukio la wanandoa, Antony Ngaboli na mkewe, Anna Amiri, kukutwa wamekufa kwa kuchinjwa kikatili chumbani kwao, Bonyokwa, kijana ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, amekutwa amekufa chumbani kwake mwili ukiwa unaning'inia kwa tafsiri ya kujinyonga au...
  4. JamiiForums Tanzania Huyu kijana kanusurika 🤣

    Haha
  5. G

    JamiiForums Tanzania Ukweli Viongozi ni zao la wananchi maana wanatoka kwenye jamii , tatizo linaanzia kwenye jamii, mpe KIJANA wetu million 10 uone vipaumbele vyake!!

    Huo ndo ukweli mchungu , Viongozi ndo picha ya halisi ya JAMII husika Akili kubwa haiwezi kukubali kuongozwa na akili NDOGO Vipaumbele vya viongozi ni vipaumbele vya jamii husika Tunalaumu viongozi wanunua magari ya mabilioni kwenda kuzindua miradi ya mamilion au kutembelea wananchi wasio na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Najipiga kifua mimi ni kijana wa kuigwa, nimekua sasa

    Habari ndugu wana JF. Kwa majina yangu naitwa Mtoto kautaka, a.k.a indaba mtini wena, a.k.a saga manoti, a.k.a mgambo mwenye cheo, lakini pia unaweza ukaniita mmongoli. Niende kwenye mada, leo nimekuja mbele yenu kujigamba kwa kujiamini kabisa kwamba sasa mimi nimekuwa kijana mkamilifu, kijana...
  7. JamiiForums Tanzania Ukiwa kijana Fanya biashara au shughuli ya kukutoa, sio kupoteza muda kwenye biashara za ovyo

    Tuambizane ukweli ambao watu wengi huwa hatuambiani, Huwa tunafarijiana tu Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam aliwambia vijana huwezi kutoboa maisha Kwa kuuza uduvi, watu wakamwijia juu Huo uvivu wa kukataa kumwaga jasho na kuumiza akili ndo hivo tunauwa vijana wanakosa ubunifu na kuishia kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Picha: Mimi ni kijana wa hovyo..

    Wale vijana ambao hawana mchango katika hili taifa basi Mimi ni namba moja. Hapa nishapata sehemu ya uzinzii. Kama wewe hujawai kuzini basi naomba unitukane. Kama umewai kufanya huu upumbafu basi ukinitikana hakikisha umejitukana....! Ujana maji ya moyo
  9. JamiiForums Tanzania Safari ya kijana wa Benki kuwa Nahodha wa Mabilioni

    Wakati kijana mwingine angekuwa bado anatafuta mwelekeo wa maisha, Abdulmajid M. Nsekela tayari alikuwa ndani ya mabenki, akijifunza kwa vitendo namna taasisi za fedha zinavyosimama na kusimamia uchumi wa taifa. Leo hii, jina lake ni nembo ya uongozi thabiti na mabadiliko chanya katika sekta ya...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta Kijana Alie Kenya Tufanye Dili.

    Hello wakuu Africa Mashariki na Kati, Natafuta Kijana mwenye Hasira kali na maisha, kuna jambo/deal nataka tuifanye hatutatoka mikono mitupu. Nicheki DM tupange tunaanzia wapi.
  11. JamiiForums Tanzania Kijana katuambia anataka kufanya harusi (kuoa) yeye kaandaa laki moja tu, anaomba aongezewe pesa iliyobaki

    Kijana kaomba aongezewe pesa iliyobaki ili aweze kufanya sherehe kabambe. Wakuu mtu kama huyu anasaidiwa vipi huko kwenu?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Huyu kijana alipatikana?

    Sikupata taarifa vizuri naomba msaada
  13. JamiiForums Tanzania JamiiForums Tusaidiane: Kijana wa Geology hana Ajira Tangu Amalize Chuo, Maisha Yamempiga Mbaya

    Habari za wakati huu wapendwa wadau wa JamiiForums, Naamini wote ni wazima na mnaendelea vyema katika majukumu yenu ya kila siku. Nawasalimu kwa heshima kubwa na moyo wa unyenyekevu kabisa nikiwa na matumaini kwamba huu ujumbe wangu utawagusa na kuwahamasisha kwa namna yoyote ile. Leo nimeamua...
  14. JamiiForums Tanzania Kama kuna kijana yoyote mdogo anae hitaji kumbusho lolote la kumuhasisha na kumuongoza sio vibaya akasoma hii

    ♥️Maji hufata mkondo vile vile Mrembo hufata unafuu, kwa hio usi-invest hisia zako katika pendo la ukweli, utaambulia kuchukia kila mtu na nafsi yako pia. 🕓Muda ni wa thamani kuliko pesa. Unaweza kutumia muda kupata pesa, lakini huwezi kutumia pesa kununua muda uliopita. Muda ni rasilimali...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi gani kijana unakuwa high value?

    Eeh kwenye pita pita zangu humu JF nimekuta hii idea kwamba as a man hutakiwi kukimbiza sketi bali uzivutie. Eti wadada wanapenda wakaka high value, sasa tutoe maoni kuhusu high value men. High value man anakuwaje kulingana na watu, wanawake pia tuambieni mnapenda nn kwa wanaume?
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Kilimanjaro: Hakuna kijana yeyote anayesema No Election, Reforms zimeshafanyika

    MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana UVCCM wilaya ya Moshi (Moshi Vijijini ) Yuvenal Shirima ameeleza kuwa katika Wilaya ya hiyo hakuna Kijana yoyote anaesema "No Election" na kwamba wote wanaunga mkono uchaguzi kufanyika. Ameeleza hayo Jumamosi Mei 17, 2025 wakati wa fainali za mashindano ya mpira wa...
  17. JamiiForums Tanzania Kijana usikurupuke kuoa mwanamke usiyemjua vizuri

    Salamu za nini wakuu! Bado niña hang over za Kwanini wale ndugu wamefungwa goli chache Jana. Wanaweza rudisha Zile aisee! Niende moja Kwa moja kwenye mada. Kwa wale Vijana Ambao wanataka kuoa epuka sana kuoa mwanamke Kisa HISIA ZA MAPENZI na KISA KAKUTUNUKU TUNDA ukadhani unapendwa. Kuna...
  18. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia kijana wa kiume unapojihusisha na mahusiano ya kimapenzi

    1. Mwanamke anatumia sex kama zawadi, adhabu au nyenzo ya ulaghai kwa mwanaume. Umemfurahisha ? Atakupa sex. Umemkosea? Atakunyima sex. Umemfanyia wema? Atakulipa sex. Anataka kitu kutoka kwako? Ata-negotiate kwa sex. Usitarajie kupata valuable return yoyote kutoka kwa mwanaumke. Anakuja...
  19. JamiiForums Tanzania Haya ni majibu ya kijana anayeishi maisha ya useja

    Tulikuwa katika mazungumzo na vijana tofauti kuhusu maisha, kijana mmoja akaleta mada ya useja Kwa kuanza tulianza na mfano kwa kijana mmoja anayesemekana anaishi peke yake Nilianza na swali la kwanini ameamua kuishi peke yake nakama sababu ya ugumu wa maisha inachangia Kijana yule hakuwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Kijana wa form six kamaliza leo

    Habarini Nna mdogo wangu amemaliza kidato cha sita leo hapa dsm Anatafuta sehem yyte pakujishikiza Kijana ni shupavu na mwenye nidhamu 0718909429
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…