kijamii

Chama Cha Kijamii (CCK) is a political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Dunia inaenda kasi sana: AI wameanzisha mtandao wao wa kijamii (MOLTBOOK)

    Mambo yanakuwa mengi sana aisee, leo katika zurura yangu mitandaoni nimekutana na habari ya AI kuanzisha mtandao wa kijamii kwaajili ya AI agents kukutana, yaani humo ndani AI tofauti tofauti zinakutana na kupiga soga tofauti tofauti. Bila kusahau kutujadili binadamu. Eeeeh bwana eeeeh, hivi...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya Kijamii na Majukwaa ya Mtandaoni ni chachu ya ukuaji wa elimu ya Demokrasia Nchini

    Licha ya Mitandao ya Kijamii kurahisisha mawasiliano na kupatikana kwa taarifa katika jamii, imesaidia pia kukuza demokrasia kwa kuwawezesha wananchi kutoa maoni, kuhoji viongozi, na kushiriki mijadala ya kidemokrasia. Kupitia majukwaa ya mitandao hayo kama WhatsApp, X (zamani Twitter)...
  3. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda CDF Muhoozi atangaza Mitandao ya kijamii yote kufunguliwa rasmi leo baada ya uchaguzi

    Mkuu wa jeshi ya Ulinzi ya Uganda (CDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza kuondolewa kwa vikwazo vya matumizi ya mitandao ya kijamii kufuatia kukamilika kwa mchakato wa uchaguzi nchini humo. Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter) leo Januari 26...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuwe na sheria ya kuwahimiza au kuwalazimu viongozi wetu wawemo kwenye mitandao ya kijamii, ili Kuimarisha Mawasiliano na Uwajibikaji kwa Wananchi

    Pamoja na mchango wake mkubwa katika kuunganisha jamii, bado kumekuwepo na baadhi ya viongozi ambao hawajatambua kikamilifu umuhimu wa mitandao ya kijamii kama chombo cha kuwasogeza karibu na wananchi wanaowaongoza. Mitandao ya kijamii imeondoa mipaka kati ya kiongozi na mwananchi, dunia sio...
  5. Pakome

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kumaliza changamoto inayowasumbua JamiiForums ni mamlaka kuwajibisha watumiaji wanaovunja Sheria za Mitandao ya Kijamii na sio mtandao

    JamiiForums ni social media website ambayo inapokea User Generated Content Katika mitandao ya Kijamii ulimwenguni, ina watumiaji wa aina mbili Watumiaji wanaotii na wasiotii Sheria Ili kuweka usawa ni kuwajibisha wale watumiaji wanaovunja Sheria huku wanaotii wakibaki salama Hatuwezi...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii ndio inavujisha mbinu ndio maana anazikwepa yeye na CCM

    Kuna kitu naona hawa marunga marunga uja kuchota taarifa na maarifa kisha ujimaarisha. Mfano kuhusu D9 wangekuwa hawapuuzi wasingeweka wanajeshi barabarani sababu nao wapo wakifatilia. Umeona kitendo cha kutishia kuwa anaweza kufa kimemfanya kuongeza ulinzi wa hali ya juu ukilinganisha...
  7. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Mohammed Dewji: Mitandao ya kijamii inapaswa kukutumikia wewe si kukuteka wewe

    Anaandika tajiri Mohammed Dewji kupitia ukurasa wake wa (X). Nchi nyingi — kuanzia Australia hadi Denmark — sasa zinaweka mipaka ya matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto walio chini ya miaka 16.Kwa vijana wa Tanzania na Africa: lindeni akili zenu, muda wenu, na ndoto zenu.Mitandao ya...
  8. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania Uongozi Uliochoka na Taifa Lililogawanyika: Uchambuzi wa Kiuchumi, Kisiasa, na Kijamii wa Hali ya Tanzania

    Katika historia ya mataifa, kuna vipindi ambavyo misingi ya utawala imara huonekana kufifia, taasisi zikaishiwa nguvu, na kauli za viongozi zikaanza kutengeneza mipasuko ndani ya jamii badala ya kuijenga. Tanzania, katika miaka ya karibuni, imeingia katika kipindi cha aina hiyo kipindi ambacho...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kama Meta inaweza kusikiliza Serikali ya Tanzania, hawa wafuasi siku wakipata mtandao wa kijamii mwengine wamekwisha

    Kufungia account za wanaosema ukweli na wanaharakati kwenye mitandao ya kijamii kupitia Meta kunaonesha kujipoteza. Mi navyo wafahamu warusi na nchi nyengine ambazo social media zao zijaweza kuwa watu wengi na hii ndio itakuwa njia yao sahihi kutembelea kitonga. Kama wanaharakati wakipata...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kuna haja watu kujiunga na mitandao ya kijamii kwa taarifa zao sahihi za NIDA hasa JF

    Kumekuwa na tabia za watu kutoa taarifa za uongo na kuchangia vitu vya uongo kwe mitandao ya kijamii hasa JF kwakuwa wana uhakika hawawezi kukamatwa hivyo kuharibu malengo halisi ya jf na mitandao mingine kama kutukana na kutumia lugha chafu kufikisha au kuchangia hoja/mada. Sasa dawa yao ni...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna ID nyingi mitandao ya kijamii na zingine zinazotetea utawala huu ukiwajibu ukweli utajua ni ghost na zina ofisi

    ID nyingi kwa sasa zipo makusudi na tena walivyo jisahau zina majina ya kwao sana kutetea mtawala ,ukitaka kugundua we replay comment uwezi jibiwa ila kuna ID fake ambazo ujifanya ndio wapo wanapinga utawala mpaka zitangazwe na hizo wanapoona comment wanaingia DM wakiomba ujifanye kuwa pamoja...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kama Una Akaunti ya Mitandao ya Kijamii Uliyoisahau au Hutumii Tena, Nenda Ukaihakiki Mara Moja

    Ndugu wanajukwaa, Naomba jamii iwe makini na kuchukua tahadhari inapostahili, hasa katika kipindi hiki ambacho mijadala kuhusu matukio ya mauwaji ya Oktoba 29 hadi Novemba 4 pamoja na maandalizi ya maandamano ya Desemba 9 yamezidi kushika kasi. Leo nimejulishwa na rafiki yangu kuhusu matumizi...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Rais Paul Biya azuia Mitandao ya kijamii baada ya ripoti ya UN kudai kuwa vikosi vya usalama viliwaua raia 48 wakati wa maandamano ya kumpinga

    Serikali ya Cameroon imezuia matumizi ya mitandao ya kijamii ikiwemo TikTok, YouTube, Facebook na Telegram, saa chache tu baada ya ripoti ya Umoja wa Mataifa kudai kuwa vikosi vya usalama viliwaua raia 48 wakati wa maandamano ya kupinga kuchaguliwa tena kwa Rais Paul Biya. Kwa mujibu wa ripoti...
  14. majumba 6

    JamiiForums Tanzania Baada ya mtandao kufunguliwa maneno ya REST IN PEACE yametapakaa kwenye mtandao yote ya kijamii

    Pumzikeni Kwa Amani vijana wote mliotangulia mbele ya haki. Hakika vita mmeipiga na mwendo mmeumaliza..R.I.P ALL
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Netblocks: Mitandao ya kijamii bado Inakabiliwa na vikwazo licha ya Intaneti kurejeshwa Tanzania

    Kwa mujibu wa taarifa za NetBlocks, takwimu za moja kwa moja zinaonyesha kuwepo kwa vikwazo vikubwa kwenye mitandao ya kijamii na programu za ujumbe nchini Tanzania, hata baada ya huduma za intaneti kuanza kurejea taratibu kufuatia kukatikwa kwa mtandao kwa zaidi ya siku tano tangu Oktoba 29...
  16. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Car4Sale 2022 Toyota Hilux iko sokoni kwa bei ya kijamii

    N E W A R R I V A L Bei/Price TSH 135M Call +255 747 999 927 TOYOTA HILUX Year: 2022 Engine: 2.4L Mileage: 62K Fuel Used: DIESEL Transmission: AUTO Fog Lights Back Camera Push To Start 100% Duty Paid Free Registration Swap Deals Allowed
  17. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Wamekataa kuzima mitandao ya kijamii

    Wahuni wa CCM wamekataa kuzima mitandao ya kijamii eti wanadai na wao wanapata taarifa za waandamanaji kwenye hii mitandao ila wanapima upepo mpaka baadaye usiku kama hali itakuwa ngumu na watakuwa wameanza basi watazima mtandao ili kusiwe na mawasiliano kabisa. chukua hiyo kijana mwenzangu
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kasesela: Tusiamini kila tunaloliona kwenye mitandao ya kijamii, Msihangaike na MALOFA

    Mjumbe wa halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa ndugu Richard Kasesela, Amewataka watanzania kukuza ufahamu na kuacha kuamini kila wanachokisikia na kukiona kwenye mitandao ya kijamii bila kufanyia utafiti Amesema hayo Leo Oktoba 8, 2025 wakati wa mkutano wa kumnadi mgombea udiwani...
  19. britanicca

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Walipanga auawe tarehe 12/10/2025 na waendelee kushikilia account zake za kijamii, Ila account familia imezi-rescue

    Baada ya kumteka wanahangaika kudukua accounts zake za mitandao ya kijamii kwa kutumia device zao kwa kusaidiwa na wachina (tunawajua hao wachina na tutawaripoti wanyongwe na serikali yao na wakiona hii post waache mara moja) wamepanga wakisha hack wamuue wamtupe kwenye tindikali then...
  20. technically

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mitandao ya kijamii kuzimwa siku 5 kabla ya uchaguzi

    Nemepenyezewa taarifa na mtu mkubwa ndani ya tcra kwamba wamepewa maagizo kutoka jumba kuu kuzima mitandao tarehe 25/ 10 na kuiwasha tarehe 5/11 ili uchafuzi uweze kufanyika physically. Lakini pia kanidokeza kwamba vyombo vya ulinzi na usalama wamekataa maagizo hayo kwa kusema yatakuwa na...
Back
Top Bottom