kigoma

Kigoma is a town and lake port in north western Tanzania, on the north eastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as the capital for the surrounding Kigoma Region and has a population of 135,234 (2007 census) and an elevation of 775 m.
The historic trading town of Ujiji is 6 km south-east of Kigoma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kishindo cha BAVICHA chatikisa Kigoma, wawatembelea Wazazi wa Azory Gwanda

    Ile Taasisi ya vijana inayoongoza kwa Ubora barani Africa , na ya tatu kwa ubora duniani , BAVICHA , Imekwishaingia Mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi ya Kusambaza moto wa Katiba mpya Mkoani humo . Kabla ya kuanza operesheni ya KATIBA MPYA vijana hao wamefika kijiji cha MSIMBA kwa lengo la...
  2. JamiiForums Tanzania Kigoma: Mbaroni kwa kumuua mama yake mzazi

    Jeshi la Polisi mkoani Kigoma linamshikilia kijana Helman Jonh (23) kwa tuhuma za kumuua mama yake mzazi Selina William (63). Akizungumza leo Jumanne Februari Mosi 2022 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, James Manyama amesema kuwa kijana huyo alikuwa akimdai mama yake Sh300, 000. Amesema tukio...
  3. JamiiForums Tanzania Kigoma: Makamu wa Rais Mpango, afanya Utalii wa Ndani Gombe

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango ametembelea Hifadhi ya Taifa Gombe, mkoani Kigoma na kupata fursa ya kujionea vivutio mbalimbali vya utalii hususani wanyama adimu aina ya Sokwe Mtu. Makamu wa Rais aliyeambatana na Mke wake Mama Mbonimpaye Mpango...
  4. JamiiForums Tanzania Hili ndio jengo la Machinjio linalodaiwa kugharimu shilingi milioni 200 huko Kigoma

    Hizi ndio hesabu walizopiga magwiji wa makadirio wa serikali ya Tanzania kwa hii machinjio ya Kisasa iliyojengwa huko Ujijiji Mkoani Kigoma. Taarifa zinaonyesha kwamba hata hizo mil 200 za ujenzi wa jengo hilo hazikutosha kulikamilisha. Kazi Iendelee.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Serikali kutafuta fedha za ujenzi wa barabara ya Chankere - Kagunga mkoani Kigoma yenye urefu wa Kilomita 45

    Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) ameahidi kuwa Serikali itatafuta fedha za utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Chankere – Kagunga mkoani Kigoma yenye urefu wa Kilomita 45 itakayojengwa kwa kiwango cha zege. Ahadi hiyo ameitoa Mkoani Kigoma wakati wa...
  6. JamiiForums Tanzania Kigoma: John Mnyika awasili kushiriki mazishi ya Ally Kisalla

    Taarifa ya Chadema Mkoani Kigoma inaeleza kwamba, Mh Mnyika atashiriki Shughuli za mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoani humo Ally Kisalla, yanayotarajiwa kufanyika leo. Kamanda Ally Kisalla alifariki January 5, 2022 katika Hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam.
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta Chumba cha Kupanga Kigoma Mjini

    Habari, Natafuta chumba cha kupanga Kigoma mjini isiwe Ujiji wala uswahilini. Nitapendelea maeneo kama Kilimahewa,mjimwema,nazareth,maweni na viunga karibu na hivyo Chumba self cha nje napendelea zaidi Nyumba iwe ya kisasa (Presentable) Maji umeme na huduma zingine za muhimu usalama fence
  8. JamiiForums Tanzania Kigoma: Majambazi matano yameuwa yakijibizana na polisi.

    Watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameuawa wakati wa majibizano ya risasi na askari wa Jeshi la Polisi mkoani Kigoma wakati wakitekeleza tukio la utekaji na uporaji wa zana za uvuvi katika Ziwa Tanganyika. https://t.co/I4edd1kmZF
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu aweka rekodi ya kudumu Mikoa ya Kigoma na Katavi

    Wakati Taifa likielekea kupokea Jumla ya Mega Watt 2,115 kutoka kwenye bwawa la JNHPP kwenda kwenye gridi ya Taifa ya Umeme Kigoma na Katavi bado walikuwa wanaongelea habari za umeme wa sola na majenereta, Watu Wakigoma na Katavi ilikuwa ni hadithi ngeni kuwaambia watapokea mwekezaji...
  10. JamiiForums Tanzania Zitto anasema Magufuli aliharibu uchumi kwa miaka 5, msikilize hapa akiwa na Magufuli akimsifia hadharani

    Mimi ni mtu naependa consistency, mtu akishakua unpredictable siwezi kumuelewa. Leo Zitto anashinda mitandaoni anamsema Marehemu Magufuli kwamba aliharibu uchumi, hakuna kitu alichofanya na kumbebesha lawama zote za udhaifu ama inefficiency ya serikali ya awamu ya sita kwamba ilisababishwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia amezungumza kwa simu na Balozi wa Shina Namba 1, katika Kata ya Komunyika, Wilaya ya Kasulu, Kigoma

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza na Balozi wa Shina Namba 1, katika Kata ya Komunyika, Wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma, Ndugu Juma Ahmed Rugina na kumpongeza kwa kuongoza shina hilo kwa miaka ishirini. Balozi Mzee Rugina amezungumza na Rais Samia kupitia simu ya mkononi ya Katibu Mkuu wa...
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetemeko la ardhi Kigoma leo alfajiri

    Kuna tetemeko dogo limepiga Leo kigoma wilaya ya buhigwe alfajiri
  13. JamiiForums Tanzania Ziara ya Katibu Mkuu Wa CCM na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa Mikoa Ya Geita, Kagera, Kigoma, Katavi na Tabora

    ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NA SEKRETARIETI YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA MIKOA YA GEITA, KAGERA, KIGOMA, KATAVI NA TABORA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo atakuwa na Ziara ya Kikazi Mikoa ya Geita, Kagera, Kigoma, Katavi na Tabora akiambatana na Wajumbe wa...
  14. JamiiForums Tanzania Kigoma: Wamuua binti kwa kipigo wakimlazimisha kuolewa ili wapate ng'ombe

    JESHI la Polisi Mkoani Kigoma linawashikilia watu watatu akiwemo baba mzazi Kulwa Juakali (40) Mkazi wa kijijicha Lufubu wilayani Uvinza kwa tuhuma za kumpiga fimbo mtoto wake Mbaru Juakali (17) hadi kusababisha kifo huku chanzo cha tukio hilo kikidaiwa kuwa ni kumlazimisha mtoto huyo kuolewa...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia ametoa mashine za Dialysis kwenye Hospitali za Rufaa sita

    === Mtakumbuka kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ilikuokoa maisha ya watoto wa masikini alipunguza gharama za matibabu ya kuondoa uchafu kwenye damu (dialysis) hii ikiwa ni baada ya figo kushindwa kufanya kazi ya kuondoa maji na taka mwili kwenye damu vizuri === Rais Samia alipunguza bei ya...
  16. T

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Chama cha Mapinduzi chateua Makatibu katika Mikoa 32 na Wilaya 168

    Hongera crdes wote kwa kuaminiwa na kuteuliwa kwenu hakika ni imani kubwa sana mmepewa na Mkt wetu Ndg Samia Suluhu Hassan kaitendeeni haki. === Nendeni kachapeni kazi ili kama Chama tuweze kutimiza matamanio na matarajio ya Wananchi wa Taifa hili, === Kasimamieni zile TZS 1.3 za IMF vizuri...
  17. JamiiForums Tanzania Kigoma: Baadhi ya wakazi wagoma kulipa huduma ya maji wakidai ni ya Mungu

    Baadhi ya wakazi wa wilaya ya Kigoma wameripotiwa kugoma kulipia huduma ya maji kwa kile wanachodai kuwa bidhaa hiyo inaletwa na Mungu. Akizungumza katika mkutano wa nusu mwaka wa Wakala wa Usabazaji Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) wilayani Kigoma, Meneja wa wakala huo wilayani...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kazi kutoka Kigoma

    Habari za leo wadau. Natafuta kijana wa kulinda mji na kuweka msafi wakati wote kutoka kigoma. Awe; 1. MUAMINIFU, 2. mcha MUNGU 3. MKWELI na 4. MCHAPA KAZI KWELIKWELI Mshara ni Tzs 100,000/= kwa mwezi. Atatumiwa nauli ya kutoka huko kija huku. Naomba anitafute kwa namba hizi 0787998926...
  19. JamiiForums Tanzania Nipo mwambao wa Ziwa Tanganyika, uliza chochote kuhusu Kigoma utajibiwa

    Mwitongo hotel, Kigoma, Tanzania Karibuni Kigoma, Mkoa wa Kigoma uko magharibi mwa. Umepakana na Burundi na Mkoa wa Kagera upande wa Kaskazini, mikoa ya Shinyanga na Tabora upande wa mashariki na Mkoa wa Rukwa upande wa kusini. Magharibi umepakana na Ziwa Tanganyika penye mpaka na Jamhuri ya...
  20. JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda: Mikoa inayozalisha chakula kwa wingi inaongoza kwa udumavu kwa watoto

    Waziri wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda amesema takwimu zinaonesha udumavu kwa watoto unaongoza katika mikoa ambayo inazalisha chakula kwa wingi Mikoa hiyo ni Njombe 53.6%, Rukwa 47.9%, Iringa 47.1, Songwe 43.3%, Kigoma 42.3% na Ruvuma 41% Amesema hali hiyo hairidhishi. Serikali imeendelea na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…