WASIRA AKONGA NYOYO ZA WANANCHI KIGOMA MJINI
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewahutubia na kukonga nyoyo za mamia ya wana CCM na wananchi wa Kigoma mjini huku akiwataka kudumisha amani, umoja na mshikamano.
Wasira amewahutubia wananchi hao leo Mei...