kigaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani imeshindwa kuanzisha makundi ya kigaidi katika nchi mahasimu zisizo za Kiislamu?

    Kuna ukweli gani kwa madai ya baadhi ya watu kwamba Marekani ndiyo mwanzilishi wa makundi ya kigaidi kama Al-Qaeda, ISIS, Boko Haram na mengine mengi yanayosumbua katika nchi za Kiislamu au Kiarabu ili kuvuruga amani na kuchota rasilimali? Kwa nini Marekani haijaanzisha makundi ya kigaidi kama...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasiojulikana wavamia Ofisi za CHADEMA Kanda ya Nyasa na kumwaga sumu eneo lote kwa lengo la kuwaua Viongozi na Wanachama

    Wakuu! Sumu hiyo inaripotiwa kusababisha maumivu ya pua, kichwa, macho na koo. OCD wa Mbeya na timu yake walifika mapema kuchukua sampuli. Wapo wanaodai huu ni mkakati wa kisiasa kutumia kemikali hatari.
  3. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Uturuki: Kundi la kigaidi La PKK limetangazwa kuvunjwa na kuweka silaha chini

    Kundi la kigaidi la PKK, ambalo limehusika na mapigano ya zaidi ya miongo minne na kuwaua zaidi ya watu 40,000, limetangaza kuwa limevunjwa na kuweka silaha chini Chama cha Wafanyakazi wa Kurdistan (PKK) kimetangaza Mei 12 kufutwa kwake na kumalizika kwa zaidi ya miongo minne ya mapambano ya...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Israel yanaendelea kuharibu mahandaki huko Gaza

    Majeshi ya Israel yaendelea kuyaharibu mahandaki yanayotumiwa na magaidi wa Hamas huko Gaza. Hapo chini inaonekana handaki lenie zaidi ya kilomita moja likiangamizwa kwa ustami mkubwa na majeshi ya Israel
  5. I

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa kundi la kigaidi la Isis la nchini Iraq na Syria auwawa.

    Waziri Mkuu wa Iraq Mohammed Shia Al Sudani alitangaza siku ya Ijumaa kwamba Abdullah Miki Musleh al Rifai ambaye pia hujulikana kama Abu Khadija kiongozi wa kundi la kigaidi cha Isis cha Iraq na Syria ameuwawa. Gaidi huyo ameuawa kwenye opereseheni iliyofanywa na vikosi vya ulinzi vya Iraq kwa...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Lebanon yanasa dola milioni 2.5 kutoka Iran zikipelekwa kwa kundi la kigaidi la Hezbollah.

    Lebanon yatwaa dola milioni 2.5 zilizokuwa zikitumwa kwa Hezbollah kutoka Iran baada ya kumnasa mtu kwenye uwanja wa ndege katika tukio "lisilo na mfano". Mtu anayedaiwa kubeba dola milioni 2.5 pesa taslimu zilizokuwa zikipelekwa kwa kundi la kigaidi la Lebanon Hezbollah aliripotiwa kuzuiliwa...
  7. Bulelaa

    JamiiForums Tanzania Nchi zetu zifanye kama Israel kuyasambaratisha makundi ya kigaidi huku akimpiga na mfadhiri wa makundi hayo!

    Makundi ya Kigaidi huwezi kuyamaliza kama hujadhoofisha nguvu ya mfadhili wao Wengi tumeona vita vya Israel na makundi yaliyokuwa yakiisumbua nchi hiyo IDF hakuwa akipiga wanamgambo tu wa makundi ya kigaidi, bali aliwapiga na wafadhili wao wakuu na kuwadhoofisha kabisa, pale alipopiga mitambo...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hongera Trump kwa kutia saini Amri ya Utendaji inayoidhinisha kufukuzwa kwa watu wasio raia wa US wanaounga mkono mashirika ya kigaidi kama vile Hamas

    Kwa sisi wana marekani tulioko yombo vituka tunakupongeza sana. Walambe wote kaka, waje wakaandamane kwenye nchi zao zinazo support uoaji wa mabinti wadogo wa miaka 9...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Mali aifananisha ECOWAS na kikundi cha kigaidi

    Rais wa Mali Jenerali Assimi Goita amesema jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Afrika Magharibi ( ECOWAS) ni sawasawa na kikundi cha kigaidi. Rais Goita alitoa kauli hiyo mnamo tarehe 6 Januari 2025 alipokuwa akiwahutubia viongozi wa kimila, kidini pamoja na wale wa asasi za kiraia. Jenerali Assimi...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Shambulizi la kigaidi kwa kutumia gari aina ya pickup new Orleans Marekani, 10 wauawa na 30 wajeruhiwa , muuaji akutwa amefariki

    Wadau hamjamboni nyote? Ni shambulizi la kigaidi huko new Orleans Marekani Dereva aua watu 10 na kujeruhi wengine 30 baada ya kuendesha gari kwa spidi kubwa na kuvamia umati mkubwa wa watu walisherehekea mwaka mpya Dereva huyo pia aliwapiga risasi polisi wawili na kuwajeruhi Taarifa kamili...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Trump alipomshutumu Obama na Hillary Clinton kuasisi kikundi cha kigaidi cha ISIS

    Kipindi Trump anagombea urais dhidi ya Hillary Clinton, Donald Trump alipiga kombora zito lililowaacha wamarekani mdomo wazi. Trump alisema kuwa Obama kwa kushirikiana na Hillary Clinton ndiyo walioasisi kikundi cha kigaidi cha ISIS kilichoua malaki ya watu huko Syria. Kauli hiyo ilinukuliwa na...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Uturuki imewapiga Wakurdi zaidi mara 1000 ndani siku nne kuretaliate shambulio la kigaidi lilifofanyika. Cha ajabu hatusikii wanaharakati mkilaani

    Israel akirudisha mashambulizi kutokana na ugaidi anaofanyiwa mnawaita wauaji. Ooh, tushaelewa kwa nini. Turkey ni wale wale itikadi kali wenzenu ndio maana mko kimya.
  13. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Kinachowatesa Waarabu wa Kigaidi ni Waisrael kumiliki na ku-operate Satellites kwenye anga yote ya dunia

    Hakuna nchi yenye hakimiliki ya Satellite technology duniani isipokuwa Israel yaani hata leo Tanzania wakitaka kufunga sattelite kwenye anga yake ya taifa lazima aombe kibali kutoka Israel, Adui yako akikuweza kwenye technolojia ya mawasiliano umeisha mazima hicho ndicho kinachowatesa Waarabu...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mkuu wa Hezbollah Ahmed Wahabi anayeongoza idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi auawa na Jeshi la Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Ahmed Wahabi aliongoza Idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi ya Hezbollah Mungu ibariki Israel Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: One of those named by Hezbollah, Ahmed Wahabi, is identified by the terror group as a “commander.” Hezbollah rarely refers to its senior...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kufuatia tishio la wanachadema kufanya fujo, Dar es salaam yote iwekwe chini ya uangalizi maalum wa vyombo vya ukinzi na usalama

    NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka. Ofisi za chadema zote...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa kundi la Hezbollah Dokta Nassan Nasrallah aagiza Jeshi lake kuanza kuishambulia Israel kuanzia kesho Agosti 2, 2024

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha na amri imeshatolewa kwa magaidi kuanza kuichakaza Israel kesho kulipa kisasi mauaji ya Ismael haniyeh Muda wa mashambuluzi ni baada ya maziko ya Ismael haniyeh/ sala ya ijumaa, hivyo ni takribani kuanzia saa 7 mchana na kuendelea kwa saa za kwetu Afrika...
  17. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Magaidi wasihusishwe na Uislamu

    WAKATI vita ya Israel na Hamas inaendela, Waislamu wa HAMAS wakishajihishwa na Iran pamoja kundi la HEZBULAH lenye ufadhili wa Matajiri wanaoshinda CAsiino za Quatar ndio makundi yenye shughuli nyingi kwa sasa. Je Makundi haya ya uhusiano na waislamu au waislamu wanayakana haya makundi? JE...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu zaipa meno Hizbullah. Zasema kuanzia sasa si kundi la kigaidi tena

    Katibu mkuu wa jumuiya ya kiarabu mwishoni mwa wiki hii ameitembelea Lebanon na kukutana na kiongozi wa chama kinachoiwakilisha Hizbullah katika serikali ya Lebanon Bwana Hossam Zaki baada ya kukutana na kiongozi huyo alifanya mahojiano na vyombo vya habari kikiwemo Alqahera cha Misri na kusema...
  19. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hivi vikundi vya kigaidi vinavyoanzishwa na Wamarekani tunaogopa kuvilaani kupitia Dini zetu?

    Mimi huwa nachanganyikiwa na hili suala la kusema ISIs, Boko Haram, Al Shabab, Is, Hamas hivi vikundi ukivisema mabaya yake ya wazi kabisa huwa wanakimbilia kusema viliundwa na Marekani lakini husikii vikilaaniwa hata siku moja. Husikii kwenye nyumba zetu za ibada tukivilaani.
  20. Mgosi Mbena

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kujiondoa kwa Majeshi ya Africa Kusini nchini Msumbiji na kuiacha Tanzania na Rwanda dhidi ya kundi la kigaidi la Ansar al-Sunna kuna maana gani?

    Jeshi la Africa kusini linategemea kufunga virago msumbiji ambako vikosi vya SADC vikiongozwa na South Africa vilikua vikipambana na Kundi la kigaidi la kiislam Msumbiji. Hii ni kutokana na siasa za Africa kusini zinazoshinikiza Africa kusini kutoa majeshi DRC pia kwene nchi nyingine kama...
Back
Top Bottom