Leo msikitini tumeambiwa kuwa Marekani ndio mfadhili mkuu wa vikundi vya kigaidi kama ISIS, Al qaeda, Al shabaab, Uamsho na wengineo.
Je, wajuvi wa haya mambo, ni kweli?
Ijumaa Karim.
Majeshi ya Marekani yamefanikiwa kumuua kiongozi muhimu wa kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab nchini Somalia.
Kikundi hicho cha kigaidi kina mafungamano na kikundi cha kigaidi cha Al Qaeda ambaye kiongozi wake mkuu Bw. Osama bin Laden naye aliuawa nchini Pakistan na vikosi vya vya jeshi maalumu...
Leo, Agosti 7, 2022 ni miaka 24 tangu balozi za Marekani Dar es Salaam na Nairobi ziliposhambuliwa na magaidi. Mastermind wengi wa matukio haya wameshapotezwa including Osama bin Laden (2011) na Ayman al-Zawahir (Julai 31, 2022). Tuwaswalie ndugu zetu waliopotezwa roho zao kwenye matukio haya ya...
Taarifa zinadai kuwa shambulio hilo linatarajiwa kutokea katika mji mkuu Bamako, na linalenga vituo muhimu vya Serikali na maeneo ya Umma
Tahadhari hiyo imekuja siku chache baada ya raia 22 kuuawa katika eneo la Menaka kaskazini mwa Mali na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo
Hii ni tahadhari...
Serikali itayatambua Magenge ya Kihalifu ambayo yamekuwa yakihusishwa na utekaji nyara wa Wanafunzi kama Makundi ya Kigaidi, hatua inayotazamiwa kuimarisha Hali ya Usalama
Ghasia zimekuwa zinaongezeka Nchini humo na kuweka shinikizo kwa Serikali ambayo tayari imekuwa ikipambana na Boko Haram...
Mlipuko umetokea katika mji Mkuu wa Uganda, Kampala na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine watano kujeruhiwa
Rais Museveni amesema watu watatu waliacha ‘Mizigo’ kwenye eneo la tukio ambayo baadae ililipuka na kusababisha maafa. Ameahidi kuwafuatilia na kuwakamata wanaohusika
Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.