Habari wadau? Naomba ushauri kwa wale wenye ufahamu n uzoefu wa hii biashara ya ma-tipper kati ya Howo na Faw zote zikiwa mpya 0km ni ipi bora kuanza nayo kwa mfanyabiashara mpya na ipi pia ukitaka kuuza baada ya kuitumia kwa mwaka mmoja au miwili inakuwa na demand kubwa toka kwa wanunuzi?
Sisi ni Wakazi wa Mtaa wa Isevya, Muhimbili – Ilala, Dar es Salaam. Kuna kipande cha barabara kimefukuliwa kwa zaidi ya miezi miwili sasa. Baada ya kufukuliwa walimwaga kokoto mara moja tu, tangu hapo hakuna kilichofanyika.
Kwa sasa tunaoga vumbi kama maji 😔Watoto, wazee na wagonjwa tunaumwa...
Jumla ya wachimbaji wadogo 25 kutoka katika mgodi mdogo wa Nyandolwa unaomilikiwa na kikundi cha Wachapa Kazi, uliopo kijiji cha Mwongozo Halmashauri ya Shinyanga, wamefukiwa na kifusi baada ya mgodi kutitia.
shughuli ya uokoaji imefanywa na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa kushirikiana na...
Habari zenu wakuu, kuna sehemu nafanya kazi hapa Buguruni imevunjwa nyumba na limechimbwa shimo la choo sasa kifusi ni kingi na ni eneo la baarabarani, ikiwa unahitaji nicheki uje ubebe asubuhi bure kbisa. Njoo na gari na watu wako wa kupakia hicho kifusi 0624254690
Barabara ya Makonde inayoelekea Kanisa Katoliki Mbezi Juu imekuwa kero ya muda mrefu kwa watumiaji wake, hususan wa vyombo vya moto, kutokana na mashimo mengi na miundombinu duni. Hivi karibuni, kumemwagwa kifusi laini cha udongo mtupu ambacho, endapo mvua zikinyesha, kitazidisha hali mbaya...
Wachimbaji sita wamefariki dunia kwa kufukiwa na kifusi ndani ya mgodi wa dhahabu uliopo katika Kijiji cha Mwakitolyo wilayani Shinyanga.
Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia Mei 17, 2025 wakati wachimbaji hao walipokuwa wakiendelea na kazi katika mgodi wa dhahabu unaomilikiwa na wawekezaji...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera ameliagiza Jeshi la Polisi katika mkoani hapo kumkamata na kumweka ndani Mkandarasi anayejenga barabara ya Mtaa wa Uzunguni A Jirani na Mahakama ya Mwanzo endapo atashindwa kusambaza kifusi cha changarawe ambacho kimekuwepo maeneo hayo kwa muda mrefu.
Homera...
Unamkumbuka yule aliyekuwa mvuvi kijana Majaliwa aliyeokoa wahanga wa ajali ya ndege ya precision.
Baada ya lile tukio alipelekwa kwenye mafunzo ya kijeshi kikosi cha uokoaji.
Sasa hii ajali ya uokozi kila aliyeonekana anaweza kusaidia aliitwa akiwemo afande Majaliwa,katika jitihada za uokozi...
Kuna jamaa yule mwenye jezi ya Yanga alivyotolewa nilitegemea watu wangelia machozi ya furaha lakini wapi,...watu walikuwa kama wanshangalia movie,hakuna hisia kwenye nyuso zao,walishangilia utadhani wako mpirani wakati jamaa alikuwa katikati ya kifo na mauti,...Wanatamani lile zari lingewatokea...
Usipoteze tumaini na Imani MOYONI mwako hii ndio hukupa nguvu ya kutokata tamaa. Mungu hutushindia tulio na tumaini na imani ili tuwe mashuhuda wa kati ya walikuwa na AMANI 🙏🏿
Mungu awalinde na awakoe kwa mkono wake wa ushindi ambao bado wanalotumaini katika mazingira ya kifusi na walioko...
Muhanga wa tukio la ajali ya kuporomoka kwa Jengo Kariakoo 'Hassana Jeans' amezungumza siku ya leo baada ya kuokolewa.
Pia, Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
Nassor Athuman akizungumza kile alichokishuhudia baada ya kutoka eneo ambalo jengo limeanguka Kariakoo, Dar es Salaam.
Nassor amesema ameshuhudia watu 10 hadi 15 akiwa chini bila ya kuweza kuwasaidia kutokana na hali jinsi ilivyokuwa.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila anasema...
Newton First law of Motion.....
An object at rest remains at rest, and an object in motion remains in motion at constant speed and in a straight line unless acted on by an unbalanced force!!
kwa kukufafanulia kwa muktadha wa kwa nini grader halitakiwi sasa....
#kitu chochote kilichotulia...
Barabara ya Kwa Barikiwe - Kinzudi ni kero, najiuliza wasimamizi walisinzia wakati kinamwagwa kifusi cha gadeni tena kipindi hiki cha mvua?
Hali ya Barabara Africana njia ya kuanzia kwa "Kwa Barikiwe" kuelekea Kinzudi ni mbaya mamlaka zitusaidie hata kukwangua matope maana ni kero kwelikweli...
🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨Majasusi wa CIA M16 SBU na GRU wamechomolewa kwenye kifusi baada ya Russia kulipua jengo lao kwa Hypersonic. Ambulance na Helicopter zimebeba maiti na majeruhi kuwakimbiza Poland
"Militarist": Today, as a result of a sudden strike, the buildings of the SBU and the GUR in Kiev, as...
Ndugu zangu kuna taarifa nimezipata kuwa inadaiwa kuna Mgodi umetitia kutokana na mvua zinazoendelea Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu na Watu kadhaa kufukiwa.
Mgodi upo Kijiji kinaitwa Ikinabushu, details za jina na kilichotokea zaidi bado sijazipata.
Mliopo karibu na Bariadi tupeni taarifa...
Wachimbaji wawili wa dhahabu Mpina Shukuru (29) mkazi wa Muganza Chato mkoani Geita na Renatus Nyanga (35) Mkazi wa Sengerema mkoani Mwanza wameokolewa wakiwa hai baada ya kukaa kwa muda wa siku 8 ndani ya shimo walilofukiwa na kifusi wakitafuta dhahabu katika mgodi wa Igalula uliopo wilayani...
Picha moja iliyosambaa mtandaoni – ikiwemo hapa JamiiForums – inamuonesha mwanaume mmoja akiwa katika hali mbaya ya kiafya. Maelezo katika picha hiyo yameandikwa kwa lugha ya Kiarabu yakieleza: “Kutoka tetemeko la ardhi la Februari 6, leo ametolewa chini ya vifusi huko Antakya, Uturuki hai na...
Leo huko Antakya, Uturuki Mtu huyu alitolewa nje. Kutoka chini ya vifusi vy concreti alikuwa hai, miezi mitatu baada ya tetemeko la ardhi kutokea Uturuki, SubhanaAllah Yeye Allah ni muweza wa kila kitu.
========
Taarifa hii si ya kweli. Pata taarifa zaidi katika Jukwaa la JamiiCheck kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.