Watu wanne ambao ni wachimba madini, wamefariki kwa kufukiwa na kifusi cha mchanga katika eneo la machimbo ya madini ya dhahabu yaliyopo Kijiji cha Igomaa wilayani Mufindi mkoani Iringa, huku wengine watatu wakijeruhiwa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, ACP Allan Bukumbi, amethibitisha kutokea...
Wanawake waliokutwa hai ni Melike Imamoglu (42) na Cemile Kekec (74) wamwokolewa katika Mji wa Kahramanmaras wakati timu ya waokoaji ikiwa inasafisha maeneo yaliyoathirika, wengine waliookolewa wanatokea Mji wa Antakya ambapo ni mama na watoto wake wawili.
Jumla ya watu waliofariki kwa upande...
Wakuu watu hao wanahisiwa walikuwa katika mpango wa kumteka mtoto huyo mchanga. Kwa mujibu wa duru za habari kutokea katika hospitali hiyo watu hao wenye silaha walidai hawakuwa na nia ya kumteka mtoto Bali walikuwa wanamtafuta mkurugenzi wa hospital hiyo Kwa kumfukuza mwenzako. mkurugenzi wa...
Wachimbaji wadogo wawili wa familia moja katika Kijiji cha Sabora wilayani Geita wamefariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi wakati wakichimba madini ya dhahabu.
Wachimbaji hao Charles Nyamandodi na Benjamin Nyamandodi wanadaiwa kuingia kwenye shimo la uchimbaji lililoko kwenye leseni...
Wachimbaji wadogo watatu wamefariki dunia na wengine wawili wamejeruhiwa baada ya kufukiwa na kifusi cha udongo wakati wa kichimba madini ya dhahabu katika machimbo ya Nyamatagata wilayani Geita mkoani Geita.
Akizungumza na Mwananchi leo Ijumaa Julai 15, 2022, Mkuu wa Wilaya ya Geita, Wilson...
Watu kadhaaa wanahofiwa kufariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi wakati wakiwa kwenye shughuli za machimbo ya mawe katika eneo la machimbo ya Kikikaka, Mji Mwema Kigamboni, Dar es salaam. Kwa mujibu wa taarifa za awali shughuli za uokoaji zinaendelea.
Kwa mujibu wa shuhuda aliyekuwepo eneo la...
Watu watatu wamefariki Dunia na wengine watatu wamejeluhiwa baada ya kuangukiwa na Kifusi wakati wanapakia Molamu katika Machimbo ya Molamu yaliyopo Kisongo Wilayani Arusha.
Machimbo hayo yalishawahi kuuwa RAIA wengine na kufungwa na aliyekuwa mkuu wa Arusha ,Magesa Mulongo ,hata hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.