kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. JamiiForums Tanzania Ungefanya nini ukijua unakufa kesho ?

    Kifo ni ukumbusho wa jinsi tulivyo dhaifu, na kwamba kila kitu kinaweza kuondoka kwa sekunde. Hofu zako zote hizo - wale wanaokuzuia: hofu ya kukataliwa, kuchekwa, kutengwa; - haimaanishi chochote unapoongeza kifo kwenye fomula. Ungefanya nini, ikiwa ungejua utakufa baada ya saa chache...
  2. JamiiForums Tanzania Siku tutakayokufa ndio tutaujua Ukweli kuhusu hatma yetu baada ya kifo

    Kila nikitafakari sana kuhusu hili swala la maisha baada ya kifo katika Angle ya hizi dini zetu nagundua sisi wanadamu hatujui hatma yetu baada ya maisha haya. Muislamu anasema hili mkristo anasema lake...wa budhaa nao wanasema kivyao ,wahindu nao vilevile wanaelezea maisha ya kifo wanavyojua...
  3. JamiiForums Tanzania Waliokusudia kuinajisi Katiba ili Samia asiapishwe kuwa Rais waanza kujitokeza

    Asante CDF mstaafu kwa kudhibiti nia ovu za hao bandits na terrorist wa kisiasa ambao sasa wanajiexpose wenyewe moja moja tena wakiwa hidden places. Na bado..... Well done our security forces, well done CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan. Ndugu Rais, tafadhali sana shikilia hapo hapo mpaka...
  4. JamiiForums Tanzania Nilitarajia Polepole aweke hadharani ukweli juu ya kifo cha hayati Magufuli

    Aliposema kuwa kesho tusilaumiane juu ya nitakachoongea mimi binafsi nilitalijia ataweka wazi juu ya hili suala. Je ni kweli aliugua? Na kama aliugua mbona watanzania walifichwa kwa zaidi ya wiki tatu bila kumuona hayati hadharani? Je kulikuwa na uzembe? Polepole hajagusia kabisa!
  5. JamiiForums Tanzania Naweza kutabiri kifo cha kisiasa cha Polepole, press ya leo ilisubiriwa kwa hamu lakini kaongea mambo ya kawaida sana, sasa ajindae kwa mwangwi mkubwa

    Watu wengi walitaraji mambo ya maana kutoka kwake, kaishia kuongea mambo ya kawaida, ya hovyohovyo, hakuwa na jipya. Sasa ajipange kwa mwangwi unaokuja
  6. JamiiForums Tanzania Kifo cha Imam wetu kipenzi kinaleta Simanzi.

    Kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S mkombozi wa waislamu aliuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma, ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu. Alijitolea nafsi ili haki ipatikane duniani Na kurudisha utu wa ubinadamu. Wanadamu Sasa hivi tumejawa dhulma na uonevu na...
  7. JamiiForums Tanzania Kifo ni kifo tu isitumike kuwakebehi Machawa wa Mama na CCM tumuachie Mungu

    Nina uhakika hao machawa wa CCM wao mtu kupotezwa au kuuwawa kama mzee Ali Kibao sio ishu kubwa kwao maana chawa anajali tumbo lake kuliko uhai wa Mtanganyika. Tumuachie Mungu. Tuache kuwakebehi wanapofiwa. Ipo siku Mungu ataikomboa Tanganyika
  8. JamiiForums Tanzania Je, Tumeikosa Huruma Yetu ya Kibinadamu?

    Msiba ni jaribu zito, unaoumiza moyo, unaobomoa ndoto na kuacha pengo lisilozibika. Kwa kawaida, msiba huambatana na majonzi, dua, na faraja kwa wafiwa. Lakini kinachoshangaza na kusikitisha ni pale baadhi ya watu wanapopokea taarifa za msiba kama fursa ya dhihaka, chuki au shangwe kubwa...
  9. JamiiForums Tanzania Siku mkeo akianza kulala na mwanaume mwingine jua kifo chako kimekaribia

    "Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.Ndiyo maana wanaume...
  10. JamiiForums Tanzania Utata mkubwa wazunguka KIFO Cha Mtoto wa JB MPIANA Oceane aliefariki kwa ajali

    Mwanamuziki nguli na mkongwe wa DRC wale wapenzi wa muziki ya Congo , rhumba , soukouss, n k watakua sio jina geni kwao, JB MPIANA , akiwa mapumzikoni South Africa, alitaarifiwa juu ya kifo cha Binti yake Océane kutokana na ajali ya gari. Océane alikua na mazoea yakwenda mara kwa mara...
  11. JamiiForums Tanzania Kifo cha DIOGO JOTA kuleta Sheria mpya TFF

    Habari waungwana, Napenda kutoa pole kwa wapenzi wote wa soka ulimwenguni ( hasa familia na klabu yake) kwa kuondokewa na kipenzi chao. (Mwenyezi mungu ampe pumnziko la milele - RIP). Kama mdau nimeona Kuna mambo ya kupitia kuona ni changamoto gani walizopitia/wanazopitia "familia" za wachezaji...
  12. JamiiForums Tanzania Sehemu Ambazo ni hatari kuishi ni pamoja na vijijini watu wamejawa na roho zisizo na huruma kifo cha Enock ni weak up call.

    Jambo Ambalo nimekuwa nikiwaambia watu Kama una uwezo usiishi kijijini wala uswahilini hizo sehemu zina watu ambao roho zao zimeshachafukwa. Ona Kijana Enock anauliwa Kama Nguruwe so sad.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kifo kinathibitisha kwamba Wanadamu wote ni sawa

    Kifo kinathibitisha kwamba Wanadamu wote ni sawa.
  14. JamiiForums Tanzania Nina mashaka makubwa na kifo Bernad Membe something is wrong .

    ...
  15. JamiiForums Tanzania Kifo Cha Membe kifanyiwe uchunguzi

    Bado Nina mashaka na kifo chake Alikuwa mtia Nia urais 2025
  16. JamiiForums Tanzania Nani alifaa baada ya Kifo Cha JPM?

    Wewe uliona nani Angeendelea kuuongoza Urais baada ya kifo cha JPM
  17. JamiiForums Tanzania Leo nimeamini barabara ya coco beach ni mtego wa kifo (death trap)

    Habari za jioni ndugu na dada zangu Naandika haya nikiwa nimenusurika kufa jioni hii hii wakati navuka barabara kwenda coco beach Niseme tu barabara ile ina makosa ya kiusakama.Barabara haina hata tuta moja ,Iko flat mwanzo mwisho. Matokeo yake magari yanayopita pake ni kama yanashindana...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kifo Cha dereva, kimewavuruga waliobakia, Unatamani kugombea Ili iweje?

    Salaam, Shalom! Ulianza safari na dereva , dereva akafia njiani, akawekwa kondakta amalizie safari ya kilometa tano zilizobaki. Hivi tunavyoongea, dereva Yuko njiani kwenda kuvunja nyumba Ile ya maamuzi ya ukoo. Dereva ambaye ameshika usukani ,amefikisha jumla kilometa kumi za safari. Na...
  19. JamiiForums Tanzania Majaliwa: Kifo cha Magufuli kilituacha na Giza Nene, lakini Samia alisimama Imara kwa Busara na Ujasiri wa Kipekee

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, leo Alhamisi Juni 26, 2025, ametoa hotuba ya kuhitimisha Mkutano wa 19 wa Bunge la 12, huku akimkumbuka hayati Rais John Magufuli na kumsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuongoza vyema licha ya kuachiwa nchi katika kipindi kigumu...
  20. JamiiForums Tanzania Akifa muisrael au kupigwa hospitali ni kosa ila haki ikifanya hivyo kwa wengine

    Hakuna taifa la hovyo kama Israel. Likishambuliwa ni uharifu wa kivita na mauaji ya kimbari. Likiua, ni haki na sawa. Sijui ni akili gani wanyama kama Netanyahu na Trump wanatumia. Kumbe mkuki kwa nguruwe siyo? Halo halo!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…