kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. D

    JamiiForums Tanzania Siku ya kumbukumbu ya kifo cha Mkapa ni lini? Mana huyu kwangu ndo alikuwa rais bora na siyo huyu

    Mkapa alianzisha vitu vingi kama 1. TRA .2. NSSF 3. Bodi ya mikopo Nk
  2. JamiiForums Tanzania Kutokuwepo na siku ya kumbukizi ya kifo cha JPM tarehe 17 Machi kila mwaka ni dhihaka kwa taifa

    17 March 2021 Rais John Pombe Magufuli Rais wa awamu ya tano aliaga dunia. Pamoja na madhaifu yake kama binadamu ila ameacha legacy itakayodumu vizazi na vizazi. Ametuachia miradi mikubwa ya kimkakati ikiwepo SGR, bwala la Julius Nyerere, uboreshwaji wa huduma za kijamii ikiwepo shule barabara...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Dr Chamuriho nusura aukwae Umakamu baada ya kifo cha Shujaa

    1. Mara baada ya kifo cha Magufuli. Dr Chamuriho (Waziri wakati huo) ndio alitajwa Sana kuwa angekua Makamu ila kama mnavyojua siasa zetu za fitna. 2. Mwamba akanyang'anywa hata uwaziri wenyewe. 2025-2030 itabid arudi kwenye chaki upya kule Jalalani
  4. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari Redio na TV havina mpango na kumbukizi ya kifo cha John Magufuli

    VItuo vya Tv na Redio ukitazama au kusikiliza huwezi kusikia kiashiria chochote kuhusu siku ya leo ikiwa ni kumbukumbu ya miaka minne ya kifo cha John Pombe Magufuli ila mitandao ya kijamii kila sehemu lazima ukutane na taarifa hii. Serikali nayo kama haijui kinachoendelea labda kiongozi mmoja...
  5. JamiiForums Tanzania Utata Juu ya Kifo cha Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.

    Tulipata Rais ambaye ni SCIENTIST first time in History. Sifa kubwa ya Scientist ni kuona mambo yanatokea. Kuna Nadharia mbili juu ya Kifo cha JPM inayopelekea kila mtanzania anaongea lake. Hizi Hapa ; 1. Rais JPM Uhai wake ulikatishwa Madhuluma 2. Kifo cha Dkt. JPM( PhD holder ya Darasani)...
  6. JamiiForums Tanzania Nilianza kuamini uwepo wa Mungu baada ya kifo cha Magufuli

    Nilianza kuamini uwepo wa Mungu baada ya kifo cha Magufuli. Maana watu walilalamika juu ya utawala mbovu Ila baadae Mungu aliamua kujibu Ahsante Mungu
  7. JamiiForums Tanzania Tukiwa tunaadhimisha miaka minne ya kifo cha hayati Magufuli, huyu mlinzi wake nilikuwa namkubali, yuko wapi siku hizi?

    Tukiwa tunaadhimisha miaka minne ya kifo cha Magufuli, aliyepata kuwa Rais wa awamu ya tano. Leo naomba nifahamishwe kuhusu huyu mlinzi wake, nilikuwa namkubali sana, yuko makini na hana papara kama yule bonge. Jamaa alikuwa mrefu na anaonekana ni mtu wa mazoezi, mtulivu sana, yuko wapi siku hizi?
  8. JamiiForums Tanzania Somalia sheria ya kifo kwa wahalifu na magaidi imesaidia kuituliza somalia

    Somalia imepitia kipindi kigumu sana tokea kufa kwa serikali ya mwanzoni. Ila kwa sheria ambazo wameweka ya kifo naona hata wale al shabab wenyewe wamekuwa kimya sana wakijua hakuna mabikira tena. Somalia baada ya miaka ya mbeleni itakuwa imetulia na kuwa nchi salama sana
  9. JamiiForums Tanzania Nayachukia maisha sababu ya kifo

    Nimeamka leo na taarifa ya msiba wa ndugu wa karibu aliyefariki jana usiku kutokana na ajali. Kama umeshawahi kuondokewa na mpendwa wako, mzazi, rafiki wa karibu unajua maumivu makali ya kupoteza mtu ambaye alikuwepo kwenye maisha yako na ghafla hayupo tena. Nayachukia sana maisha kila...
  10. JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kifo, dini, filosofia na sayansi vinasemaje?

    Swali kuhusu "maisha baada ya kifo" ni swali la kifalsafa na kidini ambalo limekuwa likijadiliwa kwa karne nyingi. Jibu linategemea sana imani na msimamo wa kila mtu. Hapa kuna baadhi ya mitazamo kuu: 1. Dini za Kikristo: Zinasisitiza kuwa kuna maisha baada ya kifo, ambapo watu wanaweza kuishi...
  11. JamiiForums Tanzania Nini kilichopo nyuma ya kifo

    Imani za watu, huvunjika na kupotea baada ya kupatwa na mtihani wa mauti. Hapo hata wapendwa, mashehk, mapadri, wachungaji hulia kwa huzuni ya kuondokewa na mpendwa wake. Ni ngumu kukabiliana na tukio la kuondokewa au kufiwa, lakini je Mungu ana kusudi gani juu ya Kifo?. Kwa kuwa kila mtu ana...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi mtu anavyokihisi kifo

    hivi kwenye haya maisha yetu ya kila siku tumewai kujiuliza baadhi ya njia za maisha ya akhera, basi nimepitia nukuu moja inasema "uwe hodari na jasiri usiogope,usife moyo,kwa maana mwenyezi wako atakuwa pamoja nawe kila uendako"
  13. JamiiForums Tanzania Anayetuhumiwa kumbaka, kumchoma binti wa Miaka 17 kisha kusababisha kifo chake, akamatwa

    Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia mtu mmoja aitwaye Emmanuel Charles (25) mkazi wa wilaya ya Arumeru kwa tuhuma za mauaji ya binti mmoja (17) ambaye jina lake limehifadhiwa mkazi wa wilaya ya Arumeru na Mkoani humo. Akitoa taarifa hiyo leo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Je mtu akifa, tozo za kodi endelevu kama za ardhi, zinasimama ?

    Mwenye mali akifa, kodi za ardhi zinaendelea kuhesabiwa ? Nani anadaiwa ? Shauri la Mirathi limeisha baada ya miaka 7, Daudi umepewa nyumba ya marehemu babaako. Kupata nyaraka za umiliki mpya unaambiwa nyumba ina deni la kodi ya ardhi miaka 7. Nani alipe ? Kwanini ?
  15. JamiiForums Tanzania Mtu mwenye ulemavu (Albino) akutwa amefariki ndani, mlango ukiwa umefungwa kwa kufuli

    Wande Mbiti (38), mkazi wa Kitongoji cha Busalala, Kijiji cha Nhelegani, Kata ya Kizumbi, mkoani Shinyanga, mwenye ulemavu wa ngozi (albino), amekutwa amefariki dunia ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi huku mlango wa nyumba hiyo ukiwa umefungwa kwa kufuli kwa nje. Tukio hilo limebainika jana...
  16. JamiiForums Tanzania NIMEOTA NIMEPIGIWA SIMU NA KAKA KUPEWA TAARIFA YA KIFO CHA MAMA........

    Aiseee kulala lala mchana jau sana leo nikiwa nimelala nikaota nimepigiwa simu na kaka yangu ninayemfuatia kuzaliwa akidai tumefiwa na mama yetu mkubwa japo hatruna mama mzazi wala mama wakubwa wote waameshatangulia mbele za haki na tumebaki na mama mdogo tu/mlezi na akaiunganisha iyo simu na...
  17. S

    JamiiForums Tanzania T Bag nae alihuzunika kifo cha Brad Bellick

    Hii ni picha ya TBag baada ya kupewa taarifa na Fernando sucre kwamba Brad bellick amefariki T Bag alikua alikua na moyo mgumu ila alivyopewa taarifa ghafla alipata mshangao , hakuamini mwishowe alihuzunika sana . officer bellick dakika za jion kabsa hatunae
  18. M

    JamiiForums Tanzania Je, wajua mwaka huku hapatakua na kumbukumbu ya kifo cha ally Hassan Mwinyi Rais wa awamu ya pili?

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza, Rais mwinyi alifariki tar 29-02-2024 na kalenda ya mwaka huu hamna hio tarehe. Je, kutakuwa na kumbukumbu ya kifo chake kama ilivo kawaida ya kukumbuka siku za maraisi wengne walio fariki? Je, waliotangaza kifo hiki siku ya tarehe 29 hawakujua kama tar 29...
  19. JamiiForums Tanzania TANZIA Kiongozi wa TLS Kagera, Seth Niyikiza akutwa amekufa nyumbani kwake

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Mkoa wa Kagera, Seth Niyikiza amefariki dunia akiwa kajifungia ndani mwake. Akithibitisha tukio hilo leo Jumatano Februari 26, 2025 Kamanda wa Polisi mkoani humo, Brasius Chatanda amesema mwili wa wakili huyo ulibainika baada ya mteja...
  20. JamiiForums Tanzania Aliyemchoma Mkewe Kwa Mkaa, ahukumiwa Kifo , ila Marehem Dada wa Bilionea Msuya , hakuwahi pata Haki yake

    Hizo ndo Mahakama zetu sasa , Wenyewe Wana Lugha yao utasikia "Technical Errors" https://youtu.be/ydRPqeEjo68?si=fXGHbowBJnoiD4pW
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…