Ndugu zangu wana soka hili tatizo mnalionaje namna alichukuliaje?mmefuatilia hawa wanaoitwa wachambuzi kwenye media mbalimbali? Yaani imekuwa ni kawaida mtu kuzungumza chochote, bila ushahidi wowote bila aibu, taarifa za kubagaza na kubananga brand za timu zetu. (Hasa,Simba na Yanga)
Je suala...