kidole

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa kmya ,mtu kaq'atwa kidole wakati anajitafta

    Nchi ya kusadikika ,kwani mishahara imeisha au . Yaan nimemtembeza weee na kidole kaniqata na pesa hajanipa,,😂😂😂😂😂. ,wenye visemeo taarifa kwa umma hakuna duuuuuuu. ngoja nirudi kulala
  2. M

    JamiiForums Tanzania Polisi adaiwa kumkodi Bodaboda na kukataa kumlipa baada ya kumzungusha kwa saa 1

    Inadaiwa huyu askari alimkodi huyo boda boda kwenye video na baada ya kumzungusha kwa saa moja kagoma kumlipa, kwa mujibu wa maelezo ya boda kulitokea ugomvi ambao ulisababisha huyo polisi kumng'ata kidole huyo boda hali iliyomfanya yeye ampige ngumi ndipo alipomuachia. Hizi aibu kwa jeshi hili...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Njia ya kumuachisha mtoto kunyonya kidole

    Wana JF, Ni njia gani isiyo na madhara ya kumfanya mtoto aache kunyonya vidole, ana miezi 7 sasa ila naona kwa kasi anayoenda nayo yaani hadi usingizini yeye yuko navyo tu... Sitamani afike umri mpaka anaanza shule awe ananyonya na pia nasikia vinaharibu dental formula hivyo nawezaje...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kabla hujainyooshea kidole Serikali tafakari kwanza familia yako

    Itakua ni ngumu sana kupiga vita madawa kulevya kama familia haijakaa sehemu yake, itakuwa ngumu mno kuwapata viongozi bora kama familia haijakaa sehemu yake, kwa hiyo ni wito wetu kama Serikali ya kwamba jukumu walilonalo kila mwananchi ni kuitafakari kwanza familia yake kabla hajanyoosha...
  5. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wajanja wengi wamejificha, kidole mdomoni, wanaadabu. Onyo la MO29 ni mpumbavu pekee anaweza kulipuuza

    Hamjambo wote! 1. MO29 ilikuwa ni mawingu. Ilionyesha uwezekano pasipo uwezekano. 2. Uliwahi kujiuliza kama MO29 ingefanikiwa walau kwa asilimia 50% nini kingetokea? Najua sio Kila MTU anaweza ku-project matukio, lakini ninakuhakikishia ukweli ni kuwa MO29 ingefanikiwa walau kwa 50% mpaka...
  6. JamiiForums Tanzania Tukio la Kipa wa Yanga, Diarra kuwaonesha Wanahabari kidole cha kati , imenikumbusha Chuji alivyofanya hivyo akafungiwa

    Nimeona clip ya Kipa wa Yanga, Djigui Diarra akioneshea kidole cha kati cha mkono wake wa kushoto kuelekea kwa Waandishi wa Habari waliokuwa wakiwarekodi Wachezaji wa timu hiyo wakati wakielekea katika basi ili kuondoka kwenye Uwanja wa Jamhuri baada ya matokeo ya sare ya 1-1 dhidi ya Mtibwa...
  7. JamiiForums Tanzania Ramadhan Special Thread

    Asalaam Aleykum ndugu zangu wote katika imani, Kuelekea mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhan, waislamu wote ninawaomba tukutane humu ili tuelimishane mawili matatu kuhusu mwezi huu. Lengo kuu ni kuweza kufahamu yale yote aliyotufunza kipenzi chetu mtume Muhammad S.A.W kuhusu mwezi huu. Vitu...
  8. JamiiForums Tanzania Nicknames maarufu za wana JF

    HAYA LAND HOV manyaunyau GENTAMYCINE popoma Binti wa zamani bibi kizee cha tulin min -me bwashee ELI COHEN myahudi Lucas Mwashambwa chawa Mshana Jr mtaalam Shusha nyingine😁
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waandamanaji wakata kidole cha raia aliyepiga kura Oktoba 29

    WAANDAMANAJI WAKATA KIDOLE CHA RAIA ALIYEPIGA KURA😭 Ni uchungu mkubwa kuona raia anakatwa kidole kwa kosa la kutimiza wajibu wake wa kikatiba — kupiga kura. Kosa lake ni lipi? Ni kutumia haki yake ya kidemokrasia. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 21(1) inasema wazi: Hivyo...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Tiba asili tusizibeze sana, Mdudu aliekuwa ananisumbua kwenye kidole kaacha jeuri ndani ya masaa manne tu

    Siku ya juzi na janausiku nilisumbuliwa na maumivu makali ya mdudu ndani ya kidole cha pete. Huyu mdudu anakusubiri umalize mishe zako, vile umetulia au umelala yeye ndio anaanza kazi yake, ni tafrani. Nimehangaika hospitalini, daktari kaniandikia dawa ila hakuna nafuu Siku ya leo nikawa...
  11. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula Afunguka: Shambulio la Fr. Kitima Tunataka Haki, Rais Atanyooshewa Kidole!

    Mwamakula Ametuma salamu za pole huku akilaani tukio hilo huku akieleza kuiwa tukio hilo haliwezi kuwarudisha nyuma katika kudai haki nchini tanzania ameeleza kuwa misimao hiyo intoka na kile ambacho inatokana na fr kitima kutoa tamko kuhusu hali ya demokrasia nchi na kuelezea kuwa tukio...
  12. JamiiForums Tanzania Je, kwanini ndoa imekuwa ngumu kufikiwa?

    1️⃣ Matarajio Makubwa – Watu wengi sasa wana vigezo vingi vya mwenza wanayetaka. Wanaume wanataka wanawake wenye heshima, waelewa, na waaminifu, wakati wanawake wanataka mwanaume aliye stable kifedha, mwenye malengo, na asiye na michepuko. Lakini mara nyingi, watu wanakutana na wenza...
  13. JamiiForums Tanzania Bashungwa: Nenda rudi ya Baraza la Ardhi Karagwe inarudisha nyuma maendeleo ya Wananchi

    Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuboresha utoaji huduma wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya liweze kutenda haki kwa wakati katika usuluhishi wa migogoro na kupunguza malalamiko ya Wananchi ili kukomesha...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Siku ya tano baada ya ndoa, mume "kapigwa marufuku kushika manyonyo na kutumia kidole" wakiwa faragha

    Ohoo! Kwa masharti haya, jamaa kamix kinoma. Anauliza kila mtu kuwa "huyu mwanamke karogwa nini?" Mke naye haelewi, anadai huo upuuzi wa kunyonya na kuyashika manyonyo yeye hataki kwa kuwa huwa unazeesha matiti. Na pia hataki kuchorongwa na kidole maana mdomo wa "kipochi manyoya" huwa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mohamed Issa: Kwenye hili la utekaji sio serikali pekee ya kunyooshewa kidole hata hao wapinzani wanaweza kutekana

    Akizungumza na BBC mchambuzi wa mambo ya kisiasa ndugu Mohamed Issa amesema kuinyooshea Serikali pekee kwenye mambo ya kupotea na kutekwa kwa watu sio sawa kwani hata vyama vya upinzani huwa vinafanya hayo matukio kama matokeo ya kutofautiana wao kwa wao. My take Hivi inawezekana kweli kwa...
  16. JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Asali haitiwi kidole

    ASALI HAITIWI KIDOLE SEHEMU YA KWANZA MTUNZI: EDGAR MBOGO WHATSAPP: 0717924403 au 0743632247. TAHADHARI: Hadithi hii ya #ASALI_HAITIWI_KIDOLE inayo somwa na mtu mwenye umri wa kuanzia miaka 18 na kuendelea, ni hadithi yenye kisa chenye ubunifu kwa hasilimia mia moja, sehemu, mitaa na majina...
  17. JamiiForums Tanzania Mwaka wa Tisa huu sijampiga wala kumnyooshea kidole Wakati kumtukana Binti Kimoso

    MWAKA WA TISA HUU SIJAMPIGA WALA KUMNYOOSHEA KIDOLE WALA KUMTUKANA BINTI KIMOSO Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Miaka tisa siô mingi Sana làkini pia kwèñye mahusiano ya mapenzi hasa nyakati hizô siô miaka michache. Katika miaka yote hiyo tumepitia mambo mbalimbali yaliyotujenga na yapo...
  18. JamiiForums Tanzania Njia za kutoa pete iliyokwama kwenye kidole kilichovimba

    Kwa wale wanaovaa Pete iwe dhahabu au silver au shaba ukijiskia kuitoa halafu ikagoma unaanza kuchanganyikiwa relax usipanic ni hatari lakini ni salama kama iliingia lazima kuna namna ya kuitoa. Na Mara nyingi Pete kugoma husababishwa nakuilazimisha Pete ndogo, au kuivaa Kwa muda mrefu Hatimaye...
  19. JamiiForums Tanzania Toothpick imeharibu kidole cha jamaa

    Wasalaam Wana JF, Hii habari nimeitoa kwenye group la WhatsApp, ni ya kweli na imemtokea Jamaa ambaye tupo nae kwenye group la WhatsApp la Liverpool One Family. Anaanza kusimulia Habari zenu nyote humu ndani poleni na majukumi. Awali ya yote napenda niwashilikishe jambo ambalo limenitokea...
  20. JamiiForums Tanzania Mo Dewji tunaomba utusamehe sisi sote tuliokunyoshea kidole kwenye Mali yako

    Kiukweli tusamehe sana MO, Mimi nikiwa wakilisha Mashabiki wenzangu wa Simba. Naomba Utusamehe sana kukusema kuwa wewe ni bahili Mara hujitoi na tukaenda mbali kukulazimisha kuachia Timu pasipokujua hii ni Mali yako na umeinunua Miaka Mingi yapata 5 sasa. Tusamehe sana RAIS WA HESHIMA Sisi ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…