kidogo

The Old Kerosene Store is located at Bathers Beach in Fremantle, Western Australia, adjacent to the ruins of the original Fremantle Long Jetty. It is a single-storey limestone building and forms part of the historic Arthur Head Reserve precinct.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kufa Kidogo Ili Kuishi Zaidi: Tafakuri Dawa Kama Sumu Iliyopimwa Kwa Usahihi

    Health Je, wewe ni mganga wa jadi? Mfamasia? Au labda mtafiti unayetafuta tiba kubwa inayofuata kwa ugonjwa wa kisukari, unene uliopitiliza, au magonjwa yasiyo ya kuambukiza yanayohusiana na mtindo wa maisha? Je, umechoka kutafuta? Inawezekana majibu yako hayako katika molekuli mpya, bali...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo tu ndani ya nyumba kwa matumizi anaongea sana na kununa nuna?

    Hebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
  3. JamiiForums Tanzania CCM Oneni Aibu Hata Kidogo! Fix Hadi Lucifer Mwenyewe Anashangaa!

    Wala nisiseme mengi bali msikilizeni Mbunge wa Kawe na mjumbe wa NEC ya CCM anavyo wapiga fix wakazi wa Kawe na Watanzania akiwa mbele ya viongozi wenzake wa CCM. Uongo hadi Shetani anashika mdomo kwa mshangao!
  4. JamiiForums Tanzania Pongezi:Nilikuwa mbezi kituo kidogo Cha mabasi, kweli watu hawalali kusaka maisha. Mungu baba wape riziki watu wako.

    Pongezi:Nilikuwa mbezi kituo kidogo Cha mabasi, kweli watu hawalali kusaka maisha. Mungu baba wape riziki watu wako. Wamama wauza matunda, wauza kahawa, vyakula na kulala sehemu yoyote kubwa uwe na box Mungu wapiganie watu wako sikiliza haja mioyo Yao......
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tujifunze Lingala kidogo! sio mbaya tukiingia 2025 tunajua maneno baadhi

    Nimepata jirani mkongo ameni inspire LINGALA. Ozali malamu- mambo vp? Nazali kobela- naumwa Kombo na yo- jina lako nani? Bolingo na ngai- mpenzi wangu Posa ya mayi- kiu ya maji Muzina di tata Nzambe -kwa jina la Mungu baba Motema na ngai-moyo wangu Kopo ya masanga- glass ya pombe Nyama ya...
  6. JamiiForums Tanzania Mama kutoka Ghana aliwahi kuniambia Wachaga na Wanyantuzu ndio wanajituma kama watu wa Afrika Magharibi, Wengine ni wapole sana

    Huyu mama amekaa TZ kwa miaka kama 12. Anadai watu wote wa Afrika Magharibi hasa Nigeria na Ghana ni machachari ( agressive) sio wapole wapole kwenye mambo ya msingi ya maisha. Nilimbishia ila kwa kauli ya Aliyekuwa Rais wetu JK kuwa watanzania wengine hatujitumi kama wachaga naona kama yule...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anatafuta uongozi ndani ya Chadema kwa njia za uongo, hila, uchonganishi, uropokaji, hafai hasta kidogo

    Kwa sababu ameaminisha watu kuwa eye ni mkweli, anaongea hasta mambo ya vikao vya Kamati Kuu, anatuhumu wenzake kwa mambo ya uongo kabisa ambayo anajua kabisa kuwa anawachafua wenzake ili kujenga Imani kwa wanachama aonekane mkweli. Anatafuta uongozi kwa kuwadanganya watanzania kuwa yeye ni...
  8. JamiiForums Tanzania Polisi anafanya kazi mbali na inapoishi familia yake. Askari Mgambo anatumwa kukamata watu wa mtaani kwake. Hii sio sawa hata kidogo....

    Good Morning my dear brothers and sisters out there. MGAMBO WANAOFANYA KAZI SAMBAMBA NA POLISI NJE YA MIJI MIKUBWA (DAR, MWANZA, ARUSHA, MBEYA) (1) Mgambo anakamata watu anaoishi nao mtaa mmoja. Polisi anakamata watu nje ya eneo analoishi yeye pamoja na familia yake. Hii ni nini kama sio...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Imepita wiki 3 mdomo wangu mkavu na kidonda kidogo kisicho na maumivu. Je, nina UKIMWI?

    Imepita wiki 3 na mdomo mkavu na kidonda kidogo kwenye lip ya juu hakiumi ila Sina dalili zingine kama kuumwa kichwa au homa je na UKIMWI
  10. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu amebadilisha dini tangu amenda kufanya kazi nchi za kiarabu

    Iko hivi mimi nilikuwa na msichana na tulipanga malengo tuoane kabisa huku Kenya sasa tatizo huyuu demu tarehe 05 mwezi wa 12 alipata kazi huko nchi za kiarabu yaan alienda Madina sasa huko sijuii bhana kimetokea nini bhana ametoka hapa ni Katolic na humwambiii kituu kuhusu kanisa. Na hata...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kutengeneza NIDA. Na mfumo wa kutengeneza kitambulisho cha mpiga kura tofauti yake ni kidogo ila mbona NIDA ni Kero?

    Ukiangalia mfumo wa kupata kadi ya mpiga kura na Mfumo wa kupata kitambulusho Cha NIDA ni uleule yaani tofauti zilizipo ni ndogo sana especially kwenye taarifa za Mtu.. Ila NIDA imekuwa Kero kubwa sana mtu kuja kupata Kitambuisho chale.
  12. JamiiForums Tanzania Mnaopinga kuwasaidia wazazi wenu some hapa muelimike kidogo

    Wewe mtoto kumsaidia mzazi wako nu wajibu wako na kumsaidia ndugu yako ni uamuzi wako sio lazima ila mzazi wako ni lazima mzazi ni haki yake kuhudumiwa na mtoto au watoto wake soma hii The Elizabethan Poor Law, 1601 - Daily life in Elizabethan England - OCR B - GCSE History Revision - OCR B -...
  13. JamiiForums Tanzania Contemporary Vyumba 3 Ndogo ya TOFALI na BATI Chache Sana & kiwanja Kidogo - Kuanzia Maisha na Kupangisha

    Kijana, kabla ya mwaka Kuisha, songa mbele hatua moja ujenzi Hii ni nyumba moja tuliyoandaa ya vyumba vitatu, compact Fulani kwa mtu anayetaka something classy - vyumba vitatu na open kitchen Ukubwa - 91sqm Urefu - 12.3m Upana - 8.5m Gharama Ujenzi Boma - Msingi, kuta, plasta, Paa = TSh...
  14. JamiiForums Tanzania Tupate burudani kidogo.

    Dominika njema.
  15. JamiiForums Tanzania Wamama badirikeni kidogo

    Ipo hivi nina dada yangu ambaye ni mjane mumewe alikufaga 2010 akamuachia watoto wawili wadogo sasa hawa watoto kwao waligawana kumsaidia mama kulea watoto mmoja alimchukua shemeji yake mdogo mwingine akachukuliwa na shemeji yake mkubwa huyu mmoja anaitwa E ndio mkubwa na wa pili J Sasa huyu J...
  16. JamiiForums Tanzania RC Chongolo: Malipo ya Wakulima kutoka NRFA yamechelewa kidogo, Waziri amenihakikishia watalipwa

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Godfrey Chongolo akiongoza Mkutano wa Nane wa Baraza la Biashara la Mkoa huo amesema malipo ya Wakulima wanaoidai Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) watalipwa malipo yao hivi karibuni na kukiri malipo yalichelewa kidogo. Chongolo ameyasema hayo Desemba...
  17. M

    JamiiForums Tanzania U-kocha ni kazi ngumu, kisa kidogo...

    Ilikuwa mwaka 2022 nilienda kigoma kutembea kidogo. Kigoma maeneo ya manyovu huko, baada ya kama wiki hivi nikawa nishazoeana na wadau hasa wapenda mpira. Nilikuwa naenda mara Kwa mara kutizama mazoezi na kucheza siku moja moja. Siku moja ile timu nilokuwa napiga nayo mazoezi wakapata ki mechi...
  18. S

    JamiiForums Tanzania licha ya kutoa mishahara kidogo lakini Tanzania imeshindwa kuajiri vijana

    wafanyakazi wa Tanzania wanamishara kidogo mno kama wakiajiriw lakini ajira ni changamoto. mishara ya kenya uganda na rwanda ni mikubwa ukilingnisha na Tanzania ukicheki statistics za ajira zilizotolewa tangu 2016 ni kichekesho nchi itaendelea vp wakati nguvu/ vijana kazi ni pure jobless
  19. JamiiForums Tanzania Nyimbo Za zamani zilikuwa na ujumbe wenye kuelimisha,zitumike kufundishia hawa vijana,mfano hii hapa INACHOMA ya 20%.

    Oh na na naaaaa! Eyaaaah INACHOMA 1. Nimeajiriwa kwenye Ajira niliyojiajiriii, Na ninasifiwa utendaji Wangu wa kazi ni nzuri, Navumilia huenda nitapata kivuli, Nitapata kivuli imeshakata miaka miwiliii, Ndimu na ugali,maisha Makali,elimu iko mbaliii, Lile jasho la halali,mpaka kabaliiii, Bosi...
  20. JamiiForums Tanzania Bado kitambo kidogo Tundu Lissu ataungana na makonda kwamba Hayati Magufuli was a "Good Man "

    Kadri muda unavyokwenda TL anapunguza ukali wa kauli zake juu ya JPM .Kuna uwezekano kuna Mambo anaendelea yaliyokuwa yamejificha . Kuhusu mikataba mibovu alishakiri kwamba kwenye Mali za Nchi JPM hakupenda zichezewa akimaanisha JPM alikuwa mzalendo. Baada ya vifo uchaguzi Serikali za mitaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…