kidijitali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kuna aina mpya ya kutengwa kwa njia ya kidijitali kwenye magroup, ni kitu nilichogundua kinawumiza wengi

    Kuna hali ambayo imeanza kuonekana ya kawaida, lakini ndani yake kuna maumivu ya kimya. Mnajuana mitaani, mnacheka pamoja, mnafanya biashara au kazi sehemu moja, mnaabudu pamoja kanisani au msikitini, au hata ni ndugu, jamaa na marafiki halafu kuna “group” linaanzishwa, lakini wewe huingizwi...
  2. China yasaidia Afrika kuingia katika zama za kidijitali

    Katika enzi ambapo utandawazi na Mapinduzi ya Nne ya Viwanda yanapokutana, mageuzi ya kidijitali yamekuwa nguvu muhimu ya kuhimiza maendeleo. Kwa bara la Afrika, mageuzi ya kidijitali si kama tu ni fursa ya kihistoria ya kutimiza maendeleo endelevu, bali pia ni njia kuu ya kutekeleza Ajenda ya...
  3. China, Tanzania, Russia Kushirikiana Kurusha Satelaiti 2026: Je, Huu Ndiyo Mwelekeo Mpya wa Ulinzi na Uchumi wa Kidijitali? (Eneo Chamwino Dodoma)

    Mpango wa pamoja kati ya China, Tanzania na Urusi wa kurusha satelaiti mpya ya kufuatilia masuala ya mawasiliano unaripotiwa kukamilika, na maandalizi ya hatua ya mwisho yanatarajiwa kufanyika mwaka 2026 katika Chamwino, Dodoma. Hatua hii imeibua mjadala mpana kuhusu mwelekeo wa Tanzania katika...
  4. M

    Sijawai kumkubali Mange ila sioni anaemfikia hata robo kuconnect dots, kutumia mitandao kuingiza hofu au matumaini, kucontroll wafuasi, n.k

    Sijawahi kuwa fan wa huyu dada lakini siwezi kupuuza uwezo wake wa jinsi anavyoweza kufanya vingi kwa mpigo kwa kutumia mtandao tu lakini ninachojua kuna muda huwa anaongeza chumvi. kuconnect dots na ku analyze taarifa, kupewa taarifa ni kitu kimoja ila kukipangilia kiwe data inayoleta maana ni...
  5. Katika Dunia ya Kidijitali, kwanini Mwananchi abebeshwe mzigo wa vitambulisho?

    Ni jambo la kusikitisha kuona mwananchi wa kawaida analazimika kubeba kadi takribani 10 kila siku ili kupata huduma mbalimbali. Kuanzia Kitambulisho cha Taifa (NIDA), kadi ya mpiga kura, kadi ya benki, ya ajira, ya bima ya afya, hadi kadi za usafiri au zile za klabu zaa michezo, mzigo huu wa...
  6. L

    Programu ya Msimbo (coding) yazindua ndoto ya kidijitali kwa vijana wa Kenya

    Shule ya umma anayosoma Pauline Wahuna, iliyoko katika Kaunti ya Kajiado, kusini mwa Kenya, inaweza kutoonekana kwa urahisi, lakini imekuwa kituo kinachoshamiri cha kuendeleza kizazi kijacho cha waandishi wa Msimbo (coding). Mwaka 2024, Pauline Wahura, mwenye umri wa miaka 15 anayesoma Daraja...
  7. CCM Yaweka Historia Afrika: Mkutano Mkuu wa Taifa Wafanyika Kidijitali kwa Mara ya Kwanza

    Leo tarehe 26 Julai 2025, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya Mkutano Mkuu wake wa Taifa kwa njia ya mtandao, kikihusisha takriban wajumbe 2,000 kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Taarifa kutoka ndani ya chama zinadai kuwa huu ni mkutano wa kwanza barani Afrika wa aina hiyo kufanywa kwa njia ya...
  8. K

    Mkutano mkuu maalum wa CCM Kidijitali

    Leo CCM wanafanya Mkutano Mkuu maalum kidijitali . Niseme ukweli huu mkutano hautakuwa na matokeo chanya kama CCM wanavyotarajia. Asilimia kubwa ya Wajumbe hawajui dhana ya mtandao na hasa kule vijijini. Mfano Mjumbe wa Mkutano Mkuu toka kule Itilima, Rorya, madaba, Mlangali je wana uelewa...
  9. Matangazo ya Online: Siyo Tena Hiari, Ni Silaha ya Maisha ya Kidijitali

    Wakati wengine wanangoja “wateja waje wenyewe,” walioamka wanawalipia wateja wao waje sasa hivi. Dunia haingoji tena, matangazo ya online ndiyo silaha ya kila mfanyabiashara mwenye akili ya kiuchumi. Zamani biashara ilikuwa ya kupiga kelele sokoni au kuweka bango barabarani. Sasa dunia iko...
  10. PreGE2025 Eric Shigongo abuni madarasa ya kidijitali mapinduzi ya elimu yaanza Buchosa

    Kwa mara ya kwanza nchini Tanzania, wanafunzi wa vijijini sasa wanasoma mubashara na walimu walioko jijini Dar es Salaam kupitia mradi wa Darasa Janja. Huu ni ubunifu wa kipekee ulioanzishwa na Mbunge wa Buchosa, Mheshimiwa Eric Shigongo, ili kutatua kwa vitendo changamoto ya upungufu wa walimu...
  11. L

    Vijana wa Kenya wakumbatia ujuzi wa kidijitali huku kukiwa na ongezeko la ajira za kujitegemea

    Akiwa ameketi kwenye kiti cha plastiki kwenye kituo cha teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) katika mji wa Ndhiwa, takriban kilomita 366 kutoka Nairobi, mji mkuu wa Kenya, vidole vya Jackline Juma vinacheza kwa kasi wakati anapobonyeza kibodi ya kompyuta. Kijana huyo mwenye umri wa...
  12. USDT ni Nini? Kwa Nini Inaaminika Kama Dola ya Kidijitali?

    Je, Kwa Nini USDT (Tether) Inaonekana Kama Sarafu ya Kidijitali Inayoshikilia Thamani ya Pesa?. Tuje kwenye Historia Kabla ya kuibuka kwa USDT, watu waliokuwa wakitumia sarafu za kidijitali kama Bitcoin au Ethereum walikumbwa na changamoto kubwa ya mabadiliko makubwa ya bei (volatility). Hii...
  13. Auto Market App: Suluhisho la Kidijitali kwa Biashara ya Magari na Vipuri Tanzania

    NRNE Takriban miezi 6 hadi 7 iliyopita, nilikuja hapa jukwaani kuelezea nia yangu ya kuanzisha jambo lenye manufaa katika sekta ya usafirishaji kupitia uzi huu...
  14. Mradi wa Boost wawezesha walimu 1,800 kidijitali kuboresha elimu msingi

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Charles Mahera, amefunga rasmi mafunzo ya matumizi bora na salama ya vifaa vya TEHAMA kwa walimu wa shule za msingi, yaliyotekelezwa kupitia Mradi wa Kuboresha Elimu ya Awali na Msingi (BOOST) kwa ushirikiano kati ya Wizara ya...
  15. Kataa mifumo ya zamani ya mashimo kwa sababu itakugharimu mara mbilI

    Kataa mifumo ya zamani ya mashimo kwa sababu itakugharimu mara mbili; mara ya kwanza katika ujenzi na tena katika matumizi (uondoaji taka). Pia, inachukua nafasi kubwa ambayo ungeweza kuitumia kwa kitu kingine chenye tija. Hujaa na kutoa harufu mbaya, inakusumbua wewe na majirani zako. Elite...
  16. Kuporomoka kwa Blogu Tanzania: Sababu na Mustakabali wa Uandishi wa Kidijitali

    Katika miaka ya nyuma, blogu zilikuwa moja ya vyanzo vikubwa vya habari na burudani nchini Tanzania. Zilitoa majukwaa huru kwa waandishi, wachambuzi, na watu binafsi kueleza mawazo yao, kushiriki matukio, na kutoa taarifa kwa umma. Blogu nyingi zilianza kama miradi ya kibinafsi lakini zilikua na...
  17. Benki ya Exim Yazindua Huduma ya Lipa ChapChap Kuongeza Malipo ya Kidijitali na Ushirikishwaji wa Kifedha

    Mkuu wa Idara ya Wateja Wadogo na Kati wa Benki ya Exim, Bw. Andrew Lyimo (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa huduma mpya inayojulikana kama Lipa Chapchap, suluhisho bunifu la malipo ya kidijitali ambalo linarahisisha miamala kwa biashara na watu binafsi...
  18. Vodacom, ZICTIA Zaungana Kukuza Matumizi ya Kidijitali Zanzibar Kupitia Nyaya za Chini ya Bahari

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Zanzibar (ZICTIA), Shukuru Awadhi Suleiman (kushoto) na Mkurugenzi wa Mtandao wa Vodacom Tanzania Plc Andrew Lupembe, aliyemwakilisha Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, wakisaini nyaraka za makubaliano ya ushirikiano lenye lengo la kuboresha huduma...
  19. TCB Yaadhimisha Miaka 100 kwa Kuwekeza Katika Uvumbuzi wa Kidijitali

    Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwake kwa kuahidi kuendelea kuwekeza katika uvumbuzi wa kidijitali na kuongeza ubora wa huduma kwa wateja wake na kuwa wanayo dhamira ya kuimarisha nafasi ya TCB katika sekta ya kibenki nchini. Akizungumza kwa niaba ya...
  20. M

    PSSSF yazindua Baraza la Wafanyakazi Kidijitali Lengo ni kupunguza gharama

    Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umezindua Baraza la Wafanyakazi linaloendeshwa kidijitali kwa lengo la kupunguza gharama za uendeshaji na kusaidia jitihada za kulinda mazingira. Uzinduzi huo uliofanyika jana Februari 06, 2025 Mkoani Singida, uliongozwa na Mwenyekiti wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…