kidato cha tano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC03 Elimu ya Kidato cha Tano na Sita ibadilishwe kuwa Elimu ya Vyuo vya kutoa ujuzi

    Kwa muda mrefu nimekuwa najiuliza nini maana ya elimu wa kidato cha tano na sita (yaani "Advanced Level"), nilikuwa sipati majibu zaidi ya kwamba ni daraja la kujiunga na chuo kikuu (kama ufaulu ni mzuri), na kurudi kwenda kusomea Stashahada, sawa na wale walimaliza kidato cha nne (kama ufaulu...
  2. O

    Binti aomba msaada aendelee na masomo kidato cha tano

    Morogoro. Binti mmoja mkazi wa Mafisa, manispaa ya Morogoro, Amina Abdul amewaomba wadau wa elimu, viongozi pamoja na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kumsaidia kupata vifaa na mahitaji mbalimbali ili aweze kwenda shule ambako amechaguliwa kujiunga na kidato cha tano. Amina ambaye amemaliza...
  3. Mwanafunzi wa Kidato cha Tano aolewa kwa Tsh. 30,000 DC Mtatiro aingilia kati na kuvunja ndoa

    Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro amevunja ndoa ya kinyemela ya kimila iliyokuwa imefungwa baina ya "Muddy Muuza Urembo" wa Tunduru Mjini na Binti aliyechaguliwa kujiunga na elimu ya Kidato cha Tano katika Shule ya Wasichana ya Masasi. DC Mtatiro ameongoza vyombo vya usalama kuwakamata...
  4. Je, ni kweli Serikali imefuta ada kwa kidato cha tano na sita?

    Heshima kwenu, Serikali ya awamu ya sita ilitangaza kufuta ada kwa kidato cha 5 na sita kwa shule za serikali ambayo ilikuwa ni shilingi 70,000/=. Nimepitia fomu za kujiunga na kidato cha 5 mwaka huu 2023. Kuna mchango mpya umeanzishwa unaoitwa mchango wa uendeshaji wa shule kiasi cha shilingi...
  5. Selection ya kidato cha tano kuna mengi ya kujifunza

    Habari wanajamvi... Niende kwenye mada; mwaka huu TULIPATA habari kuwa wanaopangwa SAYANSI yaani PCM na PCB ni wenye daraja la kwanza tu tena wavulana ni 7-15 na WASICHANA ni 7-17... Ni jambo jema kuimarisha msingi wa elimu ili kujihakikishia wataalam bora hapo baadaye; Ninachojiuliza mimi ni...
  6. Shinyanga: Polisi wafanikiwa kuzuia ndoa ya binti aliyefaulu kwenda kidato cha tano

    Ikiwa ni tofauti ya siku mbili tangu kuadhimishwa siku ya mtoto wa Afrika ilikwend ana kauli mbiu ya Mpe nafasi msichana boresha sheria ya ndoa na kuchagizwa na mabango yenye jumbe mbalimbali kama USINIPE MUME NIPE ELIMU. Huko mkoani Shinyanga hali ni tofauti kabisa kwani imejitokeza tukio la...
  7. O

    Orodha ya Waliochaguliwa Kidato Cha Tano Na Vyuo

    Uchaguzi wa Kidato cha Tano 2023/2024: Majina ya Waliochaguliwa Kidato Cha Tano Na Vyuo – Kila mwaka, wanafunzi kote nchini husubiri kwa hamu kutangazwa kwa waliochaguliwa kidato cha tano. Kwa mwaka wa masomo wa 2023-2024, hakuna tofauti nchini Tanzania. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na...
  8. Hatimaye Tamisemi watoa post za kujiunga na kidato cha tano, Special na shule binafsi zaongoza kwa wanafunzi wake kupangiwa special again

    hii ni shule ya secondary ya wasichana St Francis wakati wanafunzi wengi wakipangiwa Utwango, Kanga, Mwakavutwa, Lupalilo na Mwimbi mambo ni tofauti kwa shule special wanafunzi wamepangiwa tena special ama kweli kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake ila swali la kujiuliza wanafunzi wengi...
  9. W

    Sasa hizi selection za kidato cha tano (form five) na vyuo zitatoka mwezi wa sita au?

    Inashangaza mpaka sasa tukiwa tunauendea mwezi wa tano bado tu wakati inafahamika fika kuwa kunakuwa na gharama kibao. Pamoja na kufuta ada, lakini kwa utitiri wa michango iliyopo advance mzazi itamgharimu si chini ya laki tatu (300,000/=) kuweza kumpeleka mtoto shule. Kiasi hiki ni kichekesho...
  10. C

    Nafasi za kidato cha tano 2023/2024

    Yes
  11. B

    Naomba kujuzwa shule ya kidato cha tano na sita yenye academy

    Wadau sina mengi ila naomba kujuzwa shule ya kidato cha tano inayo fundisha mchezo wa mpira wa miguu
  12. Uzi maalum kwa waliosomea Lyamungo Boys kidato cha tano na sita

    Uzi tayari, Njooni tupeane updates za shule yetu, mazingira, walimu na vimbwenga! Pia tupeane historia ya shule na matukio! Nawasilisha!
  13. F

    Serikali itolee ufafanuzi iliposema elimu bila ada kwa kidato cha tano, Mbona bado walimu hawajapelekewa fedha wala barua kuhusu jambo hili?

    Hivi majuzi wakati waziri wa fedha akiwasilisha bajeti kuu ya serikali bungeni alisema elimu ya kidato Cha tano na sita nayo itakuwa bila ada. Jambo hili ni jema na la kupongezwa lakini kuna kitu hakipo sawa. Wakati serikali ikitangaza hili jambo wanafunzi wanaokwenda kuanza form five mwaka huu...
  14. Bajeti yapendekeza Elimu ya kidato cha tano na sita kutolewa bure

    Bajeti yapendekeza Elimu ya kidato cha tano na sita kutolewa bure. Wanafunzi 90000 wa kidato cha tano na wanafunzi 50000 wa kidato cha sita. Ili kupunguza adha wanazokumbana nazo ada za watu hao imefutwa. Hivyo elimu bila ada itakuwa kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita. Pia inaangaliwa...
  15. C

    Shule ya Serikali kuagiza Kidato cha Tano wachangie fedha za wapishi na walinzi Tsh.30,000 - hii ndiyo elimu bure?

    Wakuuu kwema Hii ndio elimu bure? Kwanini serikali isiajiri wapishi ikawalipa? Inauma sana.
  16. Msaada wadau! Mjukuu anagoma kwenda kozi ya unesi na ukunga Dodoma. Anataka kuendelea na kidato cha tano. Nifanyeje?

    Amechaguliwa kwenda chuo. Anasema hapana. Anatpenda aendelee na kidato cha tano kwa mchepuko wake uleule wa masomo ya sayansi. Wapi nigeukie ili nisaidiwe?
  17. T

    Tamisemi watatoa lini majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2022/2023?

    Husika na kichwa cha uzi hapo juu, nataka kujua ni lini watatoa hizo selection, maana nimesikia watoto wanaanza masomo mwezi June.
  18. Waziri Ummy: Michango ya kujiunga kidato cha tano kwa shule za Serikali isizidi Tsh. 188,000

    WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu, amepiga marufuku wakuu wa shule zote za serikali kutoza michango ya kujiunga na kidato cha tano zaidi ya Sh. 188,000. Amesema mkuu yeyote wa shule atakayebainika kukiuka agizo hilo, hatua kali...
  19. TAMISEMI iwajibishwe kwa kuzua taharuki kuhusu suala la chaguzi za kidato cha tano

    Kutokana na taharuki kuzidi kuendelea hapa nchini kuhusiana na ile issue ya kidato cha tano ni vyema wizara husika ikawajibika kwa hilo. Vile vile ni vyema ikafumuliwa kabisa kama ilivyofanyika kwa NBS, Wizara ya Fedha. Lakini Waziri Ummy inabidi aache tabia ya kuzisemea ofisi za Ma-RC eti...
  20. Uchaguzi wa Wanafunzi Kidato cha Tano na vyuo ni kilio kwa Wazazi masikini

    Na Mwl Matete Siku tatu zilizopita serikali ilitoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo mbalimbali, kilichowastua wengi ni namna uchaguzi huo ulivyofanywa. Wazazi wengi wanalia hasa wale masikini ambao hawana uwezo wa kuwapeleka watoto wao shule binafsi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…