kidato cha tano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. wankuru nyankuru

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI iwajibishwe kwa kuzua taharuki kuhusu suala la chaguzi za kidato cha tano

    Kutokana na taharuki kuzidi kuendelea hapa nchini kuhusiana na ile issue ya kidato cha tano ni vyema wizara husika ikawajibika kwa hilo. Vile vile ni vyema ikafumuliwa kabisa kama ilivyofanyika kwa NBS, Wizara ya Fedha. Lakini Waziri Ummy inabidi aache tabia ya kuzisemea ofisi za Ma-RC eti...
  2. justin mwanshinga

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Wanafunzi Kidato cha Tano na vyuo ni kilio kwa Wazazi masikini

    Na Mwl Matete Siku tatu zilizopita serikali ilitoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo mbalimbali, kilichowastua wengi ni namna uchaguzi huo ulivyofanywa. Wazazi wengi wanalia hasa wale masikini ambao hawana uwezo wa kuwapeleka watoto wao shule binafsi...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Chaguzi Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati: Uraiani hakusomeki na soko la Ajira nalo halisomeki

    Kufuatia Machaguzi ya kwenda kujiunga na elimu ya kidato cha 5 na vyuo vya Kati. Nimeona wizara (TAMISEMI) imewapangia wanafunzi wengi sana kwenda kusoma vyuo vya kati. Kwa kozi zingine ambazo ukiziona unaanza kumuonea dogo huruma. Mfano: Public Administration, Tour Guide, ualimu, Business...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kwenda kidato cha tano 2021 hawa hapa

    Idadi ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano kwa shule za Serikali na vyuo vya elimu na mafunzo ya ufundi mwaka 2021 imeongezeka kwa asilimia 14. Ongezeko hilo linakuja baada ya jumla ya watahiniwa waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa shule za Serikali na vyuo vya elimu...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kidato cha 5 wanaanza lini Kusoma?

    Tafadhali Wizara husika na Serikali iliangalie hili tena ( Upya ) kwani Wanafunzi wa Kidato cha Tano ( 5 ) Kumaliza Shule November na kukaa Idle ( Mtaani ) mpaka July mwaka unaofuata ni Kuhatarisha sana Ustawi wao wa Kitaaluma na Kuwaathiri Kimaadili na hata Kisaikolojia pia. Kiukweli 24/7...
  6. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kubadilisha combination kwa kidato tano na kozi za vyuo vya ufundi

    Taarifa muhimu kwa Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne, mwaka 2020 Waziri Jafo ametangaza utaratibu wa wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2020 kubadilisha Tahasusi(Combination) za Kidato cha Tano na Kozi za Vyuo vya Elimu ya Ufundi kwa njia ya mtandao kwenye mfumo wa Kieletroniki wa uchaguzi wa...
  7. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Profesa Joyce Ndalichako ameahidi kulipa ada ya kidato cha tano na sita Wanafunzi wa Kike

    Mbunge wa Kasulu Mjini Profesa Joyce Ndalichako ameahidi kulipa ada ya kidato cha tano na sita wanafunzi wote wa kike waliosoma katika shule za serikali na kupata Daraja la kwanza katika jimbo lake kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia mwaka huu 2021. Mbunge wa Kasulu Mjini na Waziri wa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wapiga kura wanaohamishwa kimajukumu na wanafunzi waliofungua vyuo na shule kidato cha tano

    Mh. Mwenyekiti wa NEC, kuna kura ambazo zitakosekana/zitapungua kwenye ushindi wa kishindo kwa Rais wetu Mpendwa JPM. Kwa kweli ninaumia sana kwa kura yangu kupotea. Naomba mtuwekee utaratibu wa wapiga kura ambao wamehamishwa vituo hivi karibuni na wanafunzi waliokwenda kuanza vyuo na shule...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya Kidato cha Tano kwa Shule Binafsi ya Wasichana

    Amani iwe kwenu! Wakuu, natafuta nafasi ya Kidato cha Tano kwa shule binafsi ya Wasichana kwa tahasusi ya EGM. Shule iwe katika moja ya mikoa ya Mbeya, Iringa, Dodoma, Morogoro, Tabora au Mwanza. Natanguliza Shukrani.
  10. KamyZee

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kupata uhamisho kidato cha tano

    Habari zenu wanajamii forum, I hope all is well with you. Nimechaguliwa shule ya Loleza iliyopo Mbeya kwenye tahasusi/combination ya PCB (yaani Physics, Chemistry and Biology) lakini kwa bahati mbaya au nzuri, nimeshindwa kwenda. Ningependa kusoma katika shule ya sekondari Dodoma kwenye...
Back
Top Bottom