kidato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Makurunge Sekondari, Wanafunzi wa kidato cha Pili na Nne wanalazimishwa kukaa Bweni

    Ni mmoja wa wazazi wa mtoto anae soma shule ya Sekondari Makurunge iliyopo mkoa wa Pwani, wilaya ya kisarawe kata ya Kiluvya. Walimu wa shule hii ya Sekondari wameanzisha mradi binafsi wa kujenga hostel za kukaa wanafunzi hivyo wamekua wakilazimisha wanafunzi hasa wa kidato Cha pili na nne...
  2. Lighton

    TO wa mwaka 2006 kidato Cha sita anatrend mitandaoni baada kufariki 2020

    Huyu jamaa aliwahi kunifundisha Tuition pale kwa Demtatuzi( naye ni marehem) boma Kama unaenda msimbazi. jamaa alikuwa anafundisha physics na chemistry tu, alikuwa akisema hawezi kufundisha somo rahisi Kama pure mathematics😄 Alikuwa TO mwaka 2006, akaenda chuo pale UDSM akadisco(inasemekana...
  3. idiomer

    Kuna ulazima gani mwanafunzi wa kidato cha pili kufanya mtihani wa Taifa???

    Mimi naona hakuna ulazima. Halafu pia hata wakifanya wasirudie darasa.
  4. Roving Journalist

    Prof. Riziki Shemdoe: Bajeti za Miundombinu ya Elimu zitengwe kujiandaa na mapokezi ya Wanafunzi Kidato cha Kwanza 2028

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amewaelekeza Makatibu Tawala wa Mikoa kuhakikisha wanawasimamia Wakurugezi wa Halmashauri wakati wanapoandaa bajeti za Mwaka wa Fedha 2026/27 kuweka vifungu vya kugharamia maboresho ya...
  5. uran

    Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 yatangazwa

    Ufaulu Umepanda. Futatilia hapa. https://www.youtube.com/live/uwbLeIIRXOc?si=m-Iyj06qeAYHlPCl Kupata Matokeo fungua link hii: https://matokeo.necta.go.tz/results/2025/csee/index.htm --- Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia...
  6. Z

    Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 yanatoka lini?

    Nina Imani kuwa humu jf Kuna watumishi wa Baraza la mitihani. Matokeo ya kidato Cha nne yanatoka lini?
  7. Baba wa mbingu

    Kisa vipande vinne vya mkate, niligomea Mahafalu ya TYCS kidato cha sita

    Habari wana jamvi...? Nikiwa high school pale mkoani Simiyu wilaya ya maswa MWAKA 2018 kuna tukio lilitokea na mimi kama kiongozi wa dini sikulipenda kabisa hii ilinifanya nikawa na mzozo na chair wa tycs wakati ule. Kwanza ifaahamike shule ile ilikuwa na O-level mixer na A-level ni boys. So...
  8. Foffana

    Matokeo ya kidato cha pili yametoka, kumbe kuna shule zenye majina haya?

    Kumbe hizi shule zipo Job Ndugai High school Janeth Magufuli Secondary School Jenister Mhagama Secondary School Joel Bendera High school Janeth Magufuli Girls Secondary School Juma Zuberi Homera Secondary School January Makamba Secondary School Dr Tulia Girls Secondary School Daniel...
  9. Beberu Mwitu

    Ushauri kuhusu kituo kizuri cha kujiandaa kurudia mtihani wa Kidato cha Sita

    Natumaini kila mmoja wetu hapa yupo na siku nzuri kabisa; Nimekuja kwenu asubuhi hii ili kuomba ushauri wa mambo ya kielimu; hasa kurudia mtihani wa kidato cha sita. Kitaaluma mimi ni mwalimu wa ngazi ya cheti, pia nilisoma kidato cha sita mwaka 2014 mchepuo wa PCM. Sikufanya vema...
  10. Samia atosha tukutane2030

    Kama umemaliza angalau kidato cha 4 halafu hujui Kiingereza. Jitahidi ujue, hiyo ni aibu

    Wasiojua Kiingereza na wana Elimu ambayo wameipata kwa lugha ya Kiingereza watakuja na utetezi wao kuwa Kiingereza ni utumwa, mara Elimu si lugha, mara utawasikia Wachina mbona wana viwanda, wengine wana Master's na hawajui Kiingereza. Utetezi wa namna hii ni mfu, unapaswa unyang'anywe vyeti...
  11. W

    Kidato cha nne kuanza mitihani kesho, 309,986 hawajulikani walipo

    Wanafunzi 595,816 wanatarajia kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari kuanzia kesho Jumatatu, Novemba 17, 2025, ikiwa ni kukamilisha safari yao ya miaka minne. Idadi ya watahiniwa wanaotarajiwa kuketi hiyo kesho ni sawa na asilimia 65.63 ya wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato...
  12. President of China

    Baraza la mitihani (NECTA) yatangaza mtihani wa kidato cha nne kuanza kesho

    Wanafunzi 595,816 wanatarajia kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari kuanzia kesho Jumatatu, Novemba 17, 2025, ikiwa ni kukamilisha safari yao ya miaka minne. Idadi ya watahiniwa wanaotarajiwa kuketi hiyo kesho ni sawa na asilimia 65.63 ya wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato...
  13. Beberu Mwitu

    Naweza kusoma nikiwa kazini Diploma za Sayansi kwa ufaulu huu kidato cha sita wa mwaka 2014?

    Habari za muda huu ndugu wana jukwaa. Niende moja kwa moja kwenye mada; nilihitimu kidato cha sita mwaka 2014 mchepuo wa PCM na kupata alama zifuatazo; Physics- D Chemistry- E Advanced Mathematics-E General Studies- D ( japo haina maana). Baada ya matokeo hayo yasiyoridhisha nikajikatia tamaa...
  14. Superbug

    Vijana wa KIDATO Cha NNE na chapili jiandaeni na mitihani. Wazazi iungeni serikali mkono watoto wavuke salama

    Mnahamasisha maandamano hamjui wiki ijayo baada ya hiyo TAREHE yenu watoto wanatakiwa kufanya mitihani Kwa utulivu nchi nzima? Tumia akili mtanzania usiendeshwe na mihemko.
  15. hamza mahundu

    KARANI WA POSTA LEVEL YA KIDATO CHA 4 ANALIPWA BEI GANI? Na maswalj yapi ataukizwa inter view AJIRA PORTAL

    Naomba majibu
  16. sameer0220

    Mfumo wa kuchagua comb kidato cha kwanza

    Nina ndugu yangu yuko kidato cha kwanza shule ya private ila leo karudi na barua toka shule kwamba kachuguliwa kusoma HKL kwa maana ya masomo ya ART na ni yuko kidato cha kwanza je huu ni mtaala mpya wa kulazimishwa kusoma combinations fulani bila mwanafunzi kuchagua? Na hata bado hajafika...
  17. Mwanongwa

    Rukwa: Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza atuhumiwa kumuua mdogo wake wakati wakicheza mchezo wa kuchapana fimbo

    Jeshi la Polisi la Polisi mkoani Rukwa linamshikilia Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza kutoka Shule ya Sekondari Mtenga, Wilayani Nkasi Mkoani Rukwa, Samwel Kayoka (16) kwa tuhuma za mauaji ya mdogo wake Jackson Kayoka (14) kwa fimbo walipokuwa wakicheza mchezo wa kupigana kwa fimbo. Taarifa...
  18. ramadhan ndonja

    Kuhusu selection za kidato cha tano

    Naomba kujua hivi mwanafunzi akichaguliwa comb ya art (mchepuo wa sanaa) anaweza kufika shule akabadilisha akasoma comb ya sayansi (mchepuo wa sayansi) mfano amechaguliwa HGL akabadilisha akasome CBG? , ufaulu wake n sawa kwa masomo yote ya arts na sayansi yaani hakuna utofauti
  19. R

    Matokeo ya Kidato cha sita 2025: Inaonekana almost wote wamefaulu, kutakuwa na shida kubwa ya University placement

    kama 99.95% wamefaulu, then wote wana qualifications za kwenda University. Inakuwaje?
  20. Waufukweni

    Watahiniwa 71 wafutiwa matokeo ya Kidato cha 6 na NECTA

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limefuta matokeo yote ya Watahiniwa 71 wakiwemo 70 wa Mtihani wa Kidato cha Sita (64 wa Shule na 06 wa Kujitegemea) na mmoja wa Mtihani wa Ualimu Daraja A (GATCE) ambao walibainika kufanya udanganyifu katika Mtihani. Akiongea Visiwani Zanzibar leo July...
Back
Top Bottom