Nilikua nafannya malipo ya game, sasa kutoka na uizi mtandaoni, wanakata kwanza pesa kidogo, kisha unatakiwa kuingiza hicho kiasi cha pesa kilichokata kuthibitisha kweli ndio mmiliki wa hiyo kadi.
Sasa kimbembe kimekuja, wao wamekata salio kwa usd, ila kwenye kuweka kiwango unachagua sarafu...