kichwa

Kichwa (Kichwa shimi, Runashimi, also Spanish Quichua) is a Quechuan language that includes all Quechua varieties of Ecuador and Colombia (Inga), as well as extensions into Peru. It has an estimated half million speakers.
The most widely spoken dialects are Chimborazo, Imbabura and Cañar Highland Quechua, with most of the speakers. Kichwa belongs to the Northern Quechua group of Quechua II, according to linguist Alfredo Torero.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania EPL, Bundesliga,Laliga,Conference,Europa,Champions League ,Dfb-pokal Alafu bado unakosa Odds 20??? Huu ni mwezi wa kustaafu kubeti ukituliza kichwa

    Hapa sio odds 2 tu ukitulia unatengeneza hata odds 50 mpaka 100 kikubwa focus upande wa magoal. Hasahasa hawa wajerumani wa Dfb na Bundes rahisi kuokota huko Conference unaweza hata kucheza direct na ukaokota odds za kutosha. Weka 10,000 mpaka 50,000, tustaafu game nyingi sana huu mwezi...
  2. JamiiForums Tanzania Kijana amuua mpenzi wake na kumkata kichwa, atokomea nacho

    Kijana mkenya Walter kipkoech umri wamiaka 23, amuua mpenzi wake na kumkata kichwa, kisha kukimbia nacho. Jeshi la polisi lafanikiwa kumkamata, ambapo inasemekana chanzo ni kutoka kua mwaminifu Binti huyo wa miaka kumi nana 18 mwanafunzi wa kidato cha nne. Baada ya kutekeleza shambulio hilo...
  3. JamiiForums Tanzania Hakuna biashara pasua kichwa kama biashara ya Bar

    Biashara ya Bar ina changamoto sio poa Hii biashara unaweza kukufirisi unalia Faida sio kivile ila changamoto ni nyingi mno 1. Unahitaji uwekezekajo sio kinyonge, mzigo, Mziki, viti, jiko n.k 2. Ushindani ni mkubwa, unaweza ukawa umewekeza ukadhani umemaliza, ***** akatokea mhuni akaweka bar...
  4. JamiiForums Tanzania Kichwa kimejaa nyama

    Kichwa kina nyama nyingi Sana.. Tatizo akili .. Je nazo ni nyingi kama nyama?
  5. JamiiForums Tanzania ALINIRUHUSU KUINGIZA KICHWA TU!!

    Ni baada ya kumuomba sana na kumbembeleza. Yeye akasema amechoka hawezi kuamka. Lakini sikukata tamaa...nikazidi kupanga maneno ili anielewe, Bila kufanya hivyo nisingeweza kupata usingizi. Hatimaye akasema siku nyingine nisirudie tena huo mchezo wa kumuamsha manake alikwisha lala na ni...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Haki ya "AKWILINA AKWILINI" na maswali ambayo bado yananiumiza kichwa

    Kuna mambo ambayo jamii inaweza kuyasahau kadri muda unavyopita, lakini kuna maumivu ambayo hayawezi kufutwa kwa kupita kwa miaka. Kisa cha Binti Akwilina ni miongoni mwa mambo hayo. Leo nimeona mjadala huu ukirudi tena baada ya Bwana Heche kuzungumzia suala hili. Imenifanya nitafakari tena...
  7. JamiiForums Tanzania Maria Surungi: Deo Ndejembi ni Mzanzibari, Muislamu, pia ana uraia wa Uingereza

    ‼️UASILI WA DEO NDEJEMBI KUMBE UNA UZANZIBARI‼️ Kumbe Mama yake Ndejembi ni Mpemba anayeishi London? Eh watu mna siri! Alafu TISS bana mnamkubalia kimama amteue alafu mnakuja kutulalamikia pembeni Sasa wamemwaga data ila mambo kadhaa muhimu: 👉🏽Deo Ndejembi ni mjukuu wa Mzee Ndejembi ila...
  8. JamiiForums Tanzania Tabiri, kipi kichwa cha habari kitaandikwa na VYOMBO VYA habari ya Tanzania, 29/10? Siku 365 za Samia ikulu, au siku 365 za mauaji Tanzania?CHAGUA.

    Ningeomba MWA jf utabiri kipi kichwa cha habari kitaandikwa na VYOMBO VYA habari vya Tanzania? Siku 365 za Samia ndani ya ikulu au Siku 365 za mauaji makubwa ya vijana, Wamama, wababa na wazee ndani ya Tanganyika? Wewe ungekuwa mwariri wa VYOMBO VYA habari ungeandika kipi? Ukichagua cha...
  9. JamiiForums Tanzania Huenda Binti ya Herode hakumaanisha kichwa kama kichwa

    Sema huenda ni kweli an empty mind is a devil workshop 🤣🤣🤣😇.. Sasa juzi kati nikawa napitia pitia ki bible kidogo kile cha agano jipya ,nikawa nakisoma kisa cha yohana mbatizaji (math14:1-12 na marko6:14-29). Kisa kizima kama nilivyokisoma ni kwamba wanawake (Binti Herode na mama yake yaani...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ni kichwa cha familia, usipoteze ubaba wako kwa upofu wa mapenzi

    Natumai mpo poa wadau leo ningependa kuwapa codes wanaume wenzangu waliooa na ambao hamjaoa someni hizi sheria 1.Hutakiwi kueleweka sana kwa mkeo(fanya kama upo upo tu) muache atumie nguvu kujua wewe ni mtu wa namna gani. 2.Mkeo hatakiwi kujua kipato chako na hata akijua usimwambie unaingiza...
  11. JamiiForums Tanzania Nimemkumbuka Larry Madowo nikaishia kutingisha kichwa kwa masikitiko

    Hamjambo! Hii nchi ipewe tuzo kwa kurukia mambo na matukio. Sijui nilie. Nikajirushe ghorofani au pale ferry. Yaani Madowo alivyokuwa anaripoti. Daah! Acha tuu. Wadau tunafanyaje hapa? Wale wa matusi leo nipo kwenye mfungo wa siku saba. Nikitoka huko tutaendelea tulipoishia. Aiseeh
  12. JamiiForums Tanzania Miaka minne ya Uhamisho-Utumishi yatuumiza kichwa

    Wapendwa habari! Mimi na mume tumejikuta njiapanda kwa kutokuelewa tuamuaje. Mimi ni mama wa mtoto wa mwaka mmoja na ndoa ya mwaka na miezi kadhaa. Mimi ni muajiriwa katika taasisi fulani hapa DSM, mume wangu miezi kadhaa iliyopita alipata nafasi ya kazi katika Halmashauri fulani mkoa wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kichwa Cha familia - kimekatwa na vichwa vya familia.

    Hatua sahihi zilizopaswa kuchukuliwa (nyuma ya pazia). 1. Kiongozi angeitwa mapema na wakuu wake baada ya fununu kwa kumsikiliza ili kupata ukweli na maoni yake (kama mkuu wa kaya) 2. kumuita mhanga kumuhoji na kupata ukweli na maoni yake pia. 3. Viongozi kuandaa mpango mkakati wa kulimaliza...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Motjaba walishamla kichwa au ? unaogopaje kutoka hadharani nchi unayoiongoza iliyojigamba kushinda vita kwenye msiba wa kiongozi mkubwa na mzazi ?

    Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, hatohudhuria shughuli za mazishi ya baba yake, Ali Khamenei, Taarifa hiyo imetolewa na mwakilishi wa kiongozi huyo nchini India wakati Iran ikiendelea na maandalizi ya shughuli za mazishi. kuna possibility kubwa hata huyu walishapita nae
  15. JamiiForums Tanzania Kuna hii concept kuwa MTU mwenye kichwa kidogo anakuwa na IQ ndogo..!?

    Ipo Concept Moja kuwa MTU mwenye kichwa mviringo na mwenye kichwa kidogo ana IQ ndogo Au ana poor cognitive ability. Na vise versa yake kuwa watu wenye vichogo na vichwa vikubwa Wana good cognitive ability... Je dhana hii inaweza ikawa na ukweli kiasi Gani ?..
  16. JamiiForums Tanzania Kila Rais wa Marekani: Lazima aondoke na kichwa kimoja

    KILA RAIS WA MAREKANI LAZIMA AONDOKE NA KICHWA KIMOJA Unapokuwa rais wa nchi yoyote ile ni kwamba unafuata kile ambacho watu fulani wanataka ukifuate, unaweza kuja na mipango yako na isifanye kazi. Unawekewa mkakati kwamba tunakuweka wewe ila tunataka ufanye hili na lile, unatakiwa kufuata...
  17. JamiiForums Tanzania Japo Nilikuwa Simkubali Baba Levo Kwa Uchawa Compared to ZZK, Leo Nimemsikia Bungeni, Kumbe ni Bonge la Kichwa, ni Akili Kubwa!, Nimememkubali Sana!.

    Wanabodi, Baada ya kuibuka kwa fani mpya ya uchawa, mimi nimekuwa nikiwaona machawa kama ni majitu fulani majinga zero brain!, nilipoangalia line up ya wagombea ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini, kupitia CCM, kulikuwa na very good big brain, siku ya matokeo ya kura za maoni ya CCM zikitangazwa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wiki tatu bila maji: Wananchi wa Unyinga, Mamise na Unyakumi tunataka ufafanuzi kutoka SUWASA

    Tunapenda kufichua kero kubwa inayowakabili wananchi wa maeneo ya Unyinga, Mamise na Unyakumi na maeneo mengine mjini Singida kutokana na ukosefu wa huduma ya maji takribani wiki tatu sasa Kwa kipindi cha hivi karibuni, maeneo haya yamekuwa yakikumbwa na ukosefu wa maji kwa siku nyingi...
  19. JamiiForums Tanzania WASHINGTON, MAREKANI: Mtu mmoja auawa baada ya kufyatua risasi kwenye Geti la Ukaguzi la White House, Mpita Njia ajeruhiwa

    Niaje waungwana Habari ndio hiyo, baada ya muda mchache wa kutangaza makubaliano mapya na Iran, ghafla milio ya risasi ilisikika nje ya white house na kusababisha hatihati katika eneo zima la ikulu ya Marekani. Hapa inawezekana Netanyahu anahusika kuhakikisha Trump haingii makubaliano yoyote...
  20. JamiiForums Tanzania INSHU YA TEMBA ALIEKATWA KICHWA, SIO YA KISIASA MSIPOTOSHE, KIJANA, ALIKUA UVCCM

    Nimeshangazwa mitandaoni watu wamekomalia kuwa inshu hiyo ni ya kisiasa, wengine wameenda mbali eti mganga anaetuhumiwa si mganga ni ka mchezo tu, kuikinga serikali. Kama tutaendelea hivi sioni haja ya kufatilia siasa mana naona imekua too much, tumeanza kuwa wajinga, watu wamekamatwa kichwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…