kibiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Kongamano la kibiashara Urusi na Tanzania jijini Dar es Salaam 2024

    Urusi yaonesha nia ya miradi ya pamoja na Tanzania katika nishati, kilimo, utalii - waziri wa Russia https://m.youtube.com/watch?v=7C4qDNifPQ0 DAR ES SALAAM. Oct 28 (Interfax) - Urusi na Tanzania zina uwezo wa kuongeza maradufu biashara zao. Na wafanyabiashara wa Urusi waonyesha nia ya kuwekeza...
  2. Hospitali huwa zinaruhusiwa kufanya matangazo ya kibiashara?

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikifahamu hospitali na mawakili huwa hawaruhusiwi na taaluma zao kufanya matangazo ya kibiashara mpaka leo hii nilipokutana ni hii ya Yanga kuitangaza JKCI! Sijajua lengo la huu mpango ni lipi hasa? Kwamba JKCI wana uhaba wa wateja? Au JKCI wanafanya ushindani na...
  3. U

    Magaidi 5 raia wa Israel wanaohusishwa na ISIS wakamatwa. Walipanga kulipua majengo marefu zaidi ya kibiashara Tel Aviv's Azrieli Mall

    Wadau hamjamboni nyote? Magaidi watano wenye uraia wa Israel na asili ya kiarabu wamenaswa wakipanga kulipua majengo makubwa zaidi ya kibiashara jijini Tel Aviv Yasemekana mpango huo haramu.ambaomkama ungefanikiwa ungeleta madhara maafa makubwa walifadhiliwa na magaidi wa kundi hatari la...
  4. I

    Katika vita vya kibiashara vya Marekani na China, Mexico ndio anaibuka na ushindi mkubwa.

    Kadri uchaguzi mkuu wa nchini Marekani unavyozidi kukaribia ndivyo wachina wanavyozidi kuingiwa na hofu. Ustawi wa uchumi nchini China unaitegemea mno Marekani na ni wazi kwamba bila ya Marekani taifa la China lisingefika hapo ilipo leo kiuchumi. Sasa basi, wagombea urais wa vyama vikuu nchini...
  5. Asanteni wadau lile wazo letu la kibiashara ya (hotspot manage) linaendelea vizuri ila kwa sasa tunahitaji muekezaji mwenye mtaji kati ya 5m to 10m

    Sina budi kumshukuru muumba kwa kutupatia neema zote kubwa kwa ndogo ndogo Naomba nisikuchoshe mdau katika jukwaa hili tuende moja kwa moja kwenye kusudio husika la uzi huu Iko hivi miezi kadhaa iliyopita tuliweza kuleta wazo kupitia uzi huu hapa chini unaweza kusoma kupata wazo au...
  6. Nahitaji mtu mwenye wazo la Kibiashara ambalo litatusaidia kutengeneza pesa nyingi

    Je,unafahamu Tooth Pick Kwa Kiswahili inaitwa "Kimbaka",Kuna muda nawashangaa sana BAKITA na haya Majina Yao! Any way Wakuu nahitaji mtu yeyote mwenye wazo la Kibiashara ambalo liko tofauti na biashara ambazo zimezoeleka hapa Bongo!,Binafsi ninafanya biashara ya nafaka,pia Nina mashamba...
  7. M

    Milioni 50 nihamie Dar Kariakoo kibiashara au kwenda China

    Wakuu Hali nilipo kibiashara ni ngumu nataka toka mkoani kuhamia kibiashara Kariakoo au niagize bidhaa China Nikiwa Dar vipi kuna kutoboa kweli?
  8. T

    Ni lini na sisi tutakusanya Marais wa ulaya au Amerika au Asia waje kwa pamoja tujadiliane fursa za kibiashara!?

    Najisikia vibaya sana jinsi Marais wetu huitwa kwa hawa ndugu zetu weupe kama vile unaita vitoto vyako vya kuvizaa. Natamani siku ifike na sie Africa kama si Tanzania tuwaite eu au Amerika waje hapa bongo alafu tukae nao mbele ya meza ya duara tujadili kwa usawa kabisa fursa za kibiashara baina...
  9. L

    Ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya China na Afrika kupitia FOCAC umekuwa na mwelekeo endelevu

    Katika miaka mingi iliyopita, Afrika ambayo mara nyingi ilionekana kama bara lisilo na tumaini, ilishindwa kabisa kuvutia washirika wake wa jadi ikiwemo Marekani na nchi za Ulaya. Kupitia changamoto hii, China iliibuka na kuishika mkono Afrika ambapo baadaye ikawa mshirika wake mkubwa wa...
  10. L

    Vita ya kibiashara ya Marekani yawezesha uwazi na biashara kati ya China na kanda ya magharibi

    Biashara ya nje ya China imeendelea kukua licha ya vitendo vya nchi za Magharibi vya kujilinda kibiashara, hususan vita ya kibiashara ya China iliyoanzishwa na Marekani. Kuna mambo kadhaa ambayo yamechangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa biashara hiyo. Chini ya shinikizo la Marekani na baadhi ya...
  11. M

    Mfumo wa Kibiashara wa Kiislam unavyosaidia kukuwa uchumi wa nchi duniani na mifano ya nchi hizo

    Mifumo ya kibiashara ya Kiislamu ina faida nyingi kwa nchi, hasa katika maendeleo ya kiuchumi. Hapa kuna baadhi ya faida kuu za kiuchumi zinazoweza kupatikana kwa kutumia mifumo hii: 1. Kukuza Ustawi wa Kijamii Usawa wa Kijamii: Mifumo ya kibiashara ya Kiislamu inahimiza usawa na haki, kwani...
  12. L

    China yailaani Tume ye Umoja wa Ulaya kwa kutaka siri za kibiashara katika uchunguzi wa magari ya umeme

    Wizara ya Biashara ya China hivi karibuni imelaani vikali uchunguzi unaofanywa na Tume ya Umoja wa Ulaya kuhusu uchunguzi wa kampuni zinazotengeneza magari ya umeme, ambapo Umoja wa Ulaya unataka kiasi kikubwa cha taarifa zinazohusiana na siri za kibiashara za viwanda hivyo. Wizara hiyo imerejea...
  13. M

    SoC04 Kuijenga miji mikuu pembezone mwa bahari kuwa miji mikuu ya kuvutia na ya kibiashara na ya kiutalii kama ilivyo kwa inchi zilizoendelea

    HUsika na kichwa cha habari hapo juu, Taifa la Tanzania ni miongoni mwa mataifa yanayokuwa kwa kasi sana africa na africa mashariki Lakin mbali na ukuaji wake bado kuna maeneo hasa miji iliyopo kandokando ya bahari yanahitaji kuwekewa nguvu ili ibadilike na kuwa majiji (Cities) HII Itasaidia...
  14. L

    Tabia ya kuchanganya content kwenye social media account za kibiashara, inatukosesha Sana wateja na Kama sio wote Basi wateja serious tunawapoteza

    Habari wadau, nikiwa Kama kijana naepambana katika kizazi hiki Cha teknolojia, Mimi ni mdau mkubwa Sana wa mitandao ya kijamii, na ni miongoni mwa watumiaji wazuri wa mitandao ya kijamii kujipatia kipato. Moja ya vitu nilivyo vi observe na nikaona vinatugharimu Sana hasa kwenye mtandao wa...
  15. Miji midogo midogo Tanzania ambayo ina vibe na fursa za kibiashara lakini haivumi

    Wakuu, Uzi huu ni kwa ajili ya kutaja miji midogomidogo ndani ya nchi yetu ambayo ina vibe kubwa kama miji mikubwa na ina fursa za kibiashara lakini haivumi wala kujulikana sana na watu. Mimi naanza kama ifuatavyo: 1. MLOWO Huu ni miongoni mwa miji midogomidogo inayokuwa kwa Kasi, ni Mji...
  16. Je kibali cha takiwa ukitaka kufuga samaki kibiashara ?

    Nimesikia ukitaka kufuga samaki kibiashara watakiwa uwe na kibali maalum kinacho kuruhusu uweze kufanya huo ufugaji 1,je ni kweli au? . 2,kama ni hivyo je nitahasisi gani ina husika ? Nimekuja huku nahisi kwa urahisi na weza kupata watu wenye uzoefu na ufugaji wa samaki kwa...
  17. Waziri Kijaji: Mahusiano ya kibiashara kati ya Tanzania na nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Mwaka 2023, thamani ya mauzo ya bidhaa kwenda katika Soko la Ulaya iliongezeka hadi kufikia shilingi trilioni 3.836 kutoka shilingi trilioni 2.446 mwaka 2022, sawa na ongezeko la asilimia 56.8. Ongezeko hilo limechangiwa na kuongezeka kwa mauzo ya bidhaa za kilimo na viwandani kwenda katika nchi...
  18. Ukweli mchungu: Kibiashara Facebook is more powerful than Instagram

    Ukimuona mtu anaichukulia poa Facebook basi huyo sio mfanyabiashara wala mjasiriamali. Hajui chochote kuhusu business. For your information Facebook is more better in business than instagram. Ina watu wengi sana ambao wapo active na wanafikika kwa kirahisi sana kuliko Instagram. # Facebook...
  19. Huduma za usaidizi kibiashara

    Huduma zifuatazo njoo nikuongoze 1. Tin application 2. Line za wakala na za lipa 3. Usajili wa jina la biashara 4. Utengenezaji wa logo, poster, stika, busines cards na kuziprint 5. Uandishi cv, miradi na andalio la biashara 6. Ufuanguaji wa blog, website nk 7. Kudesign vitambulisho na...
  20. P

    SoC04 Timu za mpira wa miguu ziwe huru kibiashara

    TIMU ZA MPIRA WA MIGUU ZIWE HURU KIBIASHARA. Kipindi cha wakoloni mataifa ya Afrika yalitawaliwa na nchi zilizoendelea hadi zenyewe zilishidwa kuendela, ukiangalia kwa macho ya kawaida utasema wakoloni walileta maendeleo kwa sababu walijenga barabara, Treni, Shule hadi baadhi ya wapigania uhuru...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…