kibaya

Kibaya is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kilichotokea Syria kwa Urusi ni kibaya na aibu kuliko kilichotokea Vietnam na Afghanistan kwa Marekani

    Taarifa za Damascus kuanguka mikononi mwa waasi zikiwa zinaendelea kusambaa na kusubiria kuthibitishwa rasmi wengi wameshangazwa na waasi wa Syria kuweza kufanikiwa kirahisi na kwa haraka sana dhidi ya utawala wa Bashar al-Assad Hapa tunajifunza kwa vitendo pia kwamba majeshi ya Urusi, Iran na...
  2. JamiiForums Tanzania Ukiwa Huna Hela Kila Kitu Huwa Kinakuwa Kibaya.

    Mtu anapokuwa maskini au kukumbwa na changamoto za kifedha, mara nyingi akili yake huzongwa na mawazo ya matatizo yanayomzunguka, ambayo yanaweza kumfanya aone kila kitu kuwa kibaya. • Hii ni hali ya kisaikolojia inayotokana na msongo wa mawazo, kukata tamaa, au hata kujihisi kama hana thamani...
  3. JamiiForums Tanzania "Uswahili-Uswahili" ndio umeshakuwa msingi wa maisha ya Mtanzania na kibaya zaidi hata katika issue zinazohitaji professionalism

  4. JamiiForums Tanzania Kizuri na kibaya, Heshima na mitazamo katika jamii

    Kipindi namaliza college nimerudi home kwa wazazi, nikaanza harakati safi. Tulikua tunaishi kota za Police, baba yangu ni Policeman, kipindi hicho baba yangu alikuwa anamiliki pikipiki, pamoja na kwamba nilikuwa kijana mkubwa home, lakini sikuwa na access ya kuendesha pikipiki ya mshua...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kitu kibaya sana tena sana kuiweka serikali rehani kwa matajiri na wafanya biashara

    Nadhani mnakikumbuka kisa cha mgiriki aliye sema serikali yote kaiweka mfukoni wakati wa utawala wa Mwl nyerere, Matokeo ya jambo hilo ni nchi kukithiri kwa Rushwa,ubadhirifu wa mali za umma,dili chafu , madawa ya kulevya ,utekaji na mauaji ambayo wakati mwingine yanaweza yakawa si utekaji au...
  6. JamiiForums Tanzania Kipi cha kufanya unapohisi Kuna kitu kibaya kinaenda kukutokea?

    Unapokuwa na wasiwasi wa kutekwa, kuuliwa, kukamatwa na watu wasiojulikana unapaswa kufanya nini? 1. Kuripoti polisi. Swali ni unaripoti kwa muktadha upi ukiulizwa kipi kinakufanya uwe na mashaka ya kutokewa na kitu kibaya utawaambia Nini kama ushahidi? je nikiwaambia hisia zangu zinaniambia...
  7. JamiiForums Tanzania Na lilivyo Juha (Fool) kama Kichwa chake kilivyo Kibaya limeenda kabisa hadi Msibani. Hata Mshipa wa Aibu halina

    Ninawalaumu sana tu pia waliokuwa Msibani kwani hapo ndipo palikuwa patamu na Wao kumaliza Shughuli kabisa!!!!
  8. T

    JamiiForums Tanzania Wabongo tuko nyuma sana kwenye Customer Services, kibaya Hatuko serious na Kazi kabisa. Acha Wakenya wachukue nafasi zetu

    Basi leo mchana saa nane nikasema niende nikapate msosi kwenye hoteli moja kubwa na mpya hapa jiji la masamaki. Naingia tu nakutana na wahudumu wanne wamekaa, mteja alikuwa mmoja. Mahojiano yalikuwa kama ifuatavyo: Mimi: "Chakula kiko tayari?" Muhudumu: "Sijajua ngoja nikaulizie kama kiko...
  9. JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Kufunga Maduka, Halmashauri ya Kibaha yasema “Wanafunga wenyewe, hatujafunga sisi"

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika kuwa kuna baadhi ya Maafisa wa Halmashauri wanafunga maduka ya Wafanyabishara kutokana na kuwadai malipo ya Halmashauri hiyo, ufafanuzi umetolewa na Mamlaka husika. Kumsoma Mwanachama bofya hapa ~ Wafanyabiashara Kibaha tunaishi kama digidigi...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Jamani, ashakum si matusi ila sisi Wabongo tuna mapungufu mengi ila kibaya zaidi tuko very very slow almost kwenye kila kitu

    Mimi mtanisamehe jamami, ngoja niseme tu najua mtanishambulia potelea mbali Leo kwenye junction, taa za green ziliwaka kuturuhusu, nyuma kuna magari zaidi ya 30, jamaa mbele yetu katangulia , bara bara iko bussy ila dereva huyo wa gari la mbele akawa anaenda very very slow kama vile yuko peke...
  11. JamiiForums Tanzania Edward Lekaita, Mbunge wa Jimbo la Kiteto Afanya Ziara Kata ya Kibaya na Lengatei

    MHE. EDWARD LEKAITA, Mbunge wa Jimbo la Kiteto Afanya Ziara Kata ya Kibaya na Lengatei Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara, Mhe. Edward Ole Lekaita amefanya ziara katika Kata ya Kibaya na Lengatei na kukutana na Makundi mbalimbali ikiwemo Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wa MaishaPlus...
  12. JamiiForums Tanzania Njooni Wanayanga tufurahie Ushindi hii Leo. Tunampiga mtu kipigo kibaya. Tukikosa points tatu Nipigwe Ban

    Team ya taifa ya Dar Young Africans leo inaenda kushusha kipigo cha mbwa mwizi kwa hawa Medeama hapa Uwanja wa Mkapa. Tayari kisu kimepata makali ya kutosha na ustaadhi anasema bao ni 3. Haina kuremba. Soka la kufa mtu na mabao makali ya ulaya yataonekana. Hakuna papatu papatu. Mpira...
  13. JamiiForums Tanzania Uchawi kitu kibaya sana, wachawi wakishikilia maisha yako hutoboi ng'o

    Kazi unafanya lakini hutoboi Kusoma umesoma lakini huajiriwi Kuajiriwa umeajiriwa lakini hali yako ni kama jobless. Biashara unafanya miaka nenda rudi lakini hustawi. Wachawi watu wabaya sana.
  14. V

    JamiiForums Tanzania Kiteto: Wakulima mji wa Kibaya wagomea bei ndogo ya mnada zao la mbaazi

    Mnada huo ambao ulitarajiwa kufanyika toka Jumanne, uliahirishwa mara mbili na hatimaye kufanyika Alhamisi 14/09. Wakulima zao la Mbaazi, walishangazwa na bei ya mnada kuwa chini kuliko matarajio. Kwa masikitiko makubwa walitangaziwa Bei ya Tshs 2190/ Ukiniunganisha na Bei ya Mbaazi Kwa soko...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyokuza mtaji wangu wa viatu vya mitumba kwa kuiba viatu (Ni hatari sana, usije ukajaribu utauawa kifo kibaya sana)

    Mbingu na nchi zitapita, lakini neno la Mungu litaishi milele. Wananchi na wana nzengo wenzangu, maisha ya kijana wa kiume ni nusu kuzimu, robo peponi na robo nyingine duniani. Duniani mnayo dhiki nyingi lakini jipeni moyo. Maisha yangu ya ujana yalijawa na changamoto nyingi, uchumi duni...
  16. JamiiForums Tanzania Nimemsikiliza Padre Kitima, hoja zake zimejikita kwenye hofu zaidi sijaona kipengele kibaya kwenye mkataba

    Tangu mjadala wa makubaliano ya Tanzania na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji ikiwemo bandari uanze, hadi sasa sijaona mtu aliyesema kuhusu ubaya wowote wa kipengele cha mkataba na akakidadavua vizuri kisheria nikamuelewa. Mimi ni mwanasheria, nimesoma mkataba, nimesoma maelezo ya Serikali...
  17. JamiiForums Tanzania Nimemsikiliza Padre Kitima. Hoja zake zimejikita kwenye hofu zaidi. Sijaoona kipengele kibaya kwenye mkataba

    Tangu mjadala wa makubaliano ya Tanzania na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji ikiwemo bandari uanze, hadi sasa sijaona mtu aliyesema kuhusu ubaya wowote wa kipengele cha mkataba na akakidadavua vizuri kisheria nikamuelewa. Mimi ni mwanasheria, nimesoma mkataba, nimesoma maelezo ya Serikali...
  18. JamiiForums Tanzania Hamna kitu kibaya Kama harufu ya bahari, mzazi shtuka

    Upepo unaotoka baharini pamoja na harufu yake ni kitu kibaya kuliko vyote kwa watoto wadogo hasa wanafunzi. Mzazi unashauriwa kumsogeza Mtoto wako mbali kidogo na bahari ili kuuwezesha ubongo wake kudevelop. Ogopa mikoa ifuatayo Dar Pwani Lindi Mtwara Tanga Zanzibar Na mikoa ya jirani na hiyo.
  19. JamiiForums Tanzania Habib Halahala: Mwandishi wa habari wa Rais Nyerere na Rais Mwinyi aliyefariki kifo kibaya

    Habib Halahala alichaguliwa kuwa mwandishi wa habari na mpiga picha wa Rais Nyerere mwishoni mwa utawala wa Rais Nyerere kwenye miaka ya 1980. Ilipofika mwaka 1985, Mwl Nyerere aling'atuka ofisini kama Rais wa kwanza wa Tanzania mara baada ya takribani miongo miwili na robo madarakani. Habib...
  20. JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kibaya hapa duniani kama madeni

    1. Wakati flani nikifanya shughuli za kisheria ktk taasisi flani niliwai kukutana na mzee mmoja ambae kwa wakati huo alikua ana lala stendi ya mabus ubungo terminal, baada ya kutolewa kwenye nyumba yake kinguvu na watu wa bank kisa alishindwa kurejesha marejesho yake kwa wakati ambapo mpaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…