kibarua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    Nini kilikufanya ukimbie kazi/kibarua chako cha zamani?

    Nilipata kazi baada ya msoto wa miezi kama mitatu hivi lakini hiyo kazi ilikuwa ni saa moja asubuhi hadi saa mbili usiku kila siku kasoro Jumapili, na mshahara ulikuwa ni elf 80. Hapo nauli pekee ilikuwa elf 10, msosi elf 30, geto nikiongezea bili ni elf 30, mwenye nyumba mpare hataki maneno...
  2. The Sunk Cost Fallacy

    Bashungwa- " Tuko tayari kufia 'site' kuliko kumuangusha Rais". Huwa wanatamka haya Kwa kulinda Kibarua au Hofu tu?

    Wakuu tuendelee kuchapa Kazi.. Naomba kuuliza hivi kutamka maneno kama hayo inakuwa ni kuhofia kutumbuliwa au kuna kingine? Haya maneno yalikuwa yanatamkwa Sana kumpamba Jiwe sasa sijui kama na awamu hii inayafurahia.. Hizo lugha ni kuonyesha Utukufu kwa Binadamu badala ya Mungu. Tuwe na...
  3. R

    Kibarua kimeota Nyasi: Waliozoea siasa za vita Mbowe, Lissu, Rais Samia waungana kujenga nchi. Funzo kwa...!

    Sasa ni rasmi tunaelekea siasa za Ulaya na Marekani. Siasa za maendeleo. Siasa za kistaarabu. Zile siasa za kutafutana kuuana, kutekana, kufungana na kufilisiana mali Mh Rais Samia ameona hazina tija kwa taifa. Akiongea na Wasikilizaaji ktk Mtandao wa maongezi wa Club House Mh Makamu...
  4. V

    Natafuta kazi, nimesoma Bachelor of Finance na uzoefu mwingi

    Hello wanaforum naitwa richard nimegraduate degree ya finance university of dsm natafuta nafasi ya kazi ya kujitolea kwenye kampuni yoyote nipate uzoefu Napatikana Dar Es Salaam Tanzania namba zangu 0657710078
  5. AjeyTz

    Shule gani nzuri naweza mpeleka huyu mtoto?

    Jamani, niko na mdogo wangu wa kiume anasoma Olimpio hapa Upanga yuko darasa la 4 kuna kibarua nilikuwa najishikiza sas mkataba umeisha na anatakiwa aende shule na kule imekuwa mbali kwaiyo nikilipa ada lazima nilipe na pesa ya usafiri naishi mbagara sas nahitaj kumuhamisha swali ni shule gani...
  6. Idugunde

    Wahasibu na Kibarua TPA kizimbani kwa kuisababishia TPA hasara ya mil 600

    WAHASIBU NA KIBARUA TPA, KIZIMBANI WAHASIBU wanne wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Kibarua mmoja, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye shtaka moja la kuisababishia Bandari hasara ya zaidi ya Sh. Milioni 600...
  7. Cannabis

    Raia Mwema: Makonda Kibarua kizito, wengine wajitokeza kumshitaki

    Gazeti la Raia Mwema limeripoti kuwa watu wengine wamejitokeza kumshitaki aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Mfanyabiashara mmoja amenukuliwa na gazeti hilo akisema "Makonda ametufanyia mambo mengi kinyume na sheria za nchi. Kuna wakati baadhi yetu, tulijaribu kumshitaki...
  8. Masai wa Town

    Je, Naweza kuishi Dar kwa mshahara wa laki tatu?

    Tafadhali Husika na kichwa Cha Uzi Huu. Mimi ni Job seeker, nimepata kibarua Cha laki tatu Dar es Salaam. Sijawahi kufika Dar ila nasikia maisha ya huko ni Magumu kwa sababu ya bei ya vyakula, Pango na Usafiri. Naomba kuuliza, kwa kiasi hicho tajwa, nitamudu maisha ya Dar?! Ahsante.
  9. G

    Natafuta kazi hata kibarua

    Habari Madam/sir Natafuta kazi hata kibarua cha kuendesha maisha yangu. #Ninaweza kufanya kazi yeyote tofauti na taaluma nilizonazo a) ninaumri wa miaka 24 b)Naishi gongo la mboto DSM c) taaluma yangu stashahada accounting&finance nina uzoefu wa customer care , sales 3yeaes d) nina...
  10. DOTHRAK

    Nipo Tabora mjini nipe kibarua chochote halali nitafanya

    Ndio wakuu Mdogo wenu nipo Tabora huku Field, mambo magumu pesa sina naunga unga maisha, nipeni kazi yeyote ndugu zangu. Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom