kibarua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Tumerudishwa tena kwenye habari mbaya Duniani; Naamini waliopanga hizi kamata kamata wanakwenda kupoteza kibarua

    Waliopanga hizi kamata kamata walikosea. Walishindwa kufahamu kwamba Dunia inaendeshwa kwa vyombo vya habari vya magharibi kuliko vya ndani. Al-Jazeera na BBC ni vyombo vikubwa, vinaweza kukijenga na utakumbuka awali vilivyotumika kupooza upepo wa JPM alipoingia Mama. Leo vimeingia Ulingoni na...
  2. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Natafuta kibarua chochote Mwanza

    Nipo Mwanza kama kuna tu ana connection yoyote ya kazi aniunganishe mtaani kugumu sana. Nina elimu ya degree na pia leseni ya udereva umri wangu miaka 35. Nisaidie wakuu
  3. Bonsipele69

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke

    Assalam Allaykum, Mpka sasa sijala na sjajua siku inaisha vipi, sina pesa wala mpango wa kupata hata buku kwa siku ya leo ukizingatia nimedamka asubuhi kutafuta vibarua viwandani na kwingineko lakini hola nimezurura hadi nimeona ntakuja anguka njiani bure nimekimbilia geto kujilaza nisikilizie...
  4. Hussein Obama

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira za kibarua, nipo Mbeya

    Habarini wakuu, Naomba kwa anaefahamu sehemu wanatoa vibarua kwa siku Mbeya, iwe ni kiwandani ama kwenye miradi ya ujenzi, barabara n.k naomba anisaidie conection au utaratibu wa namna ya kupata hivyo vibarua nina uhitaji nacho sana nawaomba wakuu kwa waliopo Mbeya.
  5. Bonsipele69

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi au kibarua

    Habari zenu Wanajukwaa Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza apo juu, Naitwa Eric natafuta kazi yeyote halali ya kuniingizia kipato. Elimu yangu ni Chuo kikuu bachelor degree in logistics and transport management. Ninafahamu humu jamii forum Kuna watu wengi na tofauti tofauti ambao wanaweza...
  6. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na Mchina aliyekuja kama kibarua Tanzania ila sasa yeye ni Big Boss

    Jana kuna mchina nilikutanishwa nae ni CEO wa kiwanda cha uzalishaji wa marine boards, melamain boards, pliewoods na MDF ambacho wamekijenga pale Mafinga. Nilimuuliza ABCs za maisha yake hapa Tanzania na akanambia yafuatayo. 1. Yeye alikuja Tanzania kipindi cha ujenzi wa uwanja wa mpira wa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba amelinda kibarua Cha AYUB LAKRED

    Robertino aliamua ku risk kibarua chake ili kulinda kibarua Cha Lakred. Afadhali aliamua kumpanga kipenzi cha Wanalunyasi (Manula) na kumuacha Lakred ili asije kufukuzwa usiku wa manane. Hivi ingekuwa vipi kama Robertino angempanga Lakred na akafungwa hizo 5G. Nadhani angetembea kwa mguu hadi...
  8. Pain 01

    JamiiForums Tanzania Hawa Form 4 & Form 6 wanaopata ajira TRA huwa wanaajiriwa sekta ipi?

    Wakuu habari za kazi. Ladies and gents, Naombeni kuulizaa na majibu yawe yakuridhisha wakuu tafadhalini. Hawa form 4 & form 6 wanaopata ajira tra huwa wanaaniriwa secta ipi wakuu na pia mshahara wa vijana hawa huwa ina range namna ipi? Mawazo yako yatafungua wengine wakuu karibuni.
  9. T

    JamiiForums Tanzania WanaJF nipeni kazi au kibarua, maisha ya malezi yasije nishinda kuhudumia

    Habari za humu ndugu wana JF natumaini wazima wa afya na tunasonga mbele, kama kichwa cha habari kinavyosomeka, Wadau nipeni kazi / kibarua nifanye nipate pesa za matumizi za kupata mahitaji ya mtoto mwaka kesho anaanza shule darasa la awali, chekechea, baadhi ya vifaa nimenunua kama kitambaa...
  10. Tommy 911

    JamiiForums Tanzania Mwanachuo natafuta kibarua kipindi hiki cha likizo

    Habarini wana JF Mimi ni kijana ni Mwanachuo kwa sasa nipo likizo. Nahitaji msaada wa kupata kibarua chochote kipind hiki cha miezi miwili Posho hata ikiwa elfu tatu kwa siku ni sawa. contact: 0621554787
  11. The bump

    JamiiForums Tanzania Kibarua cha siku 1 (Kesho - Jumatano)

    Kwa kijana anaetafuta kibarua cha kufanya apate hela ya kuishi kwa siku ya kesho anakaribishwa kujiunga nami. Kibarua ni Kufyeka/Kusafisha/Kuchoma Moto Shamba la Heka Mbili. Shamba Lipo Mlandizi, Usafiri Kuja na Kurudi ni Juu yangu. Chakula: Asubuhi na Mchana ni Juu yangu. Idadi ya...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada wa Kibarua

    Hodi na Salamu Members. Mimi ni kijana wa kiume (27), Elimu yangu ni ya Secondary. Nimekuja kwenu Kuomba Connection ya Kibarua cha kulipwa kwa siku, Nimeandamwa na msururu wa Madeni ya Kodi na kwa mangi. Nipo tayari kufanya Majukumu yoyote ilimradi yasikiuke Utu na sheria za nchi. Mungu...
  13. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Rasmi kibarua cha Antonio Conte chaota nyasi Tottenham

    Baada ya siku kadhaa za presha na tetesi hatimaye pande mbili baina ya klabu na kocha huyo zimeafikiana kuvunja mkataba na sasa timu itakuwa chini ya uangalizi wa kocha wa muda ambaye ni Cristian Stellini. Kwa maamuzi hayo Spurs inatafuta kocha wa nne ndani ya miaka miwili. Kabla ya maamuzi...
  14. God over everything

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, kibarua, msaada

    Amani iwe nasi Watu wa Mungu. Nimerudi Tena Ndugu yenu, Bado sijabahatika kupata KAZI/kibarua. Nimeandamwa na madeni ya Kodi, service charges na madeni mengi ninapoishi. Naomba mwenye kunisaidia kibarua hata saidia fundi, nitashukuru sana. Naishi Dar es salaam, Elimu kidato cha 6. Mbarikiwe...
  15. machafuko jr

    JamiiForums Tanzania Kazi/ kibarua cha fundi mabomba (plumbing)

    Habari zenu wakuuu, Mimi ni muhitimu wa water supply chuo cha maji Dar es salaam. Pia continuous student wa water resources engineering degree hapa hapa chuo cha maji, tumepata rikizo ya mwezi mzima chuoni Naomba connection au kibalua au kazi kwenye sector ya plumbing kwasababu nipo vizuri sana...
  16. God over everything

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi, iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi

    Habari za Mahangaiko Members. Mimi ni kijana wa kiume (27), Naishi Dar es salaam. Elimu yangu ni ya Form Six Nimekuja mbele yenu kuomba Msaada wa Kazi iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi. Nimeandamwa na malimbikizo ya Kodi ya CHUMBA. Mungu amguse yeyote mwenye uwezo wa kutoa Msaada kwangu...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni Connection ya Kibarua Ndugu zangu I

    Habari za Mwezi February wana-JF.!! Ndugu yenu Nina changamoto ya Kodi, chakula (kwa mtoto na Ndugu zangu tegemezi na kwangu binafsi). Naombeni mwenye kuweza kunisaidia kupata kibarua cha namna yoyote Ile; Muhimu kiendane na mapenzi ya MUNGU. Nitashukuru nikipata Msaada . ✅Nina elimu ya...
  18. Charlesnbundalah

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kibarua chochote halali

    Habari ndugu zangu naitwa Charles mimi naomba mwenye connection ya kazi/ kibarua cha halali anisaidie kuniunganisha kwa maeneo ya Dar es Salaam maana nilikuwa nafanya biashara sasa kulingana na ya uchumi mtaji wangu umekata. Nipo hapa kuwaomba ndugu zangu mnisaidie nipate kazi ili niweze...
  19. Muddy123

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kibarua

    Naitwa Mudi mkazi wa Mbagala umri mika 30. Natafuta kazi au kibarua cha kufanya popote ndani au nje ya Dar kikubwa iwe ya uhakika na pia nimesomea Ualimu wa Masomo ya Sanaa Geography na History Niko tayari kwakazi yoyote itakayopatikana iwe ni kiwandani au kampun au shule Namba yangu ni 0693206150
  20. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Hawajamaliza: Mabando ya data kupanda tena upya, Naibu spika ampa kibarua Nnape kupandisha gharama

    Bado hawajamaliza, Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amemtaka Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe.Nape Nnauye, kuona namna watakavyoweza kushirikiana na Wizara ya Fedha, kuja na mfumo thabiti utakachochea ongezeko la mapato ya serikali kupitia matumizi...
Back
Top Bottom