kibao

Skandals Kibao (English: Full of Scandals) is a Kenyan soap opera that debuted on KTN in August 2015. It is directed by Mary Migui. The main cast includes; Lwanda Jawar, George Mo, Vincent Mbaya, Billiard Wanjau, Janet Sision and Avril.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Halima Nyakanga afungiwa na BASATA kwa miaka 3 na faini ya Tsh milioni 3

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia Halima Haji wa Kibaokata kutojishughulisha na sanaa kwa miaka mitatu kwa kosa la kusambaza video isiyozingatia maadili. Aidha, BASATA imemtaka msanii huyo kulipa faini TZS milioni 3 ndani ya siku 14 tangu kutolewa kwa adhabu hiyo, pamoja na kuondoa...
  2. Mshana Jr

    Tundu moja style kibao

    Unaweza nawe kunisaidia kushangaa na kujiuliza maswali ninayojiuliza mimi kila inapofika wakati wa mchezo Tundu ni moja tuu lakini ufundi mwingi, MB wen we kibao, style kamala zote! Hivi haya yote ni ili upate nini wakati shimo ni lile lile moja? Mchezo huu wa gofu huwa unanifikirisha na...
  3. Genius Man

    Serikali haramu ikipiga tu picha na kiongozi wa US au ulaya utaona tambo kibao halafu kesho yake wanawanakataa na kupigwa spana yani ni machizi

    Serikali haramu ikipiga tu picha na kiongozi wa US au ulaya utaona tambo kibao halafu kesho yake wanawanakataa na kupigwa spana yani ni machizi . Wanajaribu kupiga picha na watu wa ulaya na US ili kututia viini macho bahati nzuri wazungu wamesha washtukia wanawakataa na kuwapiga spana hawa...
  4. Mafyangula

    Mohamed Kibao: Hakuna mtu anayestahili kuuawa kinyama kiasi kile

    Sisi kama familia tumejitahidi sana kutenganisha matukio haya na siasa ndio maana atuongeleni kuhusu CCM. Lakini haijalishi mtazamo wake wa kisiasa, haijalishi alikuwa anafanya kazi na nani hakuna anayestahili kupitia aliyo yapitia yeye. Amesema Mohamed Ali Kibao
  5. S

    Kibao kitapogeuka, Lissu atakuwa uraiani, huku mtesi wake akiwa The Hague Court

    Ni kama ambavyo yule alietaka kumtanguliza Lissu ahera, badala yake katangulia yeye huku Lissu akiwa bado yuko katika uso wa hii dunia. Tena si ajabu Lissu akaja kuwa Raisi wakati huo mtesi wake ameshahukumiwa kifungo cha maisha jela. Muda utasema.
  6. October 2pm

    PostGE2025 Wavuruga amani walimuua Ali Kibao kama street dog. Watalipia walahi

    Kila ngazi itapandwa. Hakuna cha Nywinywi sio. Mwaua watu kama mbwa koko mwasema tusilete nywinywi. Mwaua baba zetu mwatuita wahaini tukisema. Hehee! Mwafunga mitandao ili dunia isijue. Hehee! Mwatishia watu maisha kisa nye ni immortal hamfi. Mayii! Nye miungu Nye. Mwatumia kodi zetu kutuua...
  7. Abraham Lincolnn

    Mpaka sasa Polepole hajulikani alipo na waliomuua Mzee Kibao hawajachukuliwa hatua, Unadiriki kuzungumza Maridhiano? Tukutane Barabarani DEC 9

    Serikali ILIYOMWAGA DAMU za watanganyika, Serikali iliyoua maelfu ya Watanganyika, ili tu kulazimisha mtu mmoja na chama kimoja kisalie madarakani, LEO wanajitokeza hadharani wakijifanya hawajui chanzo cha ndugu, jamaa zetu na wapendwa wetu kuuawa! hii ni DHARAU KUBWA SANA. Haijawahi kutokea...
  8. The Mongolian Savage

    Kifo cha Ali Kibao kiliniuma sana.

    Sikuwa namfaham na wengi hawakumfaham. Ila baada ya kifo chake ambapo aliuwawa kikakitili watu walipokea habari ya kifo kwa uchungu sana. Ni picha zake enzi za uhai wake ndo zilivuta hisia za wengi ambao hawakuwa wanamfaham. Sura yake ilionesha innocence sana. Lakini badala ya kutufariji...
  9. Mashamba Makubwa Nalima

    "Ooh mimi nawajua watanzania.." kibao. Unamjua nani???Hakuna unayemjua mkuu, na mikoani tutadai haki zetu zaidi

    Wewe ni nani ujifanye unamjua mTanzania na uvumilivu wake? Yani mimi nivumilie watu wanauwawa nchini kwangu? Watu wanatekwa kila siku, alafu nitulie tu kisa sio familia yangu? Ripoti za CAG ufisadi wa kutisha,, nitulie tu??? We pokea hiyo hela kale, hizo propaganda hazifanyi kazi tena
  10. Mashamba Makubwa Nalima

    Message kibao kwa RAIA wakati wezi mnawajua, TAKUKURU acheni maigizo

    Yaani simu yangu inashindwa kupokea sms mpya kwasababu ya kujaa kwa hizo messages zenu. Hivi nyie mnafikiri sisi wagombania mwendokasi tunaweza kuiba hizo billions, sisi wahangaika na maji ya mtoni tunaweza iba na kufanya ufisadi wa namna hiyo. Achani mara moja hii kitu, naongea tena FANYENI...
  11. Mashamba Makubwa Nalima

    Kumbe hadi wasanii nao wamechoka, ila ushauri wa bure msijiachie kwenye hayo magroup kuna mamluki kibao

    Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 kwa Wasanii ambapo jumla ya wasanii ni 96,727 Tanzania bara 88,365 Zanzibar 8,362 Mkoa wa Dar es salaam umeongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wasanii wapatao 25,262. Wanufaika zaidi na mfumo hawazidi 100 (0.113%) Tanzia Mkoloni
  12. M

    Hii hali ya kuwa kuna waajiriwa wana maisha mazuri kuliko wafanyabiashara kibao ni kitu watu huwa hawataki kukubali ila ukweli hauwezi kubadilika.

    watanzania wengi wapo brainwashed kutetea biashara ndio njia pekee ya kutoboa na mifano lazima iwe ile ya kina MO na Bakhresa, Ni kweli biashara ndio sekta inayotajirisha zaidi lakini haimaanishi watu wenye ajira wana maisha mabaya. kuna waajiriwa wengi wana maisha mazuri ya uhakika kuzidi...
  13. K

    Kifo cha Ali kibao ndiyo ulikuwa mwanzo wa Samia kushuka ! Nuksi yake bado ipo

    Kifo cha Ali kibao ndiyo ulikuwa mwanzo wa Samia kushuka ! Nuksi yake bado ipo. Raisi Samia kupuuza na kusema kifo ni kifo mpaka leo hajarudi kama zamani
  14. M

    wahitimu wetu wa IT wamelala sana, kuna mitandao kibao ya kupiga Dola Online lakini bado wapo mitaani ramani hazisomeki.

    Vijana waliohitimu dip na degree za computer almaarufu "ma IT" wapo wengi sana mtaani bila ramani ya kueleweka. Nashangaa sana kwasababu kuna mitandao mingi sana ya kupiga dola online, sehemu nyingi dunian IT wa kizazi hiki hawasubiri kazi, wapo ndani wanapiga dola. Mifumo ipo lakini IT wengi...
  15. Mwizukulu mgikuru

    Nimsaidie vipi huyu ndugu mwenye masharti kibao

    Huyu ndugu kila anapoenda kuwatembelea ndugu na jamaa lazima aondoke ameharibu, yaani ana masharti ya kufa mtu hasa kwenye mpango mzima wa mboga na vyakula hali samaki, nyama ya mbuzi, mboga ya dagaa, Yeye anataka akienda kumtembelea mtu ale nyama ya ngombe tu tena stake ....ukinunua nyama ya...
  16. F

    Kwa vyovyote aliyekuwa akidonoa hili gitaa la treble katika kibao hiki cha Lusa Mwana Mama cha Oliver N'goma alikuwa na kipaji cha kweli cha muziki

    Ni kweli kabisa huyo mtu anayelidonoa guitar la trebble, hilo gitaa kiongozi katika kibao kinachojulikana kama Lusa Mwana Mama cha Oliver N'goma Download | Oliver N’Goma - Lusa | Audio - Yinga Media alikuwa na kipaji cha asili na cha kweli cha fani hiyo na sio kama vijana wa siku hizi...
  17. GENTAMYCINE

    Ukikutana na mwana Simba SC anayejificha katika hiki Kivuli jua hana Akili na ukimmudu mzabe kabisa cha Kibao cha Kutukuka akome....

    Eti Simba SC kufungwa na Yanga SC mara 5 mfululizo siyo Kosa au Jambo la Kushangaa kwani hata Real Madrid nayo imefungwa na FC Barcelona mara 4 au mara 5 mfululizo. Pumbavu Wahed zenu wenye hii Fikra hivi ukiwa kabisa na Akil Timamu Kichwani utaweza kulinganisha Mafanikio ya Real Madrid ya...
  18. Mshana Jr

    Pishi la tambi.. Ladha kibao.. Mwonekano tofauti tofauti

  19. Powell Gonzalez

    RIP Ali Kibao, na Wengine wote ambao hatujui wako wapi au nini kiliwakuta

    Mods naomba msifute uzi huu, sina maana ya kuchochea wala kukosoa bali kuonyesha kusikitishwa na matukio ya kupotea, kutekwa na kuuwawa kwa baadhi ya Watanzania huku baadhi yao tukiwa hatujui wako wapi hadi sasa. Tunawaombea wale wote waliotangulia, na ambao wapo mahali labda wametekwa (hatujui)...
  20. Carlos The Jackal

    Hivi Watanzania tutakua Wajinga Mpaka lini? Enock anauwawa, Mzee Kiibao, Akina Mdude, Soka,, Hatujui walipo, mpaka Auliwe nani ndio tuamke?

    Mpaka Auliwe nani Ndugu zangu ndio tusimame kudai Haki zetu dhidi ya haya Majangiri yaliyondani ya Serikali na vyombo vya Dola??. Ni Kwa sababu wanouwawa sio wa Damu Moja na sisi?. Mbona Nina hakika Kila Mmoja ,amesthiriwa Kwa namna fulani?
Back
Top Bottom