Kifo cha Ali Kibao kiliniuma sana.

Kifo cha Ali Kibao kiliniuma sana.

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9,251
Reaction score
20,486
Sikuwa namfaham na wengi hawakumfaham. Ila baada ya kifo chake ambapo aliuwawa kikakitili watu walipokea habari ya kifo kwa uchungu sana.

Ni picha zake enzi za uhai wake ndo zilivuta hisia za wengi ambao hawakuwa wanamfaham.

Sura yake ilionesha innocence sana.

Lakini badala ya kutufariji tukaongezewa maumivu ya majibu yaliyojaa nyodo, madharau, ngebe, Kejeli, majigambo na majivuno eti kifo ni kifo.

Sasa haki inaenda kutendeka. Na wote waliodhulumiwa uhai na maisha watatendewa haki.

Screenshot_20251030_174825_Chrome.jpg
 
Kwanini INEC wamestopisha kutangaza matokeo ya kura? Maana yake nini?
 
Back
Top Bottom