Wakuu,
Mwanahabari mkongwe nchini, Absalom Kibanda amesema angekuwa kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), asingefanya makosa kwenye mchakato wa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi Mkuu zilizotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi kwa vyama vya siasa.
Amesema kwa kusaini tu, chama...