Dah nilitongozwa na mjeda, nikaona simple kukubali siku zikapita penzi likakolea ikabidi ahack namba yangu bila mimi kujua.
Hakuna kitu kilichokuwa kinaninyima amani pale alipokuwa akinambia kama risasi tutapigwa wote maana boyfriend wangu namjua akili zake, daah nilijuta but niliamua kukaza...