kiama

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yaani hivi tunavyoipromoti JamiiForums hapa tukikuta Zawadi zetu ni zifuatazo nitanuna hadi Kiama

    1. Key holder ya JamiiForums 2. Handbook ya JamiiForums 3. Cello Pen ya JamiiForums 4. Flyer ya JamiiForums 5. Kupiga Picha na Jengo lao zuri na Nembo yao nzuri kisha kupata nao Lunch na Kuondoka 6. Handkerchief ya JamiiForums 7. Sandals (Kandambili) za JamiiForums Jamani tuandalieni huko...
  2. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Duniani kote usafiri wa reli ndiyo rahisi kuliko wote. SGR tulitegemea kuwa kiama cha usafiri wa mabasi na malori, imeshindikana

    Duniani kote usafiri wa reli ndiyo usafiri wa bei rahisi sana kuliko usafiri mwingine wowote. Malengo makuu ya kuboresha usafiri huu kwa kiwango cha SGR yalikuwa: ~Trip moja ya treni ya mizigo ingaliweza kusafirisha mzigo wa sawa na semi-trailers za malori 500 kwa mara moja, kwa spidi ya 120...
  3. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Ture story! A very beautiful kid Wawa alinusurika kuuawa na ndugu zake akiwa na miaka 6 tu; sasa hivi ana kiama 22

    Sikiliza hiyo documentary hapo chini kutoka 7 NEWS Spotlight TV; kupitia kipindi chao kimoja ambacho huwa wanarusha Jumapili usiku kinachoitwa SUNDAY NIGHT TRUE STORIES
  4. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Kwetu sisi waislamu, tunaamini umasikini ni dalili ya kiama

    Inafahamika kuwa umasikini ni ukosefu wa chakula, makazi, mavazi, huduma za afya na mahitaji mengine ya msingi kwa sababu ya kipato duni. Licha ya fursa zinazopatikana kutokana na maendeleo ya teknolojia, umasikini hivi leo ni moja kati ya matatizo makubwa kabisa yanayoukabili ulimwengu. Katika...
  5. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Tutamjibu nini mola wetu huko kesho kiama?

    TUTAMJIBU NINI MOLA WETU HUKO KESHO KIAMA?? Nikukumbushe tu, kama sio kukujuza yakwamba Sijazaliwa katika familia yenye kujulikana au kuwa na heshima popote pale, Kwa bahati mbaya sikuwahi pia hata kushika nafasi zile tatu za juu darasani Nakumbuka kuchekwa, kukatishwa tamaa, kunenewa uongo...
  6. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Kiama cha CCM ni halisi kitaondoka na watu

    Ni siku na wakati mwingine tena, poleni na majukumu ya kulijenga taifa hili la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Waswahili walisema ni "Heri kujikwaa kidole kuliko kujikwaaa ulimi" Kuna viongozi wa kiserikali na viongozi wa CCM ambao wamepewa dhamana hawakukosea kutembea ila walitamka maneno...
  7. SACO

    JamiiForums Tanzania Baada ya tangazo la Rais Samia kusitisha retantion fee bodi kwangu imekuwa kiama

    NImekatwa miaka mingi hatimaye deni langu imebaki 15,000/= ndio ninayodaiwa. Nimeenda kuomba statement nilipe ili HR asitishe makato kwenye mshahara wangu sababu kwenye salary slip deni linasoma zaidi ya milioni 2 hivyo bila HR kutaarifiwa na bodi hawezi kusitisha makato. Majibu niliyopewa ni...
  8. Ikaria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Mutemi Kiama aachiwa kwa dhamana, aagizwa kutosema chochote kuhusu mikopo ya Kenya

    Mwanaharakati Edwin Mutemi Kiama ameachiwa huru kwa dhamana ya Ksh 500,000 pesa taslim' Kesi yake itasikilizwa tena Aprili 20. Mahakama imeagiza asiseme chochote kwenye mitandao ya kijamii kabla ya tarehe hiyo. Edwin anakabiliwa na kesi ya kumfedhehesha Rais kwa kutengeneza bango mitandaoni...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hofu ya kufa imefanya dunia ianze safari ya kiama

    Utabiri wa mwisho wa dunia umetolewa miaka mingi na mbali mbali huko nyuma.Utabiri wa namna hiyo ulipita na kuondoka na baadae watu kurudi kwenye shughuli zao na starehe zao kama kawaida. Tangu kuzuka kwa corona binadamu wamepatwa na hofu iliyo kubwa kiasi kwamba wale waliozowea kuona dunia...
  10. frado

    JamiiForums Tanzania Je, hiki ni kiama cha ATM machine?

    Unaweza usiamini hiki ninachoenda kukiandika lakini nina asilimia 1000 hili jambo litatokea katika ulimwengu huu wa kidigitali. Nina uhakika kwa nchi kama Marekani na China ATM MACHINE hazitakuwa na matumizi tena miaka 5 tu ijayo. Ni wazi kuwa Marekani na china wanajaribu kutoka katika...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 28 Oktoba vita ya ama zao, ama zangu; kiama chao, ama changu; chama chao, ama changu. Amiri Jeshi Mkuu katangaza vita, watoto wa mama wanachonga sana!

    Wanabodi, Uchaguzi ni wakati mzuri wa kufanya tafakari mbalimbali, saa hizi niko mji kasoro, kwenye kiwanja kipya kinaitwa Star Park, mimi kama kawaida yangu, ni mimi na Joni Mtembezi, kiwanja hiki, Night Shift wanaingia mapema! Hivyo kwa wale wenzangu na mimi ambao macho hayalali njaa, kiwanja...
  12. share

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wasanii, kiama ni tarehe 28 Oktoba 2020. Daini chenu mapema

    Mwisho wa ubaya ni aibu. Kila chenye mwanzo kina mwisho. Mwisho wa kurukaruka na mauno yenu ni 28/10/2020. Kumbukeni CCM ni ileile. Haijabadilika. Ninyi si wa kwanza kudhulumiwa na CCM. Msipodai chenu mapema mjue ndiyo imetoka hiyo. Safari hii hatutawaonea huruma hata mtakapokuwa wagonjwa...
  13. Masokotz

    JamiiForums Tanzania CCM Wanagwaya. Je, kiama chao kimefika?

    Leo nimeenda na Mgombea wangu kwenda kuchukua fomu ya Kugombe ubunge kwa Tiketi ya Chama Rafiki.Nimekuta tayari vyama saba vimekwisha chukua FOMU ila CCM na CHADEMA bado hawajachukua Fomu. Nilipokuwa hapa kwa msimamizi wa uchaguzi kuna mambo ambayo nimeyaona na kuyatafakari hasa kuhusu CCM...
  14. Influenza

    JamiiForums Tanzania Iran: Naibu Waziri wa Wizara ya Afya agundulika kuambukizwa Virusi vya Corona

    Naibu Waziri Iraj Harirchi ambaye amekuwa mstari wa mbele nchini humo katika kupambana na #coronavirus amegundulika kuambukizwa virusi hiyo Msemaji wa Wizara hiyo amethibitisha hayo alipokuwa anafanya mahojiano na chaneli ya runinga ya Taifa na kusema Naibu Waziri huyo amewekwa sehemu maalumu...
Back
Top Bottom