frado
Member
- Nov 26, 2020
- 8
- 23
Unaweza usiamini hiki ninachoenda kukiandika lakini nina asilimia 1000 hili jambo litatokea katika ulimwengu huu wa kidigitali.
Nina uhakika kwa nchi kama Marekani na China ATM MACHINE hazitakuwa na matumizi tena miaka 5 tu ijayo.
Ni wazi kuwa Marekani na china wanajaribu kutoka katika ulimwengu wa pesa za makaratasi na kuingia katika pesa za kidigitali na tayari china imeshaanza majaribio ya pesa yake ya kidigitali inayojulikana kama DIGITAL YUAN katika miji zaidi ya minne.
Marekani pia kupitia mwenyekiti wa FED (Federal reserve ) ambao ni wasimamizi wa shughuli za fedha katika serikali ya Marekani ,Mr Jerome Powell aliweka wazi kuhusu ujio wa DIGITAL DOLLAR ambayo wanategemea kuizindua rasmi kabla ya China haijafanya hivyo na hivyo nategemea uwepo wa digital dollar kuanza kutumika mwaka 2021 ili kuwawahi china ambao wanategemea kufikia 2022 Digital yuan ianze kutumika katika mashindano ya #Olympic2022
uwepo wa digitalised fiat utapelekea watu wengi kuanza kufanya miamala yao ya kununua na kuuza bila cash yaani pesa ya makaratasi ambapo withdraws nyingi za cash hufanyika katika ATM MASHINES
Hii imeshaanza kufanyika china ambapo wananchi wanatakiwa kupakua app za #wechatpay na #alipay ili kuweza kutumia digital yuan,hivyo hivyo nchini Marekani ni wazi kuwa watu wote watatakiwa kufungua account kupitia app ya FED na kufungua account zinazoitwa FED ACCOUNTS ambazo zitatumika katika manunuzi yote kufikia 2021#BakihapaNIKUJUZEEMENGI