kiafrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania MITUME/MANABII wetu wa Afrika watauwawa hadi lini tukiangalia tu? By Bob Marley

    "How long shall they kill our prophets while we stand side and look" By Bob Marley -Biko -Nkuruma -Sankara -Samora -Nk WAKE UP AFRIKA WAKE UP BLACK PEOPLE THIS IS YOUR TURN!!
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nitasimama daima na "Waasisi wa Afrika waliotangulia mbele ya haki kwaajili ya Waafrika" na siyo kwaajili ya wakoloni

    Naanza kwa sara ya UAFRIKA: Ee Mungu, Mikononi mwako naweka Roho za WAAFRIKA WOTE. Nakushuru Mungu kwa baraka zote ulizotujalia WAFRIKA. Ee Mungu wa majeshi,nakushuru kwa wema wako umetulinda mpaka kufikia sasa WAAFRIKA tunaanza KUJITAMBUA ,tunasema Asante sana. Ee Mungu Baba nakuja tena...
  3. JamiiForums Tanzania Sijui ni tabia Ya Kiafrika Sijui ni Tanzania pekee?

    Afrika yetu sijui ni Tanzania yetu.. Watu wanaweza. Wakupe mchango wa Harusi Birthday party Rambi Rambi Lakini hawezi akakupatia Mtaji. Na hata ukianzisha biashara Anaweza Asije kukusapoti. Ndio kwanza anaweza aanze kukusema vibaya na asubirie anguko lako.... Sijui sisi Tukoje🤣
  4. H

    JamiiForums Tanzania Dini Asilia za Kiafrika

    Dini asilia za Kiafrika ni kati ya dini za jadi ambazo zinadumu hata leo, ingawa wafuasi wake walipungua mwaka hadi mwaka kulingana na dini zilizotokea Mashariki ya Kati, hasa Ukristo na Uislamu, ambazo zilienea Afrika, bara kubwa lenye jamii na tamaduni nyingi ila kwa sasa Dini za Asili za...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Je, bado kuna Waafrika wenye akili wanaoamini kuwa Uislam na Ukristo ndiyo dini za kweli za Mungu?

    Habarini, Mwafrika yoyote aliyesoma kweli na kujitambua lazima keshaelewa kuwa uislama na ukristo ni uongo kulingana na malengo na hasara zake kwa waafrika ikiwepo kupiteza asili na utamaduni wa Waafrika wa ukweli ktk kuabudu na kuamini. Hivi kweli inawezekanaje mtu amesoma kuanzia la kwanza...
  6. JamiiForums Tanzania Vijana wa kisasa wa Kiafrika!

    Katika jamii ya sasa, vijana wengi wanakosa mwelekeo na thamani, na hili linaweza kuathiri jamii nzima. Kama kizazi hiki hakitapewa uangalizi na mwongozo, tunaweza kujikuta na kizazi kilichopoteza mwelekeo, hata kabla ya kufika kaburini. Vijana wanavua ndoto kwa kubeti, wakitegemea bahati...
  7. JamiiForums Tanzania Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia kujengewa misikiti 200

    Nasema ni ujinga kwasababu nchi ina changamoto nyingi za msingi lakini anakuja mpumbavu anaona kabisa raia wako au anachoweza kukusaidia ni misikiti. TAFSIRI: Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia wa kujengewa misikiti 200 katika nchi yake. Badala yake...
  8. JamiiForums Tanzania DNA zetu za kiafrika

    Kama ulikua hujui kuwa unaweza kumjua mtoto ni wako au sio wako bila kupima DNA wacha nikufahamishe;- Watu wengi huamini kuwa njia ya kicheki DNA pekee, Ndio inayo tambulisha kuwa mtoto sio wako, Jambo ambalo kiuhalisia sio kweli kabisa, Sasa leo wacha nikujulishe njia nyengine mbili...
  9. JamiiForums Tanzania Tena msifuate maji nikirudi nitakuja na mvua!! Mama zetu wa kiafrika

    Mama zetu wa kipindi cha nyuma walikuwa hawaachi maagizo Moja kwa moja.Lazima aseme kwa mafumbo Mfano akitaka kutoka anataka kuwaambia mfanye kazi fulani utasikia. Msiende kusanga hayo mahindi nitakuja na wali. Naenda kusuka Msiwape ng'ombe maji nitakuja na soda. Na mtembee mtaa wote wajue...
  10. JamiiForums Tanzania Mbowe namfananisha na Matajiri wa Kiafrika

    Wakuu, Matajiri wa Kiafrica Ni wapambanaji sana Ili kuleta ustawi wa Familia na Koo zao, Huwa hawalali Na Kiukweli hujitahidi kadiri ya Uwezo wao familia Kusimama! Pamoja na Mazonge yote watu hawa wamejawa na Siri nzito sana na Pia ni watu ambao huishi kwa Machale muda wote Matajiri wa...
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake wa kiafrika ni wazuri sana ila wana roho mbaya na wana ile njaa ya chakula hatari

    Moja ya mambo huwa siyapendi kutoka Kwa wabantu black women ni uchoyo na roho mbaya na njaa ya chakula. Mimi huwa naonaga black women walipewa maumbo mazuri Ila akili 0% Mfano tangu nikae nao hawa black women ukimuhalika kwako akiona misosi anatoa macho Sana akiona umegawa chakula umewapa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Burna Boy: Siwezi kutongoza Mwanamke wa Kiafrika, wananjaa sana, wanamtazama Mwanaume kama begi la hela

    ...." Dating a nigerian Girl is like adopting an Orphan"...... Burna Body amewachana Dada zake ndani na nje Nchi ya Nigeria kwa kuwaita wanahendekeza sana njaa na umaskini. Nyota huyo wa Mziki wa Kizazi kipya amesema pamoja na kwamba Wananwake wa Nje wanamuumiza kihisia bado anaona ni nafuu...
  13. JamiiForums Tanzania Enyi wazee wa Kiafrika wenye miaka 60 kazini ondokeni achieni vijana nafasi kwasababu wana ujuzi mpya

    Enyi wazee wa kiafrika wenye miaka 60 kazini ondokeni achieni vijana nafasi kwasababu wana ujuzi mpya, mnang’ang’ania kana kwamba hamjazaa Enyi wazee wetu miaka 60 ya kustaafu imeshatimia bado hamuachii viti mmekua kama hamjazaa mbona vijana tupo Vijana wenye ujuzi mpya wapo mitaani...
  14. JamiiForums Tanzania Huu ndio utofauti wa familia za kiafrika na wa-asia

  15. M

    JamiiForums Tanzania Familia zetu za Kiafrika zina matatizo gani, kwanini zina ubinafsi sana?

    Familia zetu, kila mmoja anatakiwa aanzie mwanzo. Yaani hakuna mwendelezo wa maisha ya uchumi na biashara. Eti wanakwambia kila mmoja ajipambanie... Kama kuna mali wazee waliacha basi watu watataka ziuzwe kila mtu afe na chake, ili wajukuu nao wakianza maisha waanze kuteseka upyaaaa😃😃😃 ukoo...
  16. JamiiForums Tanzania Uhalisia kuhusu baadhi ya wanawake wa Kiafrika

    1: Katika umri wa miaka 14,Huanza kuonekana ni mabinti wa kuanza kutamanisha kwa uzuri...😋😋😍 2: katika umri wa 16 huanza kujiskia na kujiona wanatamani kua na wanaume waliowapita umri,na hutamani kua na wale wanaume wenye kuvutia hapo,shuleni,au kwenye makundi yao..😂🤣,huvutiwa vutiwa na wale...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Trump anaweza kusaidia kuwaweka madikteta wa Kiafrika madarakani

    Tukianzia kwa jirani zetu. Huu ni muziki masikioni mwa viongozi wa Kiafrika waliochoshwa na kukumbushwa utaratibu wa kidemokrasia na nchi za Magharibi. Rais wa Uganda Yoweri Museveni alithibitisha hilo katika maoni yake aliyotoa. "Marekani imepata mmoja wa marais bora kuwahi kutokea," Bw...
  18. JamiiForums Tanzania Majina marefu ya Kiafrika, naomba uongeze ulijualo

    Kati ya majina marefu ya kiasili niyajuayo ni haya: Uvuvwevwevwe Onyetenyevwe Ugwemubwem Ossas toka Nigeria. na Andriantsimitoviaminandriandehibe, Andriantsimitoviaminandriandrazaka, na Andrianampoinimerinatompokoindrindra toka Madagascar. Waweza kuongeza ujualo tafadhali ili tuanze safari ya...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaume wa kiafrika ni dhaifu sana mbele ya wanawake.

    Wanaume wa kiafrika ni dhaifu Sana mbele za wanawake. Kupitia udhaifu huu wameharibu Kazi zao zilizokuwa zinawasaidia kuendesha maisha na kuwapa heshima. Udhaifu huu umewafanya wameharibu ndoa zao zilizofungwa Kwa gharama kubwa ya pesa na sala na mizimu. Pia kupitia udhaifu huu umesababisha...
  20. JamiiForums Tanzania Kuzaliwa familia za kiafrika ni adhabu

    Famili za kiafrika ni Kulogana, Ujinga mwingi, Umaskini yaani daaaah!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…