kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kesi mbili za Yanga kuhusu Morrison zimefikia wapi?

    Mwezi wa nane mwaka huu Yanga walituaminisha kuwa wamekata rufaa FIFA katika kiengo cha CAS kupinga kitendo cha kamati ya TFF kuamua kuwa mkataba wa miaka miwili na Morrison ni batili. Baadaye Yanga kupitia Mwakalebela ikaibuka na kesi mpya kudai usajili wa Morrison Simba haukukamilika. Je...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Robert Amsterdam: Tunatarajia kufungua kesi ICC kuhusu Tanzania hivi karibuni

    Robert Amsterdam ameandika hivi katika akaunti yake ya twitter: With respect to Tanzania we anticipate our first filing with the ICC shortly. Further we are planning hearings before the Parliaments of Donor countries and will continue to urge non recognition of the Impostor.
  3. JamiiForums Tanzania Mgombea Urais, Ubunge, Uwakilishi na Udiwani-Awe mkazi eneo la jimbo husika, apimwe afya ya akili na asiwe mtoro wa kesi jinai

    Wakuu, Hili ni bandiko la Pendekezo, 1. Inapendekezwa kwamba mtu yeyote atakayejitathimini kuwa na nafasi ya kugombea uongozi wa kisiasa itamkwe kwenye katiba na sheria husika ni sharti apimwe afya ya akili na cheti cha uthibitisho kitolewe na kuambatanishwa kwenye fomu ya maombi ya nafasi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kesi tano zinazomsubiri Mahakamani Tundu Lissu

    Dar es Salaam. Wakati aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akidai yupo ubalozi wa Ujerumani, ameomba kupatiwa hifadhi ya kisasa kwa maelezo ya kuwa ametishiwa maisha. Kauli hiyo imekuja wakati Mahakama ya Hakimu ya Hakimu Mkazi, ikitoa hati ya...
  5. JamiiForums Tanzania Rais wa Kosovo ajiuzulu kutokana na kesi ya uhalifu wa kivita inayomkabili

    Rais wa Kosovo, Hashim Thaci amejiuzulu wadhifa huo hii leo ili kuweza kukabiliana na kesi ya uhalifu wa kivita inayomkabili. Yeye na wengine 9 wanatuhumiwa kusababisha vifo vya watu takriban 100 Katika Mkutano na Waandishi wa Habari alioitisha kuzungumzia jambo hilo, Thaci (52) amesema...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Freeman Mbowe, Zitto Kabwe, Godbless Lema na Boniface Jacob waachiwa kwa dhamana

    BREAKING: MBOWE NA WENZAKE WAACHIWA KWA DHAMANA Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe na viongozi wenzake waliokuwa wamekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kuandaa maandamano kupinga mchakato wa Uchaguzi Mkuu wameachiwa kwa dhamana - Mwanasheria wao ameithibitishia JamiiForums
  7. JamiiForums Tanzania Nashauriana na wanasheria wangu kufungua kesi ya kuzimwa kwa mtandao na kudai Tsh. Bilioni 8

    Kichwa cha habari kinahusika, Tupo hatua za mwanzo kabisa kuona jinsi tunavyoweza kuwashitaki wahusika waliozima mitandao ambapo ni takribani wiki sasa. Ni jopo la wanasheria wangu. Tunafikiria kudai fidia ya Bilioni 8 kutokana na hasara tuliyopata kwa kuzimwa mtandao tena bila kushirikishwa...
  8. JamiiForums Tanzania Nashauri upinzani wafungue kesi za kupinga matokeo yote kuanzia ya udiwani mpaka urais

    Japo nimearifiwa kwamba matokeo ya uchaguzi wa Rais hayapingwi mahakamani, ila napendekeza wanasheria wa upinzani wafungue hiyo kesi ya kupinga hayo matokeo, tena kwa ngazi zote kuanzia udiwani. Tunataka, kesi zipelekwe mahakamani, ili majaji na mahakimu watapozikataa, tuendelee kukusanya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kondo Bungo alishinda Ubunge Mbagala, lakini hakutangazwa. Kesi yake ilikaa mahakamani miaka 4 kisha hukumu ikasema kesi "ime-expire"

    ..Kondo Bungo anaeleza jinsi alivyodhulumiwa. ..Kuna sababu za msingi wapinzani kutokuwa na imani na tume zetu za uchaguzi.
  10. JamiiForums Tanzania Kesi madai ya fedha mahakamani inahitaji dhamana?

    Habari zenu watalaamu na wadau wa sheria. Naomba kujua kama mtu akifikishwa mahakamani kwa kudaiwa fedha ya mkopo na mtu binafsi, atatakiwa kuandaa wadhamini wa kumdhamini akiwa mahakamani?
  11. JamiiForums Tanzania Mwanamfalme atuhumiwa kwa kuagiza mauaji ya mwandishi wa Saudia, Jamal Khashoggi

    Mchumba wa mwandishi wa Saudia Jamal Khashoggi aliyeuawa nchini Uturuki amewasilisha kesi mahakamani dhidi ya mwanamfalme wa Saudia, akimtuhumu kwa kuagiza mauaji hayo. Inaelezwa kuwa Kashogi aliachana na Kundi la wasomi wa Saud Arabia tangu mwaka 2017 na baadae kuhamia Washington ambao...
  12. JamiiForums Tanzania Rufiji, Pwani: Mahabusu aliyekuwa na kesi ya mauaji afariki kwa kupigwa na radi

    Mahabusu ambaye alikuwa na kesi ya mauaji, Musa Haji Mchana, alipigwa na radi na kupoteza uhai Oktoba 13 kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha ukanda wa Pwani. Aidha wafungwa wanne wamejeruhiwa na radi hiyo na hivi sasa wako hospitali wakiendelea na matibabu. Wafungwa hao ni Richard Simau...
  13. JamiiForums Tanzania Mfahamu Tete Kafunja, Mtanzania aliehukumiwa kunyongwa kwa kesi ya kubambikiwa na kusota miaka 18 jela

    Wakati wafungwa na mahabusu katika Gereza la Butimba jijini Mwanza wakimeleza Rais Dk. John Magufuli, kubambikiwa kesi mbalimbali zikiwamo za mauaji kimeibuka kisa cha mtu aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa bila kuhusika katika kosa. Taarifa za kisa hicho kwa mara ya kwanza ziliripotiwa jana na...
  14. JamiiForums Tanzania Video: OCD Shinyanga adaiwa kuja na bango la CCM lililochanwa nyumbani kwa mgombea wa ubunge Shinyanga Mjini kupitia CHADEMA ili kumkamata

  15. JamiiForums Tanzania UN yawateua Majaji watatu watakaosimamia kesi ya mshukiwa wa mauaji ya kimbari Rwanda, Felicien Kabuga

    Saa 1 iliyopita Majaji watatu walioteuliwa kusimamia kesi ya kabuga Mahakama ya Umoja wa mataifa imewateua majaji watatu watakaosimamia kesi inayomkabili Felicien Kabuga. Kamati ya Umoja mataifa kuhusu mahakama za uhalifu imewateua majaji hao kutoka mataifa ya Uskochi, Uruguay na Uganda...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Fomunyo aitaja Tanzania kama miongoni mwa nchi ambayo demokrasia yake imeteteleka

    Dkt. Christopher Fomunyoh, ambaye ni Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa shirika la National Democratic Institute (NDI) ambalo linafanya kazi kusaidia na kuimarisha taasisi za kidemokrasia ulimwenguni kupitia ushiriki wa raia, uwazi na uwajibikaji serikalini, ameelezea hali ya kudhorota na kurudi...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu yaahirisha kesi za Tundu Lissu kupisha Uchaguzi Mkuu

    Mahakama ya Kisutu imeahirisha kesi mbili zinazomkabili Tundu Lissu hadi baada ya uchaguzi mkuu mwezi Novemba. Tundu Lissu anagombea urais wa JMT kupitia CHADEMA. Chanzo: ITV habari Maendeleo hayana vyama! ===== Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeridhia kesi mbili zinazokabili Mgombea Urais...
  18. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wagoniwa waungana kwenda kufumania; Wapanga kuoana na wao ili kulipiza kisasi, kesi ipo polisi Kawe

    Ni zaidi ya hekaheka! Jamaa mmoja huko mbezi beach anadaiwa kumlaghai mke wa mtu kiasi kwamba mke huyo kahama kabisa nyumbani kwake (kwa mmewe)! Mke huyo kafikia hatua yakumpeleka huyo bwana mchepuko wake kwao kwa wazazi (sijui alimtambulishaje) Mke wa jamaa (mgoni) baada ya kuona hivyo...
  19. JamiiForums Tanzania Kisutu: Kesi #458 ya Jamhuri dhidi ya JamiiForums, hukumu yapangwa Oktoba 30, 2020

    Kesi namba 458 ya mwaka 2016 (Jamhuri dhidi ya Mkurugenzi wa Jamii Forums na Mwanahisa wa Jamii Media) imeendelea leo, 21 SEPT 2020 asubuhi mbele ya Hakimu Huruma Shaidi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar. Kutoka Kushoto: Wakili Benedict Inshabakaki, Mwanahisa wa Jamii Media...
  20. JamiiForums Tanzania Mashahidi waingia mitini Pemba, wasababisha kesi ya ubakaji kuondolewa

    Mahakama ya Mkoa Wete imeiondoa kesi namba 75 ya mwaka 2019 iliyokua inamkabili kijana Khamis Abdalla Khamis mwenye miaka 35 aliyetuhumiwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka kumi baada ya mashahidi kutofika Mahakamani. Akitoa uamuzi huo Mrajisi wa Mahakama kuu Pemba Abdul-razak Abdul-kadir...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…