kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Mdada niliyewahi mkimbia lodge ndiye Hakimu kwenye kesi yangu leo

    Ni miaka 12 sasa, huyu mwali tulikutana kwenye usahili katika moja ya makampuni makubwa yaliyowekeza Tanzania. Kwa bashasha tulitokea kuelewana na tukafahamiana ndani ya muda mfupi, na vijana wana msemo kwamba binti alinielewa baada ya kuonesha kumjali kwa mambo kadhaa. Baada ya usahili...
  2. Afrika Kusini: Jacob Zuma akana mashtaka ya ufisadi mwanzoni mwa kesi yake

    Jacob Zuma alisema NAPINGA makosa yote 18 ya ulaghai, ufisadi, ulaghai, ukwepaji wa kodi na utakatishaji fedha haramu. Mashtaka hayo yanahusiana na matukio ya zaidi ya miongo miwili - katika siku za mwanzo za demokrasia ya Afrika Kusini - pamoja na mpango mkubwa wa silaha wenye utata. Bwana...
  3. Kesi ya urithi wa Marehemu Dkt. Mengi: Yaliyojiri Mahakamani

    MONDAY MAY 24 2021 Haijawahi kuwa rahisi kwa familia nyingi kumaliza mashauri ya mirathi kwa amani, hata pale inapotokea marehemu alionesha mgawanyo wa mali zake katika wosia aliouacha. Tafrani na hali ya kutoelewana huwa kubwa zaidi kama aliyefariki na kuacha ama kutoacha wosia alikuwa tajiri...
  4. Jinsi nilivyo bambikwa Kesi ya Ubakaji mwanafunzi Wilayani Nzega

    JINSI NILIVYOBAMBIKWA KESI YA KUZAA NA MWANAFUNZI WILAYANI NZEGA MWAKA2009. Mwaka 2008 Kuna Binti (Bahati) alikuwa Form 4 Shule ya Sekondari Kiri-Nzega. Mdada huyo alibebeshwa mimba na mtu anayeitwa Pro akiwa kwenye mitihani ya kumaliza Form4. Mapadre wa shirika la SFS wakamwambia ang'ang'anie...
  5. M

    TAKUKURU haiwezi na haina mamlaka ya kubambikizia mtu kesi

    Tangu juzi mitandao na magazeti yamefurika taarifa kwamba TAKUKURU wamefuta kesi 147 walizobambikizia watu. Watanzania wote tumekuwa kama vipofu bila kuchambua sheria ya TAKUKURU inasemaje kuhusu uwezekano au kutowezekana jambo hilo. Ukiisoma sheria hiyo utaona kwamba PCCB haina kifungu cha...
  6. Zimbabwe yagundua kesi za kwanza za aina mpya ya virusi vya corona vya India

    Makamu rais wa Zimbabwe akiwa katika hospitali ya Wilkins kwa ajili ya chanjo ya kupokea chanjo ya Covid 19. Shirikisha Zimbabwe imegundua kesi za kwanza za aina mpya ya virusi vya corona ambavo vimeibuka nchini India, Makamu wa Rais Constantino Chiwenga alisema Jumatano, na kuongeza kuwa...
  7. Yanga tusicheze na Simba mpaka kesi zetu zitolewe uamuzi na TFF

    Kama kudharaulika tumedharaulika vya kutosha. Viongozi wa Yanga wakati wa kusimama.pamojasasa Hawa TFF wawe na heshima kwetu. Tunaomba msikubali cheza na Simba mpaka watujibu kesi zetu zote. Yanga timu inayojiongoza na heshima yake watujibu kwanza; barua zote zile kesho mtasikia na za timu...
  8. Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

    Kesi Ya Mirathi ya ya Dr. Reginald Mengi: Former Miss Tanzania Jackline Ntuyabaliwe adondokea pua kwa Mara Ya nane tena katika Rufaa Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ya Dar es Salaam imetoa uamuzi kuwa mtoto wa Marehemu Reginald Mengi;-Abdiel na kaka wa marehemu, Bw. Benjamin Mengi kuwa...
  9. Rais Samia: TAKUKURU wamefuta kesi za kubambikizia 147, Polisi na nyie jitazameni

    Hii ni baada ya kutakiwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa kesi za kubambika. ==== Rais Samia Suluhu: Kwenye suala la wingi wa mahabusu, labda niseme kwamba jana nikiapisha majaji nililigusia hili, uharakishwaji wa kesi na nimezitaka taasisi zote ikiwemo jeshi la polisi ambalo...
  10. South Africa's ex-president says he is ready for graft trial

    kesi ya Jacob Zuma hiyo South Africa's ex-president says he is ready for graft trial JOHANNESBURG (AP) — Former South African President Jacob Zuma says he is ready for his trial on charges of corruption, racketeering, and money laundering. Zuma appeared at the Pietermaritzburg High...
  11. Lengai Ole Sabaya ni nani hasa?

    Ndugu Ole Sabaya aliwahi kutuhumiwa kuwa na kosa la kujifanya afisa kipenyo.kesi ikaendeshwa akashinda na hatimaye akawa mkuu wa wilaya.leo hii kaanguka tena kwa kusimamishwa Ukuu wa Wilaya. Chadema na baadhi ya wanaccm wanemshutumu sana na kwa muda mrefu JE OLE SABAYA LENGAI NI MMASAI AU...
  12. Mungu yuko pamoja na wenye kusubiri; Hatimaye Mdude Nyagali atimiza Mwaka mmoja gerezani

    Huyu Kijana wa kutokea Mlowo Mbozi, Mkulima duni wa jembe la mkono ambaye kwa maelezo yake mwenyewe bajeti yake kwa mwezi haizidi shilingi Laki 1 za Kitanzania, na ambaye hajawahi kumiliki hati yoyote ya kusafiria. Leo hii anatimiza mwaka mmoja Gerezani kwa Tuhuma za uongo za kuuza madawa ya...
  13. DPP anaposhindwa kuendesha kesi kwa MIAKA MINNE si ashitakiwe?

    Kuna kesi nyingi ambazo watu ambao wamebambikwa , na kuwa watuhumiwa wa karne, haziendi mbele wala hakuna kinachoendelea. Kuna Kesi ya yule aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa RAHCO, Tito Benhadart, sasa mwaka unaenda wa tano. Kuna wengine wengi tu Keko na Segerea. Lakini funga kazi ni hii ya...
  14. J

    Mchungaji Msigwa aomba michango kusaidia gharama za kesi ya Nyagali Mdude Mahakama Kuu Mbeya

    Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Nyanda za Juu Kusini mchungaji Msigwa anaomba michango kugharamia nauli na mahitaji muhimu ya wakili anayemwakilisha Kamanda Nyangali Mdude katika kesi inayomkabili mahakama kuu Mbeya. Michango itumwe kwa mwenyekiti mchungaji Msigwa na unaweza kutuma kiasi...
  15. Shinyanga: Mwanafunzi ajitoa ujauzito kwa kijiti

    Mwanafunzi anayesoma kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Uzogole Manispaa ya Shinyanga (jina limehifadhiwa), amedaiwa kujitoa ujauzito kwa kijichokonoa na kijiti, ili aendelee na masomo. Imeelezwa mwanafunzi huyo alipata ujauzito huo wakati akiwa nyumbani akisubiri matokeo ya kidato cha...
  16. Mashauri sita yaliyosababishwa na Serikali ya John Pombe Magufuli: Kugharimu mabilioni ya kodi za Watanzania

    Habari Wana JF, Bila shaka wengi mnafahamu kuwa Serikali ya Tanzania maarufu kama Serikali ya Magufuli ilitenda kwa kutanguliza nguvu, vitisho na weledi duni hasa katika kudeal na majadiliano ya kibiashara na wawekezaji mbalimbali. Matumizi ya nguvu yalichagizwa zaidi na kutungwa kwa sheria...
  17. Kisutu: Kesi ya kuvunja gereza la Segerea inayowakabili viongozi wa CHADEMA yafutwa

    Taarifa zaidi zitawajia hivi punde ===== Hii ni baada ya Upande wa Mashitaka kushindwa kuleta mashahidi mbele ya Hakimu Huruma Shaidi kwa ajili ya usikilizaji wa kesi hiyo leo tarehe 5 May 2021 . Walioachiwa huru ni Watu 27 akiwemo Halima Mdee , ambaye ni Mbunge asiye na Chama chochote , wote...
  18. Marekani: Derek Chauvin aomba kesi yake kusikilizwa upya

    Ikiwa ni takriban wiki mbili tangu akutwe na hatia katika mauaji ya Mmarekani Mweusi George Floyd, Derek Chauvin ameomba kesi yake kusikilizwa upya. Mwanasheria wa Chauvin, Eric Nelson, amesema uendeshaji wa kesi dhidi ya Polisi huyo wa zamani haukuwa na haki akidai kulikuwa na makosa ya...
  19. Mahakama ya Bukoba imemwachia huru aliyekuwa mgombea Ubunge Bukoba Mjini (CHADEMA), Chief Kalumuna na wenzake 6

    Tulionya Mapema sana kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu katika lolote , na nadhani hata nyinyi wenyewe ni mashahidi, wote waliojipa uungu Mtu na kujimwambafai wanazidi kupukutika huku wengine wakiwa njiani. Video hii inaonyesha umati wa watu wa Bukoba wakishangilia baada ya aliyekuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…