Hukumu ya Kesi ya Membe dhidi ya Cyprian Musiba yaahirishwa hadi Oktoba 28, 2021

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,635
218,069
Mahakama Kuu leo inatarajiwa kutoa Hukumu ya Kesi inayomkabili Musiba na Mhariri wa gazeti la Tanzanite , ambao kwa pamoja wanadaiwa kumchafua Benard Membe kwamba alikuwa anamhujumu aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 , John Magufuli .

Membe anadai Mahakamani fidia ya Tsh Bil 10 .

===UPDATE===

Mahakama Kuu ya Tanzania leo inatarajiwa kutoa hukumu ya kesi ya Bernard Membe dhidi ya Cyprian Musiba. Membe amemshtaki Musiba na wachapishaji wa Gazeti la Tanzanite ambapo anadai fidia ya TZS bilioni 10 kwa madai kuwa gazeti hilo lilimchafua.

membe.JPG
 
Mahakama Kuu leo inatarajiwa kutoa Hukumu ya Kesi inayomkabili Musiba na Mhariri wa gazeti la Tanzanite , ambao kwa pamoja wanadaiwa kumchafua Benard Membe kwamba alikuwa anamhujumu aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 , John Magufuli .

Membe anadai Mahakamani fidia ya Tsh Bil 10 .
Ahukumiwe kulipa angalau 1B ili akili imkae sawa
 
Hukumu ya Kesi Ya Mzee Membe Vs. C. Musiba Imekuwa Adjourned for Judgement Mpaka Trh.28/1/2021.

Jaji Demelo amsema kwamba hajakamilisha uandaaji wa hukumu yenyewe.

Kwa aina ya Jaji Demelo alivyo, lazima C. Musiba apigwe na kitu kizito sana kichwani.

Membe.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale waliokuwa wakitumika na jiwe kuchafua wengine sasa watajuta kwanini walikubali kutumika kama tambara la deki.
 
Back
Top Bottom