kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tofauti ya kesi ya Mbowe na Sabaya

    Baada ya Mh Mbowe na Wenzake kuachiliwa kumeibuka watu wanaodai na Sabaya naye aachiwe. Msingi wa madai yao Kama Mbowe ameachiwa kwanini na Sabaya asiachiwe. Naomba nitoe tofauti ya kesi ya mbowe na Sabaya. 1. Kwanza, kesi ya Sabaya ilishafika hukumu na akapatikana na hatia na kifungo Cha miaka...
  2. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe,imeonyesha udhaifu wa IGP na Mahakama zetu

    Heshima sana wanajamvi, Baada ya kesi ya Mbowe na wenzake kuondolewa / kufutwa na DPP mahakamani ni wakati muhafaka tukiangazia yaliyojiri kipindi chote cha kesi hii bila kuweka ushabiki na uzandiki. Mosi,Kabla kesi haijaanza kusikilizwa IGP alitoa kauli nzito kwamba wanaushahidi mzito.Binafsi...
  3. JamiiForums Tanzania Tamko la Marekani baada ya kesi ya Freeman Mbowe kufutwa

    Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Ambassador Donald J. Wright amezungumzia maamuzi ya Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake kuachiwa huku na Mahakama, leo Machi 4, 2022. Balozi Wright ametoa mtazamo huo kupitia kurasa zake za kijamii kwa kuandika...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa kilichotokea leo kwenye kesi ya Mbowe na wenzake watatu ni vyema IGP Sirro akajiuzulu mapema sana

    Kwa ufupi tu ni kwamba Kesi ya Mh. Mbowe tangu ianze kuunguruma hadi leo hii kitu nilichojifunza kwa Jeshi letu la polisi linaongozwa kihuni,kikatili na ubabe usio na ulazima kwa maagizo ya IGP NYAKORO SIRRO. Pia jeshi la polisi limejaa askari wajinga, bumbumbu wa sheria na hata ufahamu wa...
  5. JamiiForums Tanzania Kila uchao ''magaidi,'' wanafutiwa kesi. Hili limekaaje?

    Ndugu zanguni, Kila uchao ''magaidi,'' wanafutiwa kesi. Hili limekaaje? Hawa hawakuwa ''magaidi?'' Bismillahir Rahmaanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA DPP LEO TAREHE 01.03.2022 AMEWAFUTIA MASHTAKA WATUHUMIWA 15 WA UGAIDI. Mkurugenzi wa Mashtaka amewafutia mashtaka ya Ugaidi watu 15...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Tano ilikamata na kubambika kesi, awamu ya sita inafunga

    Kama mtakumbuka mwaka jana DPP alianza kufuta kesi zote walizofunguliwa watu wakubwa nchini wakiwemo wanachama wa chama Cha mapinduzi. Hadi Sasa pamoja na ubadhirifu wote uliofanyika hakuna hukumu iliyotolewa Kwa Kiongozi yeyote wa chama Cha mapinduzi inayomfanya akae kifungoni. Wakitenda...
  7. JamiiForums Tanzania Mahakamani: Hatma maelezo ya mke wa Bilionea Msuya kujulikana leo Februari 21, 2022

    Hatima ya maelezo ya onyo yanayodaiwa kutolewa na mke wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa madini, marehemu Erasto Msuya maarufu kama Bilionea Msuya, Miriamu Mrita itajulikana leo Jumatatu Februari 21, 2022 wakati Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itakapotoa uamuzi wake. Miriam ambaye...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mbowe alilalamika 2018 kutaka kubambikiwa kesi

    Kama vile lissu alipolalamika kwamba kuna plans za kumuuua na baadaye akapigwa risasi za kutosha basi march 2018 mbowe alishayajua pia
  9. JamiiForums Tanzania Lissu, na Wanaharakati kuweni makini mtapeleka Mbowe jela hamna mnachomsaidia kwenye kesi yake

    Wanaukumbi. Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameshaanza kuposti kejeli kwa Rais Samia na Judiciarytz kipindi ambacho Mahakama imesema mtuhumiwa ana kesi ya kujibu. Hakuna Shujaa wa kukaa jela, hata Mandela mwisho wa siku alifanya mazungumzo na Makaburu. Watu wanaposema Busara itumike...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Mbowe kuwa na kesi ya kujibu ni fursa ya kujua zaidi wasiojulikana wanafanyaje kazi

    Binafsi naona kitendo cha mahakama kuamua kuwa Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu Kwanza ni maumivu makubwa ya kisaikolojia na kimwili Kwa wahusika Kwa kukosa Uhuru na kushindwa kuendesha maisha Yao walivyozoea, lakini upande wa pili ni fursa Kwa Wana wa nchi hii kujua ni jinsi gani Siri Kali...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi na wanachama wa CCM hawashangilii ushindi mkubwa wanaoupata Serikali katika kesi ya Mbowe? Ukimya wao unamaanisha nini kwa Serikali?

    Yapo Mambo ukiyaangalia Kwa macho ya ROHONI unatambua Yana fumbo kubwa Sana. Mbowe ni mhalifu aliyekamatwa na serikali ya makini ya awamu ya sita,akafikishwa mahakamani, akasomewa mashtaka, akakana, serikali ikawasilisha ushahidi, ikapata upinzani mara mbili nakupelekea mahakama itoe hukumu...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe kukutwa na kesi ya kujibu: Lissu awapiga dongo Samia na Magufuli

    Kaandika hivi kupitia twitter: Mwenyekiti Mbowe ana kesi ya kujibu ya ugaidi kwa mujibu wa majaji wa Magufuli na Samia, lakini ni 'Mwamba' na 'Rais' kwa mujibu wa wananchi wa kawaida wa Tanzania!!!
  13. JamiiForums Tanzania Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

    Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Februari 18, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Washtakiwa wengine watatu wana Kesi ya Kujibu au Hapana. Ile siku iliyosubiriwa ya kutolewa maamuzi kesi Mbowe na wenzake 3 kama wana kesi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Swali: Kama Mbowe na wenzake wamekutwa na kesi ya kujibu, nafasi ya kujitetea ni kuomba adhabu ipunguzwe?

    Hili ni swali ambalo bila shaka sisi tusio na uelewa wa sheria kwa mapana yake tunajiuliza. Katika hukumu iliyosomwa na Jaji Tiganga, mahakama imewakuta na kesi ya kujibu watuhumiwa wanne. Maana yake ni kuwa hatia imeonekana. Je, wanapaswa kujitetea adhabu ipunguzwe ama wafutiwe makosa? Je...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumefuta kesi zote za Tundu Lissu, mimi na Lissu hatuna Ugomvi

    Kupitia mahojiano maalumu na DW Rais Samia amesema kwamba Serikali imefuta kesi zote za Tundu lissu zilizokuwa mahakamani hivyo kama tatizo ni kesi arudi Tanzania. Pia Rais Samia amesema yeye na Tundu lissu ni mtu na dada yake hawana ugomvi wowote binafsi ukiacha tofauti za vyama tu.
  16. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kufuta kesi ya Mbowe sio kuingilia Uhuru wa Mahakama

    Makamu Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA nchini Tanzania Tundu Lissu anayeishi uhamishoni Ubelgiji ameeleza azma yake ya kurudi nchini Tanzania wakati wowote. Lissu alisema hayo katika mahojiano maalum na VOA baada ya kukutana na rais wa Tanzania Samia suluhu mjini Brussels Jumanne. Akizungumzia...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Alichokitaja Jaji ni Kifungu cha Kufuta Kesi, Mawakili walitaja Kifungu cha Kujibu kama kuna kesi ya kujibu au la!

    Kile Kifungu alichokitaja Jaji katika Sheria ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na yanayofanana na hayo kinatamka kuwa: "40. Dismissal of charge At any stage of the proceedings the Court may, if satisfied that the accused person has no case to answer, dismiss the charge and acquit the accused person"...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanasiasa yoyote kuwa na kesi ya kujibu sio kuwa na hatia. Tutambue na kuelewa 'legal issues'

    Watu wanachanganya mambo na kuwa waoga wa mambo sana. Mwanasiasa yoyote yule akipata kushitakiwa, upande Mashitaka huwa wanaleta mashahidi na kama Hakimu au Jaji akiona huo ushahidi una mantiki basi huyo aliyeshitakiwa hutakiwa kukanusha huo ushahidi wa walioleta mashitaka. Tuache sheria...
  19. JamiiForums Tanzania DCI Boaz vipi, Mbona amekimbia kesi ya Mbowe?

    Leo upande wa mashtaka umefunga ghafla kesi ya ugaidi inayowahusu washtakiwa wanne akiwemo Freeman Mbowe. Katika hali ya kushangaza shahidi muhimu ambaye akitajwa karibu kila siku na mashahidi wa upande wa serikali DCI Boaz hajaitwa mahakamani kutoa ushahidi. Ikumbukwe huyu ndiye aliyepokea...
  20. JamiiForums Tanzania Ombi: kesi ya mheshimiwa Mbowe itengenezewe kitabu

    Niungane na wenzangu kuwapongeza wale wote walikuwa wanaleta live updates za kesi hii Naomba sana ikiwezekana waunganishe sehemu moja kutoka pale na kutengeneza kitabu ambacho bila shaka kinaweza kusomwa vizazi na vizazi kwa wale waliofuatilia kesi hii wataungana na Mimi kuwa hata namna ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…