kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Serikali imeshinda kesi 352 mwaka 2024/25

    SERIKALI IMESHINDA KESI 352 MWAKA 2024/25 Katika kipindi cha kuanzia mwezi Julai, 2024 hadi Machi, 2025, Kesi 867 ziliendeshwa mahakamani zikiwemo kesi mpya 461. Kati ya kesi mpya zilizofunguliwa mahakamani, 10 ni kesi kubwa ambazo zilifunguliwa katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Eti sitaki kusikiliza kesi kwa njia ya kimtandao!!! Lengo lao ni kuleta fujo mahakamani?

    Teknolojia imekuja kurahisisha mambo, inashangaza Lisu na jopo lake la Mwakiki kukataa matumizi ya teknolojia. Bila shaka hii itakuwa na maksudi kwa malengo either ya kuleta fujo mahakamani au kwa lengo la kuuza sura na kutafuta kikii. Hilo halikubaliki mwaka huuu. Teknolojia ndio mpango mzima...
  3. JamiiForums Tanzania Mahakama yetu iweke mfumo mzuri wa Tele court, hearing katika kesi ya lissu

    Hii itasaidia watu wengi kufuatilia shauri hili na mpaka hatima yake, wengi hatuna muda wa kupoteza kuja kulisikiliza kisutu hivyo ingependeza Huku tukiendelea na shughuli zetu taratibu tunapata mwendelezo kwa kupitia sumatifoni zetu. -Lissu ajipange na Wana sheria wake 30, -Serekali ijipange na...
  4. JamiiForums Tanzania Updates kesi ya uhaini Part1

    Sasa tunaingia kwenye kesi ya pili ya Uhaini Hakimu anaingia ile sauti ya askari courtttttttttt inasikika Watu wote wanasimama, Hakimu anaketi then kila mtu anaketi. Anasimama Karani wa Mahakama anasoma kesi namba PI no. 8607/2025 Rvs Tundu Lissu Hakimu wa kesi hii anaitwa Mh. Kiswaga...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Huyu Matha Karua anajihusisha kwenye kesi za Tanzania kama nani haswa?!

    Huyu Bibi wa kenya Martha Karuq mbona anataka kutupanda kichwani?! Anapata wapi ujasiri wa kujihusisha na kesi za uhani nchini Tanzania? Tafadhali mamlaka zetu zisipuuzie hili jambo
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri: kama mawakili wa Lissu wakiendelea na usumbufu, mahakama itoe uamuzi wa hoj zao, DPP apeleke notice of appeal mahakama kuu kesi isimame

    Mahakama itoe uamuzi wa hoja za mawakili wa Lissu, halacu DPP akate rufaa kama ilivyokuwa kwenye kesi ya Dk. Slaa. Huku uhaini unasubiri upelelezi, huku t unasubiri rufaa
  7. JamiiForums Tanzania Yanayojiri Mahakamani Kesi ya Uhaini na Uchochezi ya Mwenyekiti wa CHADEMA mh Lissu

    Nitakupa Update zote Kutoka Viunga vya mahakama Hapa Kisutu Kaa Karibu na Uzi huu... -------------------------------- Kesi imeanza kusikilizwa Mbele ya Mh. Hakimu Mhini Mawakili wa utetezi wamefika lakini waserikali na mtuhumiwa watakuwa kwa njia ya mtandao. Muda huu anaonekana kwenye screen...
  8. JamiiForums Tanzania Ni Nani amewahi kushinda kesi baada ya kupelekwa kamati ya maadili haki na Madaraka ya bunge?

    Toka hii kamati imeanzishwa imekua kama ya kulisafisha bunge na upande wa Serikali tu. Wameshawai kupelekwa wengi mpaka Pasco, Luhaga na wengineo chungu mzima lkn wote imeonekana Wana makosa hata katika kesi ambazo ni wazi kabisa bunge limekosea. Hivyo basi sijashangaa kuona mbunge Mrisho Gambo...
  9. JamiiForums Tanzania Kwani kesi ya Lissu haiwezi kurushwa na vyombo vya habari?

    Sheria inasemaje? Kesi kurushwa live... Mahakama haiwezi kuingiza mamia ya watu ila wakii-stream kesi hata tulioko vijijini tunaangalia. Sijui sheria inasemaje? Au vyombo vya habari havijawahi kuona umuhimu wa kurusha kesi! Au sheria inaruhusu wanahabari wanahofia kuwa blackmailed na dola...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Dollar inapanda kwa kesi 2705 /= . Inflation inapanda kwa kasi . In short tumeisha

    I will be short I work with dollars , Tanzania shillings Ina kuwa na high inflation . This means pesa yetu itakuwa worthless hii trend ikizidi . Mama yetu tunajua Uwezo wake . Serikali yetu tunaijua ilivyo sasa , worthless Kama una lipwa kwa Tanzania shillings jipange sana . Unaweza...
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chalamila awaonya wanaopanga 'kukinukisha' kwenye kesi ya Lissu, tarehe 24

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amewaonya wale wote wanaojianga 'kukinukisha' tarehe 24/04/2025 siku ambayo Lissu atapelekwa mahakamani. Chalamila ametoa rai hiyo pia kwa watu ambao wameshaanza kufika mkoani Dar es salaam kwa ajili ya kesi hiyo kuwa moto wa kisheria utashuka kwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kwenda kusikiliza kesi ya Lissu, 24.04.2025

    Napendekeza utaratibu/mpangilio ufuatao. 1. Watatangulia Maaskofu, Masheikh, Maimamu, Wachungaji, Mapadre, Manabii, Mitume na viongozi wengine wa Dini. 2. Watafuata Mabalozi wa Nchi mbalimbali, Wakuu wa Taasisi/Mashirika ya kimataifa na kikanda. 3. Waumini wa Dini zote na Watanzania wote kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu ichukuliwe kwa uzito wake, akitiwa hatiani kwa makosa ya uhaini itakuwa mwisho wake kisiasa.

    Kesi ya Tundu Lissu inaweza kuwa ni mwisho wake kisiasa, kwanza kesi yenyewe inaweza kuendeshwa kwa muda mrefu sana akashindwa kabisa kushiriki siasa tena. Mwisho wa kesi anaweza kuhukumiwa kifungo cha maisha jela au kunyongwa kisha akaachwa akae gerezani kwa miaka kadhaa na baadaye...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA waijibu Polisi kuzuia wananchi kukusanyika Mahakamani siku ya kesi ya Lissu, wasema ni kudhoofisha Demokrasia

    Wakuu,
  15. JamiiForums Tanzania 'Nyaraka yenye utata' yaibuka Mahakamani wakati shahidi akitoa ushahidi katika Kesi ya Mwalimu kutuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake

    Shahidi wa tatu upande wa Jamhuri katika Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39), Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi (11) ametoa ushahidi Aprili 15, 2025. Katika ushahidi huo ambao ulitumia takribani saa tano...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche awataka wananchi kuunga mkono msimamo wa 'No Reforms No Election'

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amewataka wananchi kuendelea kuwaunga mkono katika kuhakikisha yanafanyika mabadiliko ya sheria za uchaguzi, ili kufanya siasa safi na kushiriki uchaguzi ambao watapatikana viongozi bora na watakaoleta mabadiliko kwa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Zaidi ya Mawakili Wasomi 800 wanatarajiwa kushiriki Kesi ya Tundu Lissu hapo Tar 24 Aprili 2025.

    Tetesi zimevuja kwamba hii kesi ni ya aina yake. Duniani kote kesi kama hii huwa inaleta gumzo na kuvuta Attention ya Watu wengi ndani na nje ya Nchi. Imesanuka kwamba takribani Mawakili wasomi zaidi ya 800 watashiriki ktk kutetea kesi ya Tundu Lissu hapo April 24, 2025. Angalizo: Mawakili...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Balile: Tukimsikiliza Dkt. Nchimbi, kesi ya Lissu itafutwa

    Kama una muda wa kutsha soma alichokiandika.......uchawa mtupu but worthy of reading! Ona anavyonjudge Lisu ka dhihaka! Extract from the story: Niseme mapema kuwa hata siku nilipofanya mahojiano na Lissu pale ofisi za CHADEMA Dar es Salaam, nilimpa tahadhari juu ya “kamdomo”. Hakunisikiliza...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Ukimya balonzi za nje zilizopo hapa nchini na kutokulaani tukio la kukamatwa Tundu Lissu na kufunguliwa kesi ya uhaini.

    Tumezoea kuona hizi balozi za nje mfano Marekani, EU n.k zilizopo hapa nchini zikitoa matamko ya kulaani pale zinapoona kuna uminyaji wa demokrasia nchini, lakini hawamu hii tangia kukamatwa mwenyeketi wa CHADEMA taifa Tundu Lissu na kuwekwa kolokoloni ni kimya kimetawala hamna ubalozi uliotoa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu ana kesi ya kujibu. Kila aliyemsikiliza analiona kosa

    Nimewahoji watu zaidi ya mia moja, ambao ni kutoka vyama mbali mbali wakiwemo CHADEMA na hata wasiokuwa na vyama, kwa kweli wengi waliomsikiliza wamesema waliliona kosa la uhaini mwanzo tu ndani ya hotuba yake. Wengine walifika kusema Lissu hakumungunya maneno wala kupiga mafumbo ,aliweka kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…