Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.
Mwanasiasa wa chama cha Republican nchini Marekani, Solomon Pena, ambaye alishindwa kwenye uchaguzi wa jimbo la New Mexico mwaka 2022, amehukumiwa kifungo cha miaka 80 jela kwa kuandaa mashambulizi ya risasi kwenye nyumba za maofisa wa chama cha Democratic. Mashambulizi hayo yalifanyika katika...
Wakazi wa familia zaidi ya 700 wa Udindivu, Mtaa wa Kizimkazi, wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani, wamefungua kesi ya madai katika Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo wakidai kubomolewa nyumba zao bila kufuata taratibu za kisheria.
Wananchi hao wanasema hatua hiyo imewaacha bila makazi, huku baadhi...
Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, ametaka kesi ya Tundu Lissu isiendelee kuonyeshwa moja kwa moja kupitia Vyombo vya Habari ili kulinda mashahidi kwani ushahidi wao unaweza kupelekea utambuzi wao.
"Mahakama Kuu, kwa busara zake na kutaka kuona kwamba hawa mashahidi raia hawapati vitisho...
Wakuu,
Naomba kufahamishwa kwa nini hawa maaskari wamevaa kininja namna hii? Hapa ni kwenye kesi ya Lissu leo
Changamoto ni nini? Kwanini hawataki kuonekana?
Pengine mimi sijui mambo mengi kwa anayefahamu naomba anijuze.
Mke wa aliyekua Rais wa Korea Kusini, Kim Keon Hee, alifika mahakamani kusikiliza kesi inayomkabili kilichodumu saa tano, lakini hakimu hajatoa uamuzi kuhusu ombi la waendesha mashtaka la kutaka kibali cha kumkamata kwa tuhuma za ufisadi
Anakabiliwa na mashtaka yanayoweza kumfunga miaka kadhaa...
BBC News, Swahili
Ruka hadi maelezo
Yaliyomo
HabariMichezoMakalaAfyaBurudaniVideoVipindi vya Redio
Moja kwa moja,
Israel yaua mwanahabari mashuhuri wa Al Jazeera na wenzake 4 katika shambulio lililoelekezwa Gaza
Shirika hilo la habari lashutumu vikali ''ushambulizi dhidi ya uhuru wa vyombi vya...
Nimepitia vyombo karibia viwili vya habari vilivyoripoti hukumu ya Mahakama ya Rufaa katika kesi inayomuhusu Mwana FA na AY dhidi ya kampuni ya TIGO.
Kwa jinsi maamuzi hayo yalivyoripotiwa ni kuwa Mwana FA na AY wameshinda kesi hiyo. Ukisoma vizuri mtiririko wa kesi zenyewe, utagundua uamuzi...
Kwa niaba ya walalahoi wenzangu jumla ya kaya 600 tunaomba serikali kubadikisha msimamo na kutuachia ardhi. serikali kupiti kilimo uyole inataka kutunyang'anya kipande cha ardhi cha heka 67 kwa ajili shamba la kilimo uyole. Ni ardhi yetu ya asili, tuliiendeleza kwa miaka mingi na kwa maelekezo...
Uadilifu wa NECTA toka alipoondolewa Professor Joyce Ndalichako umepotea kabisa
Tiss na TAKUKURU pigeni kambi hapo mtupe majibu kwanini hii taasisi inahujumu elimu
Kwasasa wizi na udanganyifu katika mitihani ya Taifa ni kawaida
Kuna tetesi shule binafsi huwa wanapewa paper kabla ya miezi 6...
Mahakama Kuu haikua sahihi kutengua uamuzi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala uliowapa ushindi wasanii wa muziki Hamisi Mwinyijuma maarufu Mwana FA na mwenzake Ambwene Yesaya au AY dhidi ya kampuni ya simu ya MIC Tanzania Public Limited Company, sasa Honora Tanzania Public Limited Company.
Hii ni...
Habari za jioni wakuu na ndugu zangu JF.
Ni matumaini yangu tunaendelea vyema kila mtu kwa kiasi chake, maana changamoto hazijawahi kuisha.
UTANGULIZI
Kwa mara ya mwisho (naamini hivyo), nimerudi katika kutimiza ahadi yangu ya kuleta mrejesho juu ya suala langu ambalo lilishia katika uzi huu...
Singida. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu Askofu Maximilian Machumu Kadutu maarufu Mwanamapinduzi amekutwa na kesi ya kujibu katika kesi ya uchochezi inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Singida mkoani Singida.
Hatua hiyo...
Ndugu zangu kama hapa duniani kuna dhambi inayoumiza watu kama kunyanyasa, kumwonea au uwongo.
Nasema hivi nikiwa na maana sisi tunamfahamu mwenzetu LISSU anapewa kesi ambayo sisi tunajua ni uwongo kabisa.
Wanasheria wafungue Kesi mahakama za kimataifa kuishitaki Mahakama za Tanzania
Mimi sio...
Wakuu habari za muda huu?
Naandika hapa nikiwa nimefura kupitiliza. Imetosha sasa, hii serikali inabidi ifike mahali iheshimu raia.
Haiwezekani watu wawe wanajizimia zimia tu mitandao wanapojisikia.
Watu tumejiajiri huko YouTube, na leo jioni hii nilikuwa na darasa (huwa natrain watu mbali...
Tuachilie Mbali Hukumu itakayotolewa ambayo huenda Ikatolewa Kwa Maelekezo!!
Hili tu la Jopo la Majaji Watatu kuona Mch Dkt Malisa ana Hoja, Je halitoshi Kwa nyie Majaji wasajili wa VYAMA vya SIASA kuishurutisha CCM kama ambavyo mnafanya Kwa CHADEMA??.
NYIE WAZEE HAMNA AIBU WALA HAYA USONI...
Ni wazi kesi dhidi ya wapinza zinatengenezwa na serikali kwa kushirikiana na wapinzani husika i.e:Lissu kwa maslahi ya viongozi wa serikali au chama tawala na viongozi wa upinzani ambao ni sehemu ya ccm.
Nakuhakikishia kesi hizo ni za kutungwa na viongozi wa upinzani wako kazini kwa masilahi ya...
Ni agizo alilolitoa mapema mwaka huu baada ya kuapishwa kuwa watuhumiwa wa makosa ya jinai mahakama za mwanzo waww wanajidhamini wenyewe
Tatizo limekuja kuwa gumu baada ya wanaojidhamini mahakamani kutorudi tena na kutokomea kusikojulikana.
Ingawa alielekeza kuwa kesi ziendelee upande mmoja...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeiomba Jumuiya ya Kimataifa taasisi za haki za binadamu, ofisi za kidiplomasia, na mabunge ya kidemokrasia hasa Bunge la Marekani na mabunge ya washirika kuliangalia kwa dharura suala la mashahidi kufichwa katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa...
Wakuu
Nadhani kama wanachi tunatakiwa kujitafakari sana. Kwenye hii barua ni kama CHADEMA wamekata tamaa kwenye kuwategemea wananchi.
Mwishoni huku wamesema wanaomba Bunge la Marekani na Jumuiya za Kimataifa kuangalia kwa ukaribu what is going on kuhusu kesi ya Tundu Lissu.
Yaani ni kama...
Nashauri serikali ikate rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu uliosema kwamba baadhi tu ya mashahidi ambao ni raia, utambulisho wao ufichwe, ila wengine utambulisho wao uwekwe wazi.
Hivi kama wafuasi wa Lissu wanatishia kuua au kudhuru mashahidi, hao mashahidi wasio raia hawawezi kuuliwa au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.