kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waiangukia Jumuiya ya kimataifa wakipinga mashahidi kufichwa katika kesi ya uhaini ya Lissu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeiomba Jumuiya ya Kimataifa taasisi za haki za binadamu, ofisi za kidiplomasia, na mabunge ya kidemokrasia hasa Bunge la Marekani na mabunge ya washirika kuliangalia kwa dharura suala la mashahidi kufichwa katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa...
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mmesoma hii barua ya CHADEMA kuomba msaada kutoka kwenye Bunge La Marekani kuhusu kesi ya Lissu? Wananchi mko wapi?

    Wakuu Nadhani kama wanachi tunatakiwa kujitafakari sana. Kwenye hii barua ni kama CHADEMA wamekata tamaa kwenye kuwategemea wananchi. Mwishoni huku wamesema wanaomba Bunge la Marekani na Jumuiya za Kimataifa kuangalia kwa ukaribu what is going on kuhusu kesi ya Tundu Lissu. Yaani ni kama...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Serikali ikate rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu ulioagiza baadhi ya mashahidi utambulisho wao usifichwe, Kesi ya Kisutu isimame kwanza

    Nashauri serikali ikate rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu uliosema kwamba baadhi tu ya mashahidi ambao ni raia, utambulisho wao ufichwe, ila wengine utambulisho wao uwekwe wazi. Hivi kama wafuasi wa Lissu wanatishia kuua au kudhuru mashahidi, hao mashahidi wasio raia hawawezi kuuliwa au...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Hatimaye kesi yangu na NMB Bank yapata ufumbuzi

    Wadau, nawashukuru kwa maoni yenu. Niliyafanyia kazi, na jana fedha zangu 1mil + zilirudiswa kwenye a/c yangu ikiwa ni siku ya 15 tangu tatizo lilipotokea. Kuna Mdau alishauri nichukue namba ya Bank officer atakayesikiliza kesi yangu then niwe nawasiliana naye hadi ufumbuzi utakapo patikana...
  5. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Dr Malisa Vs CCM isikilizwe kwa njia ya mtandao pia

    Nashauri kesi hii kubwa nayo isikilizwe kwa njia ya mtandao. Pia ikibidi CCM isitishiwe ruzuku na izuiwe kufanya shughuli zake hadi kesi ya msingi iishe ili Mgombea anayelalamikiwa asije akavuruga ushahidi
  6. Same_Return_1878

    JamiiForums Tanzania Nichukue hatua gani kwa mtu tuliyeandikishana serikalini mkataba wa fidia kwa uharibifu wa mali zangu?

    Habari wana jamii. Ningeomba kupata muongozo juu ya hili suala. Mnamo miezi kadhaa nyuma nilifanyiwa vurugu na mtu mmoja nyumbani kwangu na kusababisha uharibifu mkubwa wa mali zangu. Nilimripoti polisi na alikamatwa. Polisi walisema ninaweza kufungua kesi ya jinai au kufungua kesi ya madai...
  7. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kwa michezo ya hawa mawakili wa serikali, sio ajabu Tanzania inashindwa kesi za kimataifa mara kwa mara.

    Wako kisiasa zaidi huku wakicheza na mfumo bila ya kua professional. Kwa mtindo huu, wakienda kwenye chemba za kimataifa ambako watu wako serious na hawapendi kupoteza muda basi hawawezi kutoboa kamwe. Kama lengo lilikua ni kumpotezea lisu muda, ni bora wangetumia njia nyingine ila si hii...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Leo ilibaki kidogo Hakimu aifute kesi ya Lissu, ila ghafla akapata hofu

    Leo wakati nafuatilia kesi ya uhaini dhidi ya Lissu, kutokana na hoja nzito za kisheria alizokuja nazo Lissu , ilifanya hoja za upande wa Jamhuri ukiongozwa na Bwn. Katuga, kuonekana hazina mashiko kabisa, hali hii ilimfanya hakimu aone kabisa kesi hii inafaa kufutiliwa mbali Leo hii, ila ghafla...
  9. bob_fundi

    JamiiForums Tanzania Kwanini ahirisho la kesi ya Tundu Lissu linachukua siku 14 mara zote?

    Habari wanaJF, Naomba kuelewa hapo kwanini kesi ya Lissu inachukua wiki mbili mpaka kusikilizwa tena. Pili naomba kujua yule anayekaa chini ya hakimu ni nani Na kazi yake ni ipi Naomba anay jua hayo mambo anipe msaada na mimi nielewe tu .
  10. F

    JamiiForums Tanzania Yumkini kesi hii ni kati ya Lissu na Rais Samia

    Mbona kesi hii inaendelea kupigwa tarehe tu kila siku bila kikomo? Mbona Mahakama haitaki kuipeleka kesi hii panapohusika haswa, yaani Mahakama Kuu? Kwanini Mahakama Kuu inakuwa na kigugumizi na kushindwa kutoa uamuzi mara moja hadi mtuhumiwa mwenyewe anaomba kesi iende mbele kwenye Mahakama...
  11. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Lissu kuwa mjanja husifungie kesi kupinga mashaidi wa siri, na wakitoa ushaidi usiwaoji(cross examination) waache waende tujue mwisho wao

    Nchi yangu imeharibika sana, Kinachoendelea Tanzania ni uchafu mtupu, kinachoniogopesha -viongozi Hawana Tena hofu ya Mungu, yaani mijamaa mikatiri sana. Lissu be smart, husifungue kesi kupinga kanuni za kulinda mashahidi, waache walete mashahidi wa Siri, wakimaliza kubwabwaja husiwaulize...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mdau, ulitatua vipi kesi yako na NMB Bank?

    Nina kesi na Bank ya Nmb yapata wiki sasa. Eti wadau, huwa mnatatua vipi kesi zenu na hii Bank? Kesi hiko hivi, Nilifanya muamala kutoka Nmb Mkononi kwenda prepaid card, 1mil + jpili iliyopita. Mpaka leo, ni siku saba sasa, lakini muamala huo bado haujatimia, wala fedha hazijarejeshwa...
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume wa miaka 23 ahukumiwa kifungo cha miaka 30 kwa kumbaka mwanafunzi County ya Lamu

    Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 23, Lukman Ismail Athman maarufu kama Jelal, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na Mahakama ya Lamu kwa kosa la kumbaka mara kadhaa mwanafunzi wa Darasa la Tisa kati ya Novemba 14 na 24, 2024 katika eneo la Paradise, Langoni. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Trump ya uhaini dhidi ya Obama itawapa nguvu zaidi madikteta wa Africa

    Tawala zisizo za kidemokrasia za Africa huwa zinapenda zaidi kuchukua mifano mibaya na makosa ya magharibi kuhalalisha maovu yao na ukandamizaji wanaowafanyia wapinzani na wakosaoji wao, ikiwa msukumo wa Trump na serikali yake pamoja uhanikizaji wa MAGA utafanikiwa kuwapa shinikizo waendesha...
  15. Mbepo yamba

    JamiiForums Tanzania Ulinzi mkali Dar. Ni kama na leo kuna kesi ya Lissu. Kinachojiri ni nini

    Kuanzia Mwenge, Ubungo na hadi kwenda mjini. Polisi wamejaa na gari zao. Kama wako tayari. Tayari kwa nini? Chadema wana mkutano au maandamano?
  16. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Polepole amefanya uhalifu wa kiutumishi na kimaadili kwahiyo hatakiwi kujibiwa kwenye vyombo vya habari huyu ni mhalifu, afunguliwa kesi mahakama kuu

    Husika na mada tajwa hapo juu: Tukio alilolifanya Polepole ni ukosefu wa hekima na busara, ni uvunjivu wa Maadili ya mtumishi wa umma, ni kusaliti kiapo chake, ni uongo ni upotoshaji kwahyo yafaa afunguliwe kesi. Huwezi ukasema kwasababu uliteuliwa hadharani basi na barua yako ya kujihudhuru...
  17. Zed

    JamiiForums Tanzania Je DPP anataaka kutumia AI kwenye kesi ya TUNDU LISSU?

    Katika dunia ya AI Artficial Intelligence(Akili Umbe) Mambo mengi yanafanywa na AI ikiwa hata majibizano. Kuficha sura, sauti na utambulisho wa mashahidi katika kesi zinazomkabili Lissu kuna hatari ya kutumia artificial intelligence au mamluki wengine. Korti ya karne AI ikatae kuficha...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kesi ya Lissu inahairishwa kwa wiki mbili mbili tu?

    Kwa nini hii kesi ya Lissu kila ikihairishwa inakuwa muda wa baada ya wiki mbili na sio wiki moja, wiki tatu, mwezi, siku 3 n.k?
  19. Knock life

    JamiiForums Tanzania Nahisi hakimu wa kesi ya Lissu ni Layman katika sheria hana anachoelewa je kwanini Lissu asimkatae maana hajui anachofanya.

    This guy is layman kwanini Chadema hawalioni hili swala.?
  20. S

    JamiiForums Tanzania Jambo nina uhakika nalo ni kwamba kuna team imeundwa iko busy kutafuta namna ya kumchafua Polepole, usishangae ukisikia kaiba fedha za ubalozi Cuba!

    Hawa CCM na serikali yao siku hizi wamekuwa predictable sana. Baada ya hii barua ya Polepole ya kujiuzulu na kuukosoa uongozi wa Raisi Samia hadharani, utakuta kuna team maalum imewekwa kutafuta namna ya kumchafua. Sasa hivi utaona statements zikianza kutolewa kuhusu maovu aliyofanya...
Back
Top Bottom