kesi ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Uonevu dhidi ya Lissu: Watanzania hatuwezi kuendelea kuitwa taifa lenye akili halafu tukanyamazie ujinga wa mamlaka

    Wana JF heshima mbele! Kwa anayefuatilia kesi ya Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu kwa umakini na kwa kutumia misingi sahihi ya taaluma ya sheria, bila ushabiki wa kisiasa, ataona wazi kuwa hii si kesi ya jinai, bali ni maigizo ya kisheria yaliyopangwa na watu wasiolitakia mema taifa hili. Sheria...
  2. JamiiForums Tanzania Taswira iliyoonekana kwa wote waliokuwepo leo mahakamani wakati Lissu akiongea inatoa tasfiri nzito mnoo

    Leo Lissu alisimama mahakamani kuanza kujitetea, na tukio hilo lilikuwa likirushwa live kupitia mitandao. Mbali ya watu kufuatilia kile kilichokuwa kikisemwa na Lissu pia wengine tulikuwa busy kuangalia taswira (body language) ya watu wote waliokuwepo mahakamani, na hichi ndicho...
  3. JamiiForums Tanzania Kosa kubwa walililofanya CHADEMA kwenye kesi ya Lissu

    CHADEMA chama kikuu cha upinzani kimefail kujua dhamira kuu ya watu waliomweka Lissu ndani. Lengo si kumnyonga kama ilivyo ada hukumu ya uhaini nchini. Lengo ni kumpunguza speed huku mhasimu wake akipewa point 2 kipindi hichi cha mshikemshike na miezi 2 ya mwisho kabla ya uchaguzi apewe point 1...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mfanyie mtu vyote sio kumzuia Kusali Kwa anayofanyiwa Lissu, ni zaidi ya kuvunja Katiba

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewekwa Haki kwa Watanzania wote kuwa na uhuru wa kuabudu na kufanya Ibada. Tanzania pamoja na kutokuwa na dini ila Wananchi wake wamepewa Haki ya kuabudu na kufanya Ibada na Sheria Kuu ya Nchi ambayo ni Katiba. Sio hivyo ili kuweka msisitizo wa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Nimewekwa gerezani upande wa waliohukumiwa kifo kwa kunyongwa

    Akiongea mahakamani leo Tundu Lissu ameeleza kuwa licha ya kuwa hajahukumiwa lakini anakaa upande wa watu waliohukumiwa kifo katika gereza la ukonga. "Gereza la Ukonga lina sehemu mbili, kuna sehemu amabayo wafungwa wote waiohukumia miaka 30, mahabusu...... wanatakiwa wakae. Halafu kuna eneo...
  6. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya Uhaini ya Lissu yaahirishwa hadi Julai 01, 2025

    https://www.youtube.com/live/oU5eT7Dimu0?si=BYYHRNCBHOz_0_ye Siku hazikawii kufika, usikilizwaji kesi ya Lissu huo umewadia. Kama mnakumbuka wakayi uliopita upande wa mashtaka walisema wanahitaji muda zaidi kukamilisha upelelezi na wakaambiwa tarehe itakayopangwa kutakuwa hakuna nafasi ya hiki...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Lissu asipelekwe Mahakamani na badala yake kesi iendeshwe kwa Njia ya mtandao

    Ndugu zangu Watanzania, Nilikuwa naona mahakama ingefanya na kutoa maamuzi ya kuendesha kesi ya lissu kwa njia ya mtandao. Hii ni kutokana na sababu mbalimbali za msingi. Kwanza imeonyesha Wafuasi wa CHADEMA wamekuwa wakitaka kuhudhuria mahakamani kusikiliza kesi ya kiongozi wao. Wakati huohuo...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Mlawi: Kesi ya Lissu ziharakishwe kabla ya Uchaguzi

    Askofu Mkuu wa Makanisa ya SPCT na Rais wa Umoja wa Maaskofu, Wachungaji, Mitume na Manabii na Madhehebu ya Kikristo Tanzania, Askofu Mussa Mlawi, amevitaka vyombo vya utoaji haki nchini kuharakisha usikilizwaji wa kesi zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, na kuhakikisha suala hilo...
  9. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche alaani kitendo cha polisi kushambulia raia mahakamani. Aliyeonekana akishambuliwa kwenye video afunguka

    https://www.youtube.com/watch?v=6Z3BEm0TZp0 Freddy Chacha Akieleza kilichowatokea baada ya kukamatwa na kupelekwa Mkuranga waliambiwa wanywe maji yaliyokuwa na sumu kwa sababu wameshindwa kumuheshimu mama aliyewaletea maji safi. Amesema pia ana ushahidi wa video jinsi walivyochkuliwa na polisi...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa hii hali iliyop, kesi ya Lissu irudishe online tu; Lissu kwa sasa ni red line, hivo inafaa kupewa ulinzi mkali sana

    Serikali (simaanishi CCM) labda walikuwa wapo sahihi kuweka hii kesi online, ili kumuhakikishia usalama Tundu Lissu, kwasababu kwa sasa ni 'red line' - kiongozi mwenye ushawishi kwa watanzania kuliko yeyote; hivo endapo kikitokea chochote cha kumdhuru, itaweza kuleta shida kubwa sana, kuanzia...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Muliro: Walichosema Mwangi na Atuhaire ni maoni yao

    Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam Jumanne Muliro amejibu madai ya wanaharakati wawili kutoka Uganda, Agather Atuhaire (Uganda na Boniface Mwangi (Kenya) kuwa waliteswa walipokuwa Tanzania, akisema hayo ni maoni yao na kama wana malalamiko waende kushitaki kwenye mamlaka husika...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna mada hapa nilileta kuhusu nyumba za ibada msishangae kuona maaskari wakiwepo sasa kama wanavyofanya mahakamani kesi ya Lissu

    Kwa haya yanaondelea hakuna mskitini wala kanisani mkasema kutakuwa na usalama na sehemu ambazo zitakuwa zinawindwa na kuwekewa maaskari ni zile nyumba za ibada ambazo zinaeleza mwenendo wa nchi swala utekaji na uwongozi usiopenda wananchi. Tarajieni kuona mabunduki na silaha nzito pamoja na...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Wameshindwa kumtia Tundu Lissu hatiani kwa Uhaini. Sasa wanamtafuta kwa kosa la kudharau mahakama

    Upande wa mashtaka hauna ushahidi wa kumtia hatiani Tundu Lissu katika kesi ya uhaini, au ile nyingine. Sasa wameamua kumtafutia mashtaka mengine marahisi ili angalau waweze kumfunga. Ndio maana ukaona leo wamefanya makusudi kumuingiza Lissu mahakamani wakati Hakimu anaitisha kuanza kwa kikao...
  14. JamiiForums Tanzania Lissu Anapokuwa Mwanasheria Anayedharau Sheria, Wingi wa Mawakili Hautamsaidia

    Johnson Mgwabati Mtaalaam mmoja wa sheria Albert Venn Dicey aliwahi kutafsiri dhana ya Utawala wa Sheria (Rule of Law) kuwa ni “kufuata sheria kama zilivyo.” Lakini bingwa mwingine wa masuala ya uendeshaji wa makosa ya jinai, utetezi na ushahidi, Prof Abdallah Safari, anasema katika andiko...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Kwanini barua ya kufungiwa Kanisa la Gwajima itolewa siku ambayo Lissu ahafikishwa mahakamani?

    Tujiulieze ni kwanini barua inayodaiwa kuwa ni ya kulifunga kanisa la Gwajima itokewa siku ambayo Lissu anafikishwa mahakamani? Majibu: Hii ni dalili kesi ya Lissu haiwezi kudumu muda mrefu. Ni wazi watawala hawapendi mjadala kuhusu hii kesi na hivyo ni swala la muda tu kabla hii kesi haijafutwa.
  16. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu Inaonesha Jinsi Viongozi Hili Bara Wanavyokosa Maono ya Bara la aina Gani Wapo Tayari Kuwaachia Watoto Wao (Viongozi wa Baadae)

    Tatizo Halisi la Afrika: Si Ukosefu wa Rasilimali, Bali Ni Ukosefu wa Maadili Miongoni mwa Viongozi Je, tatizo la Afrika ni la kiuchumi, kiutamaduni au kisiasa? Je, ni ukosefu wa vipaji au rasilimali? Au ni bahati mbaya ya kihistoria? Maswali haya yanaulizwa kila mara, lakini jibu halisi...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu inahitaji huruma ya Rais Samia tu, sio lundo la wanasheria watetezi

    Leo hii nimejaribu kufuatilia kesi hii nimegundua uelewa wa wanasheria wa utetezi umepwaya sana lkn kongole kwa upande wa Jamhuri Siwezi eleza wapi wamepwaya lkn bila huruma ya SSH kama mama naona jamaa IDU na uenyekiti wake atastaafia akiwa gerezani Tukutane 16/06,hivi hao wanasheria ndio...
  18. JamiiForums Tanzania Utazamaji kesi ya Lissu vs Bunge.

    habari, mnaruhusiwa kucheka kwa nini wananchi mnalipuuzia kuangalia bunge lenu mnaniachia mimi peke yangu na makarani wa bunge pekee(hawazidi 10)? hii haikubaliki 😂 Watanzania tunatakiwa kuliangalia bunge letu namba za views zipande pale mjini YouTube. haiwezekani kesi ya Lissu izidi Bunge...
  19. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video ya kesi ya Lissu Mahakama ya Kisutu May 19, 2025 ilifutwa, huenda watafuta na ya leo pia. Kwanini tunyimwe taarifa?

    ILe kesi ilivyoisha tu tarehe 19, May ilifutwa!l na wote waliokuwa wanarusha pia iliondolewa. Nadhani kimemo kilipita kikiwataka wote waondoe. Kwa waliobakisha kama Global ilikuwa ni ile video ya nje pekee lakini ndani ya chumba cha mahakama iliondolewa. Nilitaka kuweka uzi lakini waliirudisha...
  20. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Watazamaji Elfu 14 Channel ya Mahakama YouTube, Watazamaji Elfu 18 Millard Ayo YouTube. Hili ni balaa

    Tundu Lissu ni mashine nyingine hadi sasaivi tu kuna Watazamaji Elfu 32 kwenye Channell 2 tu za YouTube.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…