Mimi ni mzalendo na mwana CCM kindakindaki nashauri mamlaka iwapo kesi hii haina uzito wa ushahidi wa serikali kushinda kesi hii basi
Tundu Lissu aachiwe tuendelee na mambo mengine, itamjenga kisiasa mama. Lakini pia aingilie kati maboresho yanayoweza kufanyika kikanuni yafanyike na mwisho...
Mahakama imekataa kuwa kwenye muonekano wa wajinga.
Sasa tujiulize waziri wa sheria, waziri wa mambo ya ndani, mkuu wa mkoa na Polisi wananchi watawaelewaje.
Sasa Chadema na wananchi wakienda hapohapo mahakamani kwa amani mtawaambia sababu ya wale walio umizwa ilikuwa nini hasa? Serikali...
Wadau, 2023 rais Samia aliunda tume ya kuchunguza mfumo wa utoaji haki....Haki Jinai, kuangalia namna polisi, Takukuru, kitengo cha madawa ya kulevya, magereza na ofisi ya mwendesha mashtaka zinavyofanya kazi zao.
Tume ilianzishwa kutokana na malalamiko ya wananchi ya kila siku kuhusu idara hizo...
Baada ya Katiba kubakwa vibaya sana na Mhimili wa Serikali na Vyombo vyake ni TLS waliojitokeza kuikumbusha Mahakama na Vyombo vya Kikatiba kusimama kwenye nafasi zao bila kuogopa.
Hatimaye Umuhimu wa TLS umeonekana Nchini. Hatimaye akili za Wazee wa zamani walioweka kifungu cha 4 cha Sheria ya...
Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo, Jumanne Mei 06.2025 kesi mbili (2) zinazomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu zinaendelea kwa njia ya mtandao Mahakamani hapo
Mmoja wa Mawakili wa utetezi Wakili Jebra Kambole...
Wakuu,
Huu ni muendelezo ya kilichojiri mahakamani, naona bunge la EU limetisha watu mpaka wamebadilisha gia, sasa kesi itasikilizwa katika mahakama ya wazi na wanachi wataruhusiwa kusikiliza kesi hiyo.
====
Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo, Jumanne Mei 06.2025 Mahakama ilikuwa...
Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu inasikilizwa leo Mei 6, 2025 na itakuwa kwa njia ya mtandao.
===
UPDATE
Link imekatwa na hivyo haitakuwa rahisi kufuatilia
Hii ndio Taarifa mpya niliyopenyezewa kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika, Ni kwamba imepangwa Mabalozi wote wa Jumuiya ya Ulaya wahudhurie Kesi ya Tundu Lissu Mahakamani
Bado haijafahamika lengo hasa la Mabalozi hao kumwagika kwa Wingi Mahakamani hapo, Japo Wadadisi wanahusisha Mambo ya...
Ustadh Mazinge anasema amesikia kuna mtu anaiamrisha serikali kwamba imto mtu ambaye yupo katika kesi. Amesema mbona wao wamewahi kukaa jela na habari kama hizo hawakuzisikia
"Unaposema wewe unaamrisha kwamba yule atoke mara moja nu utovu wa nidhamu, utovu wa adabu. Huwezi kumuamrisha mkuu wa...
Leo May 3, 2025, Tundu Lissu ametuma barua ya wazi kwa watanzania akiwa kolokoloni gereza la ukonga.
Barua hii imechapishwa na Maria Sarungi kupitia mtandao wa X kama ifuatavyo,
Barua rasmi ya Lissu kwetu sote! Alituma kwa Kiingereza neno kwa neno kupitia mtu aliyenifikishia na nimeweka hapa...
Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu, Jaji Joseph Warioba akitoa maoni katika kongamano la kitaifa kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025 lililoandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), amesema kwamba hatua ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani, Innocent...
Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025.
https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0
Jaji Warioba
- 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
bashungwa
kesikesiyalissu
kitaifa
kongamano
kubwa
kuhusu
kujadili
lissu
mahakama
mambo
mambo ya
mambo ya ndani
mkuu
mwabukusi
mwaka
mwaka 2025
mzee
mzee warioba
ndani
rais
rais wa tls
serikali
tanzania
tls
uchaguzi
uchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2025
waziri
TEF yaonya waandishi wa habari kesi ya Lissu
02 May 2025
Picha: Mpigapicha Wetu
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akizungumza na waandishi wa habari.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amewaasa waandishi wa habari kuwa makini...
Wakuu,
Yaani serikali, CCM mpaka mama mnaishangaza dunia, na kufanya hata tusiamini kwa huu ujinga na upuuzi mnatenda.
Mama hadi alikenua Sheikh wa BAKWATA kumuombea ampe tulizo la moyo kwa kumpa mitano tena, hapo Sheikh alikuwa malaika, hana baya, ila ukiambiwa kweli ndio ukunje ndita?
Vipi...
Kila siku huwa nasema, Viongozi vilaza tunaopatiwa na CCM na mifumo yake ndio wanaolighalimu hili Taifa na hadi sasa linakufa Watanzania tukishuhudia kwa macho yetu.
Kwa akili ya kawaida tu bila hata kusoma Sheria, huwezi tegemea Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuzungumzia suala la kesi ya Tundu...
Salam Wakuu,
Muliro ametoa statement leo akisema wao walimkamata Heche na Mnyika pekee na kwamba hawahusiki kwa wengine waliokamatwa na kuteswa.
Wanachama wamehojiwa wakiwa wamepigwa na kuumizwa vibaya, kwamba wanatuambia walijiteka wenyewe na kujipiga?
Siku ile ya kesi ya Lissu nilikuwa na...
Mtuhumiwa Tundu Antipass Lissu akiamini shauri lake linapaswa kusikilizwa kwa wazi kwenye Mahakama ya Wazi inayoruhusu watu kuingia na kufuatilia mwenendo wa Kesi amegoma kesi yake kusikilizwa kwa njia ya Mtandao ambayo kimsingi sio njia ya Wazi ya usikilizwaji wa Shauri.
Tundu Lissu amekuwa na...
Afisa wa Magereza amesema hayuko tayari kwa utaratibu wa virtual
Mheshimiwa Mrema wakili wa serikali anatambulisha jopo la mawakili wa serikali kwa upande wa jamhuri yupo pia Thawabu Issa, Cathbert Mbiringe, Harrison Lukosi.
Upande wa utetezi wapo mawakili wafuatao
1. Mpale Mpoki
2. Dr...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.