kesi ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kesi ya Lissu inahairishwa kwa wiki mbili mbili tu?

    Kwa nini hii kesi ya Lissu kila ikihairishwa inakuwa muda wa baada ya wiki mbili na sio wiki moja, wiki tatu, mwezi, siku 3 n.k?
  2. Knock life

    JamiiForums Tanzania Nahisi hakimu wa kesi ya Lissu ni Layman katika sheria hana anachoelewa je kwanini Lissu asimkatae maana hajui anachofanya.

    This guy is layman kwanini Chadema hawalioni hili swala.?
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Hatukubaliani Kesi ya Lissu inavyoendeshwa kwa kupoteza muda

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara John Heche ametoa wito kwa wafuasi wa chama hicho na Watanzania kwa ujumla wake kuungana pamoja katika kuhakikisha wanapigania haki zitakazopelekea kutatua matatizo aliyodai kuwa yanaipeleka nchi pabaya endapo hatua...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Polisi atakayebeba Kura Bandia ni halali yetu

    Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa onyo kali kwa maafisa wa polisi na watendaji wengine wa serikali wanaoshiriki katika kile alichokiita uingizaji wa kura bandia kwenye uchaguzi, akisema chama hicho hakitasita kuchukua hatua hata kama mhusika ni askari wa vyombo vya...
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanasheria je kesi ya Tundu lisu ina umuhimu na uharaka kulinganisha na mamia ya kesi zilizopo mahakamani?

    Tunakubaliana kuwa haki ni muhimu kutendeka na ikaonekana inatendeka. Je ni haki kwa kesi ya Tundu lissu kusikilizwa mfululizo na kwa uharaka kulinganisha na kesi nyingi zilizopo mahakamani? Je ni haki kwa mahakama kuharakisha kusikilizwa na kutolewa maamuzi kwa kesi ya Lissu huku tukiacha...
  6. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Askari magereza wanashughulika na Lissu kwa maelekezo mazito , nikama wao wanaijua hukumu tayari na ukizoom zaidi hakimu hayuko independent !

    Tundu lissu Leo amefanyiwa vitu vinavyoashiria hukumu ya kesi yake askari magereza wanaijua tayari,!! Nikama tundu lissu tayari amehukumiwa, ni mfungwa na Hawa askari wanamuescot tundu ni kama sio binaadamu ni wanyama wenye uchu wa kumtafuna kabisa. !! Tundu Hana hata uwezo wa kukimbia...
  7. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona watu waoga kama Watanzania, wamemshika Tundu Lissu mwezi wa 3 huu mmekaa ndani

    Hivi tanzania Kuna wanaume kweli wameshika tundu lissu anaewapigania mwezi wa tatu mumekaa ndani wanawaletea muchezo ya tauni na nyie munakubali Kila siku munatawaliwa na wanawake munabaki kuongelea mitandaoni tundu lissu kakonda Kwa ajili yenu watanzania eti munasema Muna amani amani Gani...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wadau Watilia shaka uwepo wa mtu mwenye suti nyeusi karibu na Tundu Lissu Mahakamani

    Mtu huyo hakuwa na sare za Askari Magereza na wala hakuonekana kama Karani wa Mahakama. Katika Hali ya sasa ambako kuna Uvumi wa Tundu Lissu kutiliwa Sumu, ni vema hawa watu wasiohusika wasimkaribie Mtuhumiwa huyu wa Uhaini, hatuna imani nao hata chembe.
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mahakama yatupilia mbali maombi Lissu

    Mahakama kuu ya Tanzania imetupilia mbali maombi ya Tundu Lissu kutaka marejeo ya uamuzi wa mahakama ya kisutu kuahirisha kesi ya kuchapisha taarifa za uongo. mahakama imesema maombi hayo yalipaswa kusubiri kesi ya msingi iishe. Wakili hekima mwasipu amesema wameridhika na uamuzi huo, na...
  10. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu ndo ipo number moja trending youtube

    Huyu jamaa anapendwa Sana na kufatiliwa mno.
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu kanisani kwa Mwamposa. Asema 'Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?'

    Shekhe aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la kanisa la Mwamposa. "Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?" anaeleza Shekhe Mohammed Mawinda
  12. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Serikali yaamriwa kufanya maamuzi haraka kesi ya Lissu

    Serikali imeamriwa kutoa uamuzi haraka katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu. Wakati wa kutajwa kwa kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam, ilisema kuna haja ya uamuzi wa haraka kufanywa kama kuna ushahidi wa kutosha kumshtaki Lissu au kama...
  13. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Serikali yaamriwa kufanya maamuzi haraka kesi ya Lissu

    Serikali imeamriwa kutoa uamuzi haraka katika kesi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu. Wakati wa kutajwa kwa kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam, ilisema kuna haja ya uamuzi wa haraka kufanywa kama kuna ushahidi wa kutosha kumshtaki Lissu au kama...
  14. funaku

    JamiiForums Tanzania Nani aliyemlisha Lissu matango pori eti kesi yake inafuatiliwa na Rais?

    Kuna mtu kamuingiza chaka kwa picha za AI na yeye akaingia mzimamzima akaanza kujisifu mahakamani. Acheni kumhadaa mwenzenu hii kesi ni very serious nyie mnaifanyia commedy
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu imetufumbua macho, taifa letu linahitaji katiba mpya ambayo itaondoa madaraka makubwa aliyonayo rais wa JMT

    Jaji mkuu wa Tanzania anateuliwa na Rais wa JMT kwa namna hii unadhani mahakama itakuwa chombo huru! Dpp anateuliwa na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa vyovyote vile atapeleka watu mahakani ili kumfurahisha aliyemteua. Angalia hii kesi inavyoenda! Yaani mtu kafanya uhaini mbele ya...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kesi ya Lissu ya Uhaini mambo yamefikia patamu na kwenye hatua ya muhimu sana. Tunasubiri kuona kitakachojiri

    Kesi ya uhaini dhidi ya kiongozi wa upinzani Tundu Lissu imefikia patamu na kwenye hatua ya muhimu sana Iwapo DPP ataamua kuendelea na kesi, taratibu za kuhamisha shauri zitaanza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, na kesi itapelekwa Mahakama Kuu kwa ajili ya kusikilizwa. Mahakama Kuu...
  17. D

    JamiiForums Tanzania ITV kweli Super Brand asante kwa kuturushia mubashara kesi ya Lissu, sio waoga kuzidi hata tv za dini. Pumzika kwa amani Mzee Mengi

    ITV mnasitahili hata kutuwekea akaunti namba tuwachangie pesa ya uendeshaji hata kama mnajiendesha kibiashara hata wale jamaa wa dini wanatuwekea akaunti za michango wakati ni wafanyabiashara 100%.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu mbivu na mbichi zimeshaonekana, Sasa hivi ni dhahiri serikali haina hoja inatumia ubabe tu kuendelea kumuweka ndani

    Lissu amejenga hoja nzito mahakamani, amezungumza ameibana serikali/Jamhuri katika vipengele almost vyote vya msingi kuwa. 1. Kama ushahidi umekamilika twende mahakama kuu - Serikali inapiga danadana 2. Kama ushahidi haujakamilika- Serikali haijaomba muda wa kufanya uchunguzi zaidi. Kwa upande...
  19. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Waliofuatilia Mubashara Kesi ya Lissu ni Wengi Kuliko Hotuba ya Rais Kuvunja Bunge. Tatizo ni Nini? Tunakwama Wapi?

    Lazima kuna tatizo mahali katika siasa zetu au mapungufu mazito mahali. Kupitia TV zilizokuwa live na mitandao ya kijamii, leo watu wengi wamefuatilia kwa makini kesi ya Tundu Lissu anayetuhumiwa kwa Uhaini kuliko siku ya kuahirisha bunge Rais akihutubia taifa. Nini tatizo hapo hadi umakini wa...
  20. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kama DPP anasema hawajaamua rasmi kumshtaki Lissu kwa kosa la uhaini, sasa kwanini wanaendelea kumshikiria kwa karibu miezi 3?

    Yaani hii nchi ina watu ovyo wanaoishi kwa kulipwa pesa nyingi ambazo ni kodi za wananchi. Yaani unamtuhumu mtu, unamkamata, unamuweka gerezani miezi mitatu bila kumshtaki, halafu unaibuka na kusema bado hujaamua rasmi kumshtaki!! Kama kuna ofisi ya kwanza ya umma inayopaswa kufumuliwa na...
Back
Top Bottom