kesi ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Yawezekana serikali ikajitoa kwenye kesi ya Lissu kabla ya Mei 19

    Haitakuwa jambo la kushangaza kuona serkali ikisema haina nia ya kuendelea na kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu. Sababu ni kwamba inavyoonekana upande wa mashtaka unapata shida kuja na vielelezo vya kutosha kumshtaki Lissu kwa kosa la uhaini. Lissu ni mbobevu wa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu yuko Gerezani, hana mawasiliano na mtu yeyote, kishindo chake kinatikisha Dunia nzima. Bado mnamchukulia poa?

    Ukweli usemwe, kazi za Lissu hapa Nchini na Nje ya Nchi hazina mashaka. Ni very clean job and Assignments. Tundu Lissu ni moja ya wanasiasa safi kabisa ambao hawana tuhuma zozote za rushwax ufisadi, ngono wala uvunjaji wa haki za binadamu na utawala bora. Tundu Lissu historia inaendelea...
  3. mwengeso

    JamiiForums Tanzania Serikali jibuni kuhusu kesi ya Lissu, utekaji wa watu, maamuzi katika michezo

    Serikali iliyoko madarakani iwape wananchi kuhusu yanayoendelea kisiasa na michezo, hasa mpira wa miguu. 1) Lissu anashitakiwa na wanachi wahudhuria mahakamani kusikiliza kesi wanapigwa na Polisi 2) Mdude anakamatwa nyumbani kwake na hajulikani alipo kama bado yuko hai 3) Padri Kitima...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya Lissu inapigia promo uchaguzi wetu ujao kufuatiliwa kimataifa na kutegewa sikio na inamsogeza Lissu karibu na Ikulu

    Kama ukifuatilia siasa zilivyoenda kwa trump hadi kushinda uraisi ni pamoja na kesi zilizokuwa ziki mkikabili kumpush hadi ikulu na kufanya uchaguzi ule kufuatiliwa zaidi duniani. Tukiangalia kesi ye lissu iliyotokana na kuhamasisha kwake mageuzi ya kiuchaguzi na kufunguliwa mashtaka ya uhaini...
  5. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu ilo kimkakati ili muda uzidi kupotea na uchaguzi uzidi kukaribia!

    1) Siku Lissu anashinda kesi uchaguzi utakuwa umeshakaribia, hizo ni janja Janja za kijinga! 2) Pressure kutoka Bunge la ulaya kujadili swala la Lissu limewapa kiwewe Serikali, hivyo wameanza kuachia 3) Kilichokuwa kinafanyika huko mahakamani na vitamko vya viongozi wa CCM, mawaziri, Judge ni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu kama haina ushahidi thabiti basi haina Maslahi ipigwe Nolle prosequi isituchafue kama nchi

    Mimi ni mzalendo na mwana CCM kindakindaki nashauri mamlaka iwapo kesi hii haina uzito wa ushahidi wa serikali kushinda kesi hii basi Tundu Lissu aachiwe tuendelee na mambo mengine, itamjenga kisiasa mama. Lakini pia aingilie kati maboresho yanayoweza kufanyika kikanuni yafanyike na mwisho...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Ni bora Serikali wangenyamaza waonekane wajinga kuliko kuongea kuwapa watu ushahidi huo

    Mahakama imekataa kuwa kwenye muonekano wa wajinga. Sasa tujiulize waziri wa sheria, waziri wa mambo ya ndani, mkuu wa mkoa na Polisi wananchi watawaelewaje. Sasa Chadema na wananchi wakienda hapohapo mahakamani kwa amani mtawaambia sababu ya wale walio umizwa ilikuwa nini hasa? Serikali...
  8. Jamiitrailer

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia aliunda tume kuchunguza mfumo wa Haki jinai, akumbushwe kumfikisha mtu mahakamani bila upelelezi kukamilika ni kukiuka Haki jinai

    Wadau, 2023 rais Samia aliunda tume ya kuchunguza mfumo wa utoaji haki....Haki Jinai, kuangalia namna polisi, Takukuru, kitengo cha madawa ya kulevya, magereza na ofisi ya mwendesha mashtaka zinavyofanya kazi zao. Tume ilianzishwa kutokana na malalamiko ya wananchi ya kila siku kuhusu idara hizo...
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Mahakama Kesi ya Lissu: Uthibitisho wa Umuhimu wa TLS kama " Shadow 4th Organ of the State"

    Baada ya Katiba kubakwa vibaya sana na Mhimili wa Serikali na Vyombo vyake ni TLS waliojitokeza kuikumbusha Mahakama na Vyombo vya Kikatiba kusimama kwenye nafasi zao bila kuogopa. Hatimaye Umuhimu wa TLS umeonekana Nchini. Hatimaye akili za Wazee wa zamani walioweka kifungu cha 4 cha Sheria ya...
  10. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jebra Kambole: Sisi mawakili tumekuja mahakamani kwanini wananchi wasije?

    Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo, Jumanne Mei 06.2025 kesi mbili (2) zinazomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu zinaendelea kwa njia ya mtandao Mahakamani hapo Mmoja wa Mawakili wa utetezi Wakili Jebra Kambole...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu kupelekwa mahakamani na wananchi waruhusiwa kwenda kusikiliza. Kesi kuendelea Mei 19, 2025

    Wakuu, Huu ni muendelezo ya kilichojiri mahakamani, naona bunge la EU limetisha watu mpaka wamebadilisha gia, sasa kesi itasikilizwa katika mahakama ya wazi na wanachi wataruhusiwa kusikiliza kesi hiyo. ==== Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo, Jumanne Mei 06.2025 Mahakama ilikuwa...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Fuatilia LIVE Kesi dhidi ya Tundu Lissu. Inasikilizwa muda huu mahakamani

    Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu inasikilizwa leo Mei 6, 2025 na itakuwa kwa njia ya mtandao. === UPDATE Link imekatwa na hivyo haitakuwa rahisi kufuatilia
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mpya: 6 May 2025 ni Zamu ya Mabalozi kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu Mahakamani, Je nao watatekwa na kutupwa Ununio? ngoja Tusubiri

    Hii ndio Taarifa mpya niliyopenyezewa kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika, Ni kwamba imepangwa Mabalozi wote wa Jumuiya ya Ulaya wahudhurie Kesi ya Tundu Lissu Mahakamani Bado haijafahamika lengo hasa la Mabalozi hao kumwagika kwa Wingi Mahakamani hapo, Japo Wadadisi wanahusisha Mambo ya...
  14. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ostadh Mazinge: Upo utaratibu wa kuomba Rais amuachie mtu, ukisema aachiwe mara moja ina maana una madaraka kuliko serikali

    Ustadh Mazinge anasema amesikia kuna mtu anaiamrisha serikali kwamba imto mtu ambaye yupo katika kesi. Amesema mbona wao wamewahi kukaa jela na habari kama hizo hawakuzisikia "Unaposema wewe unaamrisha kwamba yule atoke mara moja nu utovu wa nidhamu, utovu wa adabu. Huwezi kumuamrisha mkuu wa...
  15. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Nipashe wamechapisha taarifa inayosema Kibatala amtaka Lema kuacha kutumia kesi ya Lissu kujipatia fedha

  16. B

    JamiiForums Tanzania Kuna kosa gani CHADEMA kwenda mahakamani kesi ya Lissu? Mbunge Anatropia ahoji bungeni

    Kuna haha ya kuongeza neno hapa? Kwa hakika serikali ijitafakari.
  17. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Barua rasmi ya Tundu Lissu kwa Watanzania kutoka gerezani Ukonga

    Leo May 3, 2025, Tundu Lissu ametuma barua ya wazi kwa watanzania akiwa kolokoloni gereza la ukonga. Barua hii imechapishwa na Maria Sarungi kupitia mtandao wa X kama ifuatavyo, Barua rasmi ya Lissu kwetu sote! Alituma kwa Kiingereza neno kwa neno kupitia mtu aliyenifikishia na nimeweka hapa...
  18. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jaji Warioba: Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri Bashungwa kutoa maoni kesi inayomkabili Lissu inaweza kutoa taswira mbaya kwa Serikali

    Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu, Jaji Joseph Warioba akitoa maoni katika kongamano la kitaifa kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025 lililoandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), amesema kwamba hatua ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani, Innocent...
  19. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kongamano la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025

    Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025. https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0 Jaji Warioba - 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa TEF Deodatus Balile awataka Waandishi wa Habari kuwa makini katika kuripoti kesi ya Lissu

    TEF yaonya waandishi wa habari kesi ya Lissu 02 May 2025 Picha: Mpigapicha Wetu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile akizungumza na waandishi wa habari. Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amewaasa waandishi wa habari kuwa makini...
Back
Top Bottom