kesi ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 BAWACHA wakifanya maombi nje ya mahakama ya Kisutu baada ya kesi ya Lissu kuahirishwa hadi Agosti 18

    Wanawake wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) wameonekana wakifanya maombi nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mara baada ya kuahirishwa kwa kesi ya Uhaini ya Lissu hadi Agosti 18, 2025.
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili wa Jamhuri aomba Kesi ya Tundu Lissu isitishwe kuonyeshwa kwenye Vyombo vya Habari, kulinda mashahidi

    Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, ametaka kesi ya Tundu Lissu isiendelee kuonyeshwa moja kwa moja kupitia Vyombo vya Habari ili kulinda mashahidi kwani ushahidi wao unaweza kupelekea utambuzi wao. "Mahakama Kuu, kwa busara zake na kutaka kuona kwamba hawa mashahidi raia hawapati vitisho...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili wa Serikali Mkuu anapoiomba Mahakama isiruhusu kesi ya Lissu isioneshwe mubashara ni kiwango cha juu cha ukiukwaji wa haki na mfumo-Haki

    Wakili Mkuu wa Serikali amewekà mezani kwa Hakimu kwamba kesi inatoendelea ya Lisu anayeshtakiwa mbele ya Mahakama za Tanzania isioneshwe live, inaleta tafsiri gani kwetu wananchi? Mtazamo wangu: Serikali inaonesha nia yake ovu kwa kila hatua ambapo Wakili wa Serikali anawakilisha matakwa hayo...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi 18 Agosti 2025

    Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Franco Kiswaga, anatarajiwa kutoa uamuzi wa hoja zilizowasilishwa na pande mbili katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu. Kabla ya uamuzi huo, upande wa Jamhuri utatakiwa kutoa maelezo kuhusu hatua...
  5. JamiiForums Tanzania Video: Askari Magereza wakiimarisha Ulinzi leo wakati kesi ya Lissu iliposikilizwa

    Wakuu, Naomba kufahamishwa kwa nini hawa maaskari wamevaa kininja namna hii? Hapa ni kwenye kesi ya Lissu leo Changamoto ni nini? Kwanini hawataki kuonekana? Pengine mimi sijui mambo mengi kwa anayefahamu naomba anijuze.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila wanachoomba mawakili wa serikali kwenye kesi za Lissu wanakubaliwa lakini yeye maombi yake yanakataliwa?

    Swali hili kauliza Hancy Machemba huko tweeter. Nimepitia responses karibu zote. Wanasema ni maagizo! Mmoja kasema jibu liko wenye series ya Kikorea iitwayo Bad Prosecutor jibu liko humo! Ukisoma particulars of the offence, huyu katamka hadharani maneno. Sasa hao mashaidi wa kificho...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 John Mnyika: Tutamshauri Lissu tukatie rufaa maamuzi ya ''Mashahidi wa Siri''

    Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema wao kama chama hawajaridhishwa na maamuzi ya Mahakama Kuu kuhusu mashahidi wa siri dhidi ya kesi ya Tundu Lissu. Kuhusu maamuzi, soma Mahakama Kuu yapigilia msumari uamuzi kufichwa kwa mashahidi wa Jamhuri katika kesi ya Tundu Lissu Amesema...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Mahakama yaamuru mashahidi kesi ya Tundu Lissu walindwe

    Mahakama Kuu imeamuru mashahidi ambao ni raia wanaotarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, walindwe kwa maana ya kutoa ushahidi wao kwa kificho (bila kuonekana), majina yao kutokutajwa mahakamani wala...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Leo ilibaki kidogo Hakimu aifute kesi ya Lissu, ila ghafla akapata hofu

    Leo wakati nafuatilia kesi ya uhaini dhidi ya Lissu, kutokana na hoja nzito za kisheria alizokuja nazo Lissu , ilifanya hoja za upande wa Jamhuri ukiongozwa na Bwn. Katuga, kuonekana hazina mashiko kabisa, hali hii ilimfanya hakimu aone kabisa kesi hii inafaa kufutiliwa mbali Leo hii, ila ghafla...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini ahirisho la kesi ya Tundu Lissu linachukua siku 14 mara zote?

    Habari wanaJF, Naomba kuelewa hapo kwanini kesi ya Lissu inachukua wiki mbili mpaka kusikilizwa tena. Pili naomba kujua yule anayekaa chini ya hakimu ni nani Na kazi yake ni ipi Naomba anay jua hayo mambo anipe msaada na mimi nielewe tu .
  11. JamiiForums Tanzania Nachukua nafasi hii kuiomba Serikali yetu imsamehe Lissu

    Ombi la Msamaha kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu Mheshimiwa Tundu Lissu Kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kwa heshima na taadhima kubwa, napenda kutoa ombi langu la dhati kwa Serikali kuzingatia kumsamehe au kumwachilia kwa dhamana Mheshimiwa Tundu Lissu...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi Agosti 13,2025

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu baada ya kuahirishwa Julai 15, 2025 inatarajiwa kuendelea tena leo, ambapo bado inasubiriwa hatua ya Ofisi ya Mwendesha mashtaka (DPP) kufanya uamuzi wa kufikisha kesi hiyo Mahakama Kuu ambayo ina hadhi ya kisheria. Mara ya...
  13. JamiiForums Tanzania Ulinzi mkali Dar. Ni kama na leo kuna kesi ya Lissu. Kinachojiri ni nini

    Kuanzia Mwenge, Ubungo na hadi kwenda mjini. Polisi wamejaa na gari zao. Kama wako tayari. Tayari kwa nini? Chadema wana mkutano au maandamano?
  14. JamiiForums Tanzania Kwa namna moja au nyingine kesi ya Lissu inaweza kuja kumtetea Rostam Aziz

    Rostam Aziz aliposema hakuna Mwekezaji anayeweza kuja kuwekeza mabilioni yake hapa nchini huku akijua kuwa wakati wa mgogoro kesi itapelekwa Kisutu ambapo Mahakimu.......... Watu wa mahakama walifura na kuja juu sana hadi kumfanya ndugu Rostam Aziz kuamua kuomba radhi ili yaishe. Kesi hii ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa nini kesi ya Lissu inahairishwa kwa wiki mbili mbili tu?

    Kwa nini hii kesi ya Lissu kila ikihairishwa inakuwa muda wa baada ya wiki mbili na sio wiki moja, wiki tatu, mwezi, siku 3 n.k?
  16. JamiiForums Tanzania Nahisi hakimu wa kesi ya Lissu ni Layman katika sheria hana anachoelewa je kwanini Lissu asimkatae maana hajui anachofanya.

    This guy is layman kwanini Chadema hawalioni hili swala.?
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Hatukubaliani Kesi ya Lissu inavyoendeshwa kwa kupoteza muda

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara John Heche ametoa wito kwa wafuasi wa chama hicho na Watanzania kwa ujumla wake kuungana pamoja katika kuhakikisha wanapigania haki zitakazopelekea kutatua matatizo aliyodai kuwa yanaipeleka nchi pabaya endapo hatua...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Polisi atakayebeba Kura Bandia ni halali yetu

    Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa onyo kali kwa maafisa wa polisi na watendaji wengine wa serikali wanaoshiriki katika kile alichokiita uingizaji wa kura bandia kwenye uchaguzi, akisema chama hicho hakitasita kuchukua hatua hata kama mhusika ni askari wa vyombo vya...
  19. JamiiForums Tanzania Swali kwa wanasheria je kesi ya Tundu lisu ina umuhimu na uharaka kulinganisha na mamia ya kesi zilizopo mahakamani?

    Tunakubaliana kuwa haki ni muhimu kutendeka na ikaonekana inatendeka. Je ni haki kwa kesi ya Tundu lissu kusikilizwa mfululizo na kwa uharaka kulinganisha na kesi nyingi zilizopo mahakamani? Je ni haki kwa mahakama kuharakisha kusikilizwa na kutolewa maamuzi kwa kesi ya Lissu huku tukiacha...
  20. JamiiForums Tanzania Askari magereza wanashughulika na Lissu kwa maelekezo mazito , nikama wao wanaijua hukumu tayari na ukizoom zaidi hakimu hayuko independent !

    Tundu lissu Leo amefanyiwa vitu vinavyoashiria hukumu ya kesi yake askari magereza wanaijua tayari,!! Nikama tundu lissu tayari amehukumiwa, ni mfungwa na Hawa askari wanamuescot tundu ni kama sio binaadamu ni wanyama wenye uchu wa kumtafuna kabisa. !! Tundu Hana hata uwezo wa kukimbia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…