kero

  1. JamiiForums Tanzania Naombeni usahauri nifanye nini kujikwamua kimaisha, najihisi kuwa kero kwa wazazi

    Habari ndugu zangu wa huku wakubwa kwa wadogo, kwanza nianze kwa kumshukuru Mungu mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 25, pia nimuhitimu wa chuo kikuu fulani fani ni usimamizi na uongozi(Public administration and Management) Diploma (2019) pamoja na Computer Application. Nimekuja...
  2. JamiiForums Tanzania Ubovu wa barabara Kisukulu Maji Chumvi - Segerea ni kero kubwa

    Ndugu wanajamvi Nawasalimuni kwa jina la jamhuri ya muungano. Nimeona niamke na hoja hii kwani wakazi wa kisukulu tumejikuta kwenye mateso ya muda mrefu. Kwa wale wasiojua kisukulu ni wapi, Kisukulu ni kata inayoangukia kwenye jimbo la uchaguzi la segerea wilaya ya ilala kwa utambulisho zaidi...
  3. JamiiForums Tanzania DC Mwenda atoa majibu ya kero tano (5) nzito Wilayani Iramba, Singida

    ZIARA YA MHE MWENDA YATOA MAJIBU YA KERO 5 NZITO IRAMBA Akiwa siku yake ya pili ya ziara ya kuendelea kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika kata ya Kiomboi, Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe Suleiman Yusuph Mwenda alipokea changamoto ya maji ambayo Mwakilishi wa Meneja wa RUWASA akatoa...
  4. JamiiForums Tanzania Iramba: DC Mwenda ataka mpango mkakati wa kutekeleza majukumu, akaza kamba kero za Wananchi

    MHE MWENDA ATAKA MPANGO MKAKATI WA KUTEKELEZA MAJUKUMU, AKAZA KAMBA KERO ZA WANANCHI. Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe Suleiman Yusuph Mwenda ameendelea na ziara yake ya kupita kata kwa kata kusikiliza kero za wananchi na kuzitolea maelezo na ufumbuzi wake. Akiwa kata ya Kiomboi leo Ijumaa Julai...
  5. JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Halmashauri zibuni vyanzo vipya vya mapato bila kuwakera wananchi

    WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Ummy Mwalimu ametoa maelekezo 10 kwa Halmashauri za Majiji, Manispaa, Miji na Wilaya ya kuimarisha ukusanyaji mapato na upelekaji wa fedha za maendeleo kwenye miradi inayogusa wananchi. Akizungumza leo na...
  6. JamiiForums Tanzania Waendesha bodaboda mnakera kulazimisha watu kupanda pikipiki zenu

    Kwema ndugu zangu, Bodaboda wana tabia za ajabu sana sijui kwanini. Unaweza ukawa unatembea unashangaa wanakupigia honi. Au upo njiani unatembea unashangaa boda huyu hapa "oya braza wapi" sasa nabaki najiuliza ina maana mimi sijui napokwenda au? Leo nimeshuka kwenye gari akaja boda na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Utaratibu kununua vocha za TTCL ni kero; Unalipia Benki baada ya kupewa control number

    Nilienda kununua vocha ya shs 5,000.00 pale Telephone House, ile natoa pesa naambiwa nipewe control number nikalipie benki. Jamani hii ni biashara au huduma na huku wanadai rudi nyumbani kumenoga. Hebu wajirekebishe.
  8. JamiiForums Tanzania Mataa njia panda ya Barakuda - Segerea yamekuwa kero

    Habarini wakuu, Hii barabara ilikuwa haina mataa ila hivi karibuni kuna mataa yamewekwa kwenye hii njia panda ya barakuda ambayo inahusisha barabara ya kutoka na kweda Tabata Segerea (Segerea - Bima) pamoja na barabara ya kutoka na kwenda tabata chang'ombe (Chang'ombe - Vingunguti). Kiukweli...
  9. JamiiForums Tanzania Kero ya Foleni Mbagala, viongozi mpo wapi?

    Niende moja kwa moja katika hoja ya msingi. Leo nikiwa natokea maeneo ya kijichi majira ya saa mbili usiku, nimeshangaa sana kuchukua zaidi ya masaa mawili bila ya kufika mtongani. Yes naelewa ujenzi wa barabara unaoendelea lakini bado sitaki kuamini kwamba inaweza kuwa sababu ya kuwaweka watu...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Erick Shigongo asikiliza kero za wananchi ndani ya basi

    Mh Shigongo mbunge wa Buchosa ameanza kampeni ya kutatua kero za wananchi wake kwa kuwafuata popote ikiwemo ndani ya mabasi ya abiria. Leo ameonekana ndani ya basi lililotokea Kanyara kwenda Sengerema. Chanzo: Global Publishers
  11. JamiiForums Tanzania TARURA Halmashauri ya Mji wa Kibaha mnakera

    Wadau habari za mchana wa leo Naandika UZI huu kwa masikitiko makubwa sanaaa kwa kile nilichojionea na kukumbana nacho wakati nimepita njia ya Kutoka picha yq Ndege kwenda Boko kupitia kata ya SOFU. TARURA Kibaha TC tambueni pembezoni mwa barabara hii kuna makazi ya watu, mmeichonga barabara...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie Rais Samia kuzifuta Tozo na Kodi za dhuluma

    Hapa Mama itabidi atuelewe tu kuwa tumeamua hatimaye kumsaidia kwani hao waliomzunguka hawamsaidii. Kodi na tozo za dhuluma hazikubaliki. Hivyo: 1. Tunasimama kabisa kutumia miamala ya simu kutumiana pesa kwa siku 3. 2. Baada ya hapo tathmini itafuata ya nini zaidi. Kutoka kwa Mama...
  13. JamiiForums Tanzania Ukijiungana na TTCL tegemea kero hizi

    1. Customer care kuchelewa kupokea simu ya yako au kutokupokea kabisa. 2. Meseji kutofika kwa wakati au kutofika kabisa au kutoenda na hata ikifika ulipoituma usipate delivery report au meseji unaweza ukatuma muda huu ikifika baada ya masaa kadhaa au hata kesho yake. 3. Customer care kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais na washauri wake: Anzisha vipindi vya televisheni kusikiliza kero za wananchi na kupokea simu zao

    Ushauri kwa Rais na watu wake, hii itasaidia sana kusikiliza kero za Tanzania nzima kwa wakati mfupi. Anaweza kuwa live kwenye TV na radio. Kuliko sasa hivi anatupotezea muda bara barani anafunga bara bara na ni hatari kwake. Hakuna mkuu wa wilaya au mkoa anayeweza kuzuia mwananchi asipeleke...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Kero hii NHIF hadi lini?

    Pale unapokwenda kutafuta tiba na katikàti ya huduma unaelezwa na madaktari husika kuwa: "Kipimo au tiba hii haiingii kwenye NHIF, inabidi ulipie cash." NHIF mlipoanza huduma hii hili mlilipanga vipi? Je, ni haki mteja wenu mnamkata pesa kila mwezi na mara nyingi haugui ama kutumia kadi hata...
  16. JamiiForums Tanzania Kero: Tabia ya ajabu Mbeya kuchangisha pesa za misiba imezidi mno

    Binafsi niweke wazi kabisa kwamba napenda kuishi kijamii na wala sinaga tatizo na misiba ila hali ya mbeya imezidi sana Sasa kwa huku Mbeya hali ya misiba imekuwa tofauti sana, watu hawajali kushiriki kwako msibani hawakwambii hata msiba ulipo mpaka uwauilze na hata hawajali ukaribu wako na...
  17. JamiiForums Tanzania Airtel Tanzania ondoeni hii meseji mnayotuma kwa wateja kila muda, pindi wanapopiga simu na kukata simu. Ni kero

    Yaani kila ninapo mpigia mtu simu mnatuma meseji yenu hii. Nikikata simu mnatuma pia, licha ya kuwa na kifurushi cha dakika. Kwangu mimi ni kero kufuta meseji zenu kila muda. Nimewapigia simu mara kadhaa na kuwaeleza kero hii ila hamjaweza kuondoa kero hii. Na hii ni huduma ambayo sikujiunga...
  18. JamiiForums Tanzania Jafo awaonya wanaosababisha kero za kelele na mitetemo

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo amewaagiza wamiliki wa kumbi za starehe na burudani kuhakikisha sauti zitokanazo na shughuli zao hazizidi viwango vinavyokubalika kwa mujibu wa sheria. Waziri Jafo amesema hayo hii leo Jijini Dodoma wakati wa...
  19. JamiiForums Tanzania Vodacom kumbe ni kero

    Wakuu habari, Juzi nimebakisha salio la kawaida sh. 2000, leo nataka kujiunga kifurushi wananiambia salio halitoshi, naangalia Kuna sh 1900 tu. Nawapigia Wanasema eti salio limekatwa kwajili ya huduma ya THE BEST wakati sijiungagi na huduma yoyote ya kipuuzi puuzi, yaani hii mitandao ni wezi...
  20. JamiiForums Tanzania Misafara ya viongozi wa Serikali ni manyanyaso kwa watumia barabara

    Wakuu niko njiani nasafiri na bus la Shabiby kuelekea Dodoma, tumesimamishwa hapa eneo la ubena kupisha msafara wa kiongozi wa serikali zaidi ya masaa mawili sasa tumesimamishwa. Je, ni halali watu kusimama hivi barabarani muda mrefu bila huruma kisa mtu mmoja anapita kuelekea Dar? kwa nini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…