kero ya maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Kero ya maji inanisukuma nikaichanechane bendera ya CCM iliyopo hapa ofisini ili labda nisikike kirahisi

    Sio siri huku tunako ishi mitaa ya Goba maji yamekuwa bidhaa adimu kiasi kwamba unalazimika kusubiria maji utadhani maji ya msaada. Hali hii inanikera sana huwa najiuliza hivi kazi ya chama tawala ni ipi!? Ni kutuimbia tu manyimbo? Kama ni kuisimamia serikali mbona serikali haileti maji akati...
  2. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania KERO Hii ni huzuni na fedhea kwa nchi kukosa maji safi na salama ya uhakika

    Wasalaam, Nimefatilia ziara ya Rais huko Katavi na Musoma kilio kikubwa cha wananchi ni maji safi na Salama. Kama taifa tumeongozwa na CCM kwa miaka 60+ na bado na hakuna uhakika wa kutatua tatizo hili ni sarakasi kila Leo. Ifike wakati CCM muwe na aibu mkiacha anasa za kununuliana ma V8 na...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Mtaa wa Mwarakani wilaya ya Kibaha tunaomba kufikishiwa huduma ya maji

    Wakazi wa mtaa Mwarakani wanakumbana na changamoto ya maji kwani hudumu hiyo haijafikishwa kwenye makazi yao licha ya kuhangaika kusogeza huduma hiyo bila mafanikio kwenye maeneo yao. Mamlaka husika zitusaidie kusogeza maji wananchi wako tayari kuchangia kusogezwa huduma hiyo.
  4. K

    JamiiForums Tanzania KERO MWAUWASA tunataka maji mtaa wa Mwananchi mkoani Mwanza

    Sasa yapata wiki Mtaa wa Mwananchi hatupati maji hatuelewi kuna tatizo gani. Mhe. Waziri wa Maji fanya mabadiliko ya haraka katika Mamlaka ya Maji Jijini Mwanza(MWAUWASA) ili wananchi tuwe tunapata maji ya uhakika.
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya maji Dar es Salaam - Watangaze kama kuna mgawo wa maji

    Habari za jioni ndugu, Kwa sasa maeneo mengi ya jiji la Dar es salaam hasa maeneo ya Manzese napoishi kumekuwa na kero kubwa ya maji na maji yanaweza kutoka lisaa limoja tena mara moja kwa mwezi mzima. Na DAWASA wamekaa kimya hakuna wanachoeleza cha maana ukiwapigia simu. Ni vyema sasa Waziri...
  6. K

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya maeneo Kigoma hakuna maji zaidi ya wiki

    Maeneo ya Kazegunga, Msimba, Kasaka hawana maji zaidi ya wiki. Watu hutumia maji ya visima ambayo si salama kwa afya ya binadamu. Ziwa liko km 10 tu lakini maji hayatoki. Wahusika wachukue hatua mara moja kuondosha kero hii.
Back
Top Bottom